Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

mng'ato

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2014
Messages
19,159
Points
2,000

mng'ato

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2014
19,159 2,000
Walishaipandisha mkuu.

Kodi ya Kusajili Gari Kwa Kuandika Jina Lako Yaongezeka Kutoka Milioni 5 Hadi 10

Serikali imebainisha kuwa kodi ya usajili wa namba binafsi kwenye magari unategemea kupanda kutoka shilingi 5,000,000 mpaka shilingi 10,000,000 kila baada ya miaka mitatu.

Hayo yamesemwa jana Bungeni na Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Mpango alipokuwa akiwasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa Fedha 2016/17.

“Napendekeza kufanya marekebisho kwenye Sheria ya Magari inayohusu kodi ya Usajili na Uhamisho wa Umiliki wa magari na kufanya ada ya usajili wa namba binafsi kupanda kutoka 5,000,000 hadi shilingi 10,000,000 kila baada ya miaka mitatu,” alisema Dkt. Mpango

Akitoa sababu ya kupandisha kodi hiyo, Dkt. Mpango amesema kuwa kodi hiyo imepanda ili kuhuisha viwango vinavyopendekezwa kulingana na thamani halisi ya fedha nchini.

Ooh kumbe ilishatoka kwenye million 5?
 
Pharm D

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2017
Messages
1,039
Points
2,000

Pharm D

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2017
1,039 2,000

Hii serikali ni hovyo kabisa mbona wameweka ada ndeefu mno!
Yote hayo ni tamaa za TRA kuongeza makusanyo wakat huohuo kwa kujua au kutokujua kwamba kuongeza hyo ada kunapunguza idadi ya watu wanaosajili magari kwa hizo namba...

Aaaah nmepanic aisee 10M wakat huo gari yenyew hata 100M haifiki!
Nlipania sana lkn mhhh 10M parefu
 
mng'ato

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2014
Messages
19,159
Points
2,000

mng'ato

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2014
19,159 2,000
Daah pole sana mkuu na waziri anasema eti sababu ya kupandisha ada hio ni

' Dr.Mpango amesema kuwa kodi hiyo imepanda ili kuhuisha viwango vinavyopendekezwa kulingana na thamani halisi ya fedha nchini'.

Sababu ya hovyo tu na wala sijaelewa hata alichokisema.

Kama vipi achana nayo tu mkuu maana kila baada ya miaka 3 kutoa 10mil ni pesa ndefu hio mkuu.

Yeaaah sure, ila kuna tatzo kwa watunga sera wetu degree zao nne nne kama taifa hazitusaidii
 
Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
126,062
Points
2,000

Mshana Jr

Platinum Member
Joined Aug 19, 2012
126,062 2,000
Daah pole sana mkuu na waziri anasema eti sababu ya kupandisha ada hio ni

' Dr.Mpango amesema kuwa kodi hiyo imepanda ili kuhuisha viwango vinavyopendekezwa kulingana na thamani halisi ya fedha nchini'.

Sababu ya hovyo tu na wala sijaelewa hata alichokisema.

Kama vipi achana nayo tu mkuu maana kila baada ya miaka 3 kutoa 10mil ni pesa ndefu hio mkuu.
 
King999

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2019
Messages
626
Points
500

King999

JF-Expert Member
Joined Aug 15, 2019
626 500
Hello members habari
Nimenunua carina TI ya mwaka 1996, ina cc 1762 kwa ajili ya kuifanyia kazi ya TAX. barabara ambayo nafanyia hyo kazi ina makorongo sana.

sasa cha kushangaza hii gari inakula mafuta kuliko kawaida. yaani inatumia lita 5 kwa kilometre 16(ambayo ni sawa na 3.2km/litre). na akat kwa kawaida inatakiwa itumie lita 1 kwa kilometre 14 (japo kwa sababu ya ubovu wa barabara na umri wa gari) hata ikienda 10km/litre sio mbaya.)

Nkaenda kwa fundi kanambia niifanyie service,mwaga oil na nibadilishe plugs nkasema ok. lakn nmerud barabaran ulaji ni ule ule.

Kuna baadhi ya madereva nimewauliza wakanambia fuel tank ya carina n kubwa sana yaan ukiweka mafuta yanasambaa hvyo niikate

sasa ndugu zangun naombeni USHAURI WENU NAMNA YA KUTATUA HII CHANGAMOTO au kama kuna fundi anayeweza kutatua hii changamoto walau gari iwe inaenda 11km/litre tuwasiliane kwa 0768811999. Fundi awe hapa hapa dar.

ASANTENI.
 
Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
126,062
Points
2,000

Mshana Jr

Platinum Member
Joined Aug 19, 2012
126,062 2,000
Hiyo ya kukata tank ni ushauri wa kipuuzi na mbaya kabisa... Umecheki gear box inafanya kazi vizuri? Inamaliza gear?
Viashiria vya gari kula mafuta
. plugs feki/tofauti na model ya gari
. oil filter feki
. gearbox mbovu
. leakage kwenye tank...
Kama gari lako halina shida kwenye no 1 mpaka 3 basi most likely kuna leakage ndogo isiyoonekana inayopoteza mafuta.. Likague tank kwa fundi mweledi
Hello members habari
Nimenunua carina TI ya mwaka 1996, ina cc 1762 kwa ajili ya kuifanyia kazi ya TAX. barabara ambayo nafanyia hyo kazi ina makorongo sana.

sasa cha kushangaza hii gari inakula mafuta kuliko kawaida. yaani inatumia lita 5 kwa kilometre 16(ambayo ni sawa na 3.2km/litre). na akat kwa kawaida inatakiwa itumie lita 1 kwa kilometre 14 (japo kwa sababu ya ubovu wa barabara na umri wa gari) hata ikienda 10km/litre sio mbaya.)

Nkaenda kwa fundi kanambia niifanyie service,mwaga oil na nibadilishe plugs nkasema ok. lakn nmerud barabaran ulaji ni ule ule.

Kuna baadhi ya madereva nimewauliza wakanambia fuel tank ya carina n kubwa sana yaan ukiweka mafuta yanasambaa hvyo niikate

sasa ndugu zangun naombeni USHAURI WENU NAMNA YA KUTATUA HII CHANGAMOTO au kama kuna fundi anayeweza kutatua hii changamoto walau gari iwe inaenda 11km/litre tuwasiliane kwa 0768811999. Fundi awe hapa hapa dar.

ASANTENI.
 
Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
126,062
Points
2,000

Mshana Jr

Platinum Member
Joined Aug 19, 2012
126,062 2,000
Hello members habari
Nimenunua carina TI ya mwaka 1996, ina cc 1762 kwa ajili ya kuifanyia kazi ya TAX. barabara ambayo nafanyia hyo kazi ina makorongo sana.
Hello members habari
Nimenunua carina TI ya mwaka 1996, ina cc 1762 kwa ajili ya kuifanyia kazi ya TAX. barabara ambayo nafanyia hyo kazi ina makorongo sana.

sasa cha kushangaza hii gari inakula mafuta kuliko kawaida. yaani inatumia lita 5 kwa kilometre 16(ambayo ni sawa na 3.2km/litre). na akat kwa kawaida inatakiwa itumie lita 1 kwa kilometre 14 (japo kwa sababu ya ubovu wa barabara na umri wa gari) hata ikienda 10km/litre sio mbaya.)

Nkaenda kwa fundi kanambia niifanyie service,mwaga oil na nibadilishe plugs nkasema ok. lakn nmerud barabaran ulaji ni ule ule.

Kuna baadhi ya madereva nimewauliza wakanambia fuel tank ya carina n kubwa sana yaan ukiweka mafuta yanasambaa hvyo niikate

sasa ndugu zangun naombeni USHAURI WENU NAMNA YA KUTATUA HII CHANGAMOTO au kama kuna fundi anayeweza kutatua hii changamoto walau gari iwe inaenda 11km/litre tuwasiliane kwa 0768811999. Fundi awe hapa hapa dar.

ASANTENI.
Kingine... Je umepata historia ya gari kabla hujainunua?
 
Forum statistics

Threads 1,365,412
Members 521,202
Posts 33,345,684
Top