Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Wakuu habari za kazi
Naombeni ushauri jamani... Mimi natumia gari Aina ya Toyota Mark II Grande yenyewe engine ya 1G-fe vvti.
Je nitumie aina gani nzuri ya nozzle? Ni denso au NGK? pia nozzle gani ni recommended, ni single spark au double?

Asanteni in advance
 
CC : LEGE

Jr
 
Japo offer umempa mdau...lakin kwakuwa hata mbwa hula kinachodondoka kutoka meza ya bwana wake.....mie kesho na mapema.....hadi gereji kwako!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila shaka mkuu wataka kusema spark plug.

Mkuu kuku kuku jogoo jina tuu.. ni hivi NGK sijui DENSO hayo ni majina au makampuni yakutengeneza plug lkn kwako ww cha mhim na msingi ni specification za plug inayofaa kwenye gari yako..kwenye spark plug huwa kuna kuwa na namba na herufi hizo ndio za maana zaidi na ndio zinabeba sifa ya plug husika..

Kwahiyo ww ukitaka ingia google ingiza aina ya engine yako utapata plug husika zinazotakiwa kufungwa kwenye gari yako..

Mfano spark plug for 1G-FE .

Kwa hapa mjini dar es salaam duka ni moja tuu liuzalo spare original mm ninalolifaham ni SINZA kwa mama.
 
Asante sana mkuu,pia ni kweli nazungumzia kwa habari za spark plug na sio nozzles.
 
Noah new model zina shida gani? Naona zinauzwa sana tena kwa bei chini tu kama ilivyo kwa Xtrail? Sijaona hata moja ikiuzwa 10M+ ilhali namba ni latest D
 
Noah new model zina shida gani? Naona zinauzwa sana tena kwa bei chini tu kama ilivyo kwa Xtrail? Sijaona hata moja ikiuzwa 10M+ ilhali namba ni latest D
Hali ya uchumi lakini pia si ngumu kama SR40 na Tourer

Jr
 
Hilo la uimara naona ndio point ya msingi. Ndio maana hadi leo bei ya SR40 bado ipo juu, hata showroom

Sent from my SM-J700F using Tapatalk
Shida kubwa zina engine ambayo ni new model zina engine ya 1AZ FSE wenyewe mnaiita d4 ndio haswaa inawachachafya na kibaya au kikubwa sana gari hizo hazina gauge ya temperature zina taa hivyo nyingi sana sana zishaua engine /unguza gasket na kupindisha cyrinder head ndio maana..na maintanenc yake sio kama ya noa sr40 zenye engine ya 3s fe
 
Safi sana. Respect kwako bro.

Sent from my SM-J700F using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…