Mtu-Pori
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 1,255
- 1,350
Poa mkuu, zipo nyingine kama Autorec, Enhance auto na Nextagecars.Ahsante mkuu kwa website mpya ambayo nilikua siijui. Hiyo Autocom!
Poa mkuu, zipo nyingine kama Autorec, Enhance auto na Nextagecars.Ahsante mkuu kwa website mpya ambayo nilikua siijui. Hiyo Autocom!
Wapi naweza fanya computer diagnosis? Naweza kupata namba za simu?Fanya diagnosis ya computer utajua shida iko wapi usibahatishe
Nitumie picha na spec mkuu namba pmNauza Vitz mil 4.fixed .0719755966
Mpya au ?IPO used 2009 namba B bei poa ncheck pm tuwasilianeKampala unachukua nikuchekie bei? Nipo huku
Mercedes Benz c180
Ndugu wana jamvi poleni na majukumu, nimetokea kuzipenda hizi gari, mwenye uzoefu nazo naomba anisaidie kuhusu changamoto zake au ubora wake. Asanteni
0717 228064 karibu sana mkuu.Wapi naweza fanya computer diagnosis? Naweza kupata namba za simu?
badili radio ya gari tu, gari nyingi za zamani za japan frequence hazifiki 100.0 na zaidi......mfano gx100, gx110, verossa etcWakuu radio ya gari module frequency zake ni kati ya 76.6mHz na 89.9 MHz, hivi kuna uwezekano Wa kuongeza maana kuna redio stations nyingi sizipati na ningependa niwe na wide range.
Kuna kitu kinaitwa frequency converter utapata station zote ila si kwa frequency zaoWakuu radio ya gari module frequency zake ni kati ya 76.6mHz na 89.9 MHz, hivi kuna uwezekano Wa kuongeza maana kuna redio stations nyingi sizipati na ningependa niwe na wide range.
pole sana mkuu hiyo inawezekana 100% sababu magari madogo mengi huwa yanakuja bongo yanakuwa yashashikwa sana na kutegeshwa tena bora iwe umekutana na majanga ya japan lakini sio ya dubai.
Pole sna....nahisi ingekuwa mimi ningeweza kuloga mtu...!Sasa hii yawezekana ilikuwa Dubai mana gari nilichukulia Zanzibar.
Noma sana asee cylinder head ya 1HZ nime nunua Kisangani 3.5M.
Sasa hivi nikitaka gari naagiza kupitia ma agent wakubwa tu.
Mara nyingi magari ya dubai na yanayopitia Zenji ni vimeoSasa hii yawezekana ilikuwa Dubai mana gari nilichukulia Zanzibar.
Noma sana asee cylinder head ya 1HZ nime nunua Kisangani 3.5M.
Sasa hivi nikitaka gari naagiza kupitia ma agent wakubwa tu.