Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Ok engine yake poweful in its original condition
Fuel consumption kwa Rav 4 kidogo iko juu tofauti na gari nyingine lakini haitishi
Ishu ya tege sina hakika sana japo huwa nadhani ni shock up spring na rubber

Jr
 
HILI SWALI NASUBIRIA MAJIBU YAKE PIA MIMI
 
Ninaomba kuelewa uimara wa engine za Noah old model 3S, engine ya Noah new model 1AZ FSE na Noah yenye engine code 3ZR Ipi ni imara ambayo haisumbui sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • IMG-20190131-WA0036.jpeg
    39.5 KB · Views: 71
wakuu naomba kujua kuhusu ii gari kabla sijanunua honda accord 2000 uk version, upatikanaji wake wa spear , fuel consuption na magonjwa yake unaweza
nisaidia




Sent using Jamii Forums mobile app
Honda type zote ni gari imara sana na vipuri vyake ni origino. Spare zipo kila mahali kwa sasa na zaidi sana online purchasing yaani muda wa wiki 2 spare imekufikia. Vipuri bei ghari kidogo ukizingatia magari Haya ni expensive pia ni aina za magari ambayo ni economy fuel consumption class isipokuwa vimiminika vyake vingi ukiishiwa ni lazima uvipate vilivyo original ili kubadilisha. Spare zake ukizifunga ni mkataba



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…