Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Wadau naulizia taa ndogo ya mbele (fog light) ya kushoto ya Toyota avensis. It is very urgent. Kwa mwenye kujua sehemu ninayoweza kuipata kwa haraka naomba anijuze please
 
Nataka jiongezea ka suzuki carry wataalamu.any comment please?.kama model ipi nzuri au toleo la mwaka gani lipo vizuri zaidi na zina tatizo gani common?.natanguliza shukrani za dhati.
 
Wakuu radio ya gari module frequency zake ni kati ya 76.6mHz na 89.9 MHz, hivi kuna uwezekano Wa kuongeza maana kuna redio stations nyingi sizipati na ningependa niwe na wide range.
badili radio ya gari tu, gari nyingi za zamani za japan frequence hazifiki 100.0 na zaidi......mfano gx100, gx110, verossa etc
 
Wakuu radio ya gari module frequency zake ni kati ya 76.6mHz na 89.9 MHz, hivi kuna uwezekano Wa kuongeza maana kuna redio stations nyingi sizipati na ningependa niwe na wide range.
Kuna kitu kinaitwa frequency converter utapata station zote ila si kwa frequency zao
 
Wakuu naombeni uzoefu wenu ,nilichukua toyota coaster mwaka jana mwezi wa kumi. Imepiga kazi wee hadi account ikaanza ku stawi ..sasa gafla majuz gari ikaingiza mis,mafundi wa kacheki huku na huku mis ikagoma kuondoka.
Wakashaur tufungue machine tuingie ndani.
Laaaa haula cylinder head kwishnei. Nilipata mshangao na hasira juu iweje iwe hivi.!!?
Nikampigia jamaa alieniuzia kule Zenji na kumuelezea.
Duu jamaa nae akasema haya mambo Dubai wana mchezo huo. Sasa wadau naomba kujua kuna mtu ashawahi kutana na mkasa kama huu mana kuna fundi mmoja aliniambia kuwa
Ashawahi kutana na kesi kama hii kwenye gari ndogo tena mhusika aliagiza toka Japan lakini ikaanza kusumbua baada muda kidogo.
Kuja kucheki engine hamna kitu ipo size 100.
Nikweli inatokea au ndio mimepigwa! !!!?
 
pole sana mkuu hiyo inawezekana 100% sababu magari madogo mengi huwa yanakuja bongo yanakuwa yashashikwa sana na kutegeshwa tena bora iwe umekutana na majanga ya japan lakini sio ya dubai.
 
pole sana mkuu hiyo inawezekana 100% sababu magari madogo mengi huwa yanakuja bongo yanakuwa yashashikwa sana na kutegeshwa tena bora iwe umekutana na majanga ya japan lakini sio ya dubai.

Sasa hii yawezekana ilikuwa Dubai mana gari nilichukulia Zanzibar.
Noma sana asee cylinder head ya 1HZ nime nunua Kisangani 3.5M.
Sasa hivi nikitaka gari naagiza kupitia ma agent wakubwa tu.
 
Sasa hii yawezekana ilikuwa Dubai mana gari nilichukulia Zanzibar.
Noma sana asee cylinder head ya 1HZ nime nunua Kisangani 3.5M.
Sasa hivi nikitaka gari naagiza kupitia ma agent wakubwa tu.
Pole sna....nahisi ingekuwa mimi ningeweza kuloga mtu...!
 
Sasa hii yawezekana ilikuwa Dubai mana gari nilichukulia Zanzibar.
Noma sana asee cylinder head ya 1HZ nime nunua Kisangani 3.5M.
Sasa hivi nikitaka gari naagiza kupitia ma agent wakubwa tu.
Mara nyingi magari ya dubai na yanayopitia Zenji ni vimeo
 
Back
Top Bottom