Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

...ofisi za Polisi ! .... kumueleza kuwa ofisi zao
zimejaa ukiritimba wa kutotoa ushirikiano na kuficha
taarifa.
Rushwaa baba rushwaaaa, bora ninunue wanikamate nalo wachukue kuliko adha ya kwenda kukutana na hao mafar
 
wadau kuna mtu anataka kuniuzia gar aina ya
Opel astra
cc 1.6
year 2001
naomben ushaur matatizo yake n nini ....mm nimeipendea kwa sabab ya consumption yake ya mafuta na speed (200) + balance
FB_IMG_1533931272607.jpg
 
Msaada wenu wakuu, nina gari IST (1NZ-FE engine) ilianzisha tatizo la engine kupiga kelele na taa ya oil kuwaka wakati gari ikiwa inaendeshwa. Nikaenda kwa fundi akasema labda oil filter itakuwa mbovu, hivyo akabadilisha oil na oil filter, lakin baada ya siku mbili tatizo likarudi tena. Fundi akasema itakuwa ni oil pump haisukumi oil ya kutosha ndio maana gari inapiga kelele. Tumebadilisha na kuweka oil pump mpya lakin tatizo liko palepale na kelele nahisi ndio kama zimezidi. Shida inaweza kuwa nini? au kama kuna fundi anaweza tatua tatizo nitashukuru, niko Mwanza.
Hapo yawezekana shida ikawa ni strainer /filter oil haipandi vizuri na hizo kelele zikawa zinatoka kwenye chain coz chain hyfanya kazi na oil.
 
wadau kuna mtu anataka kuniuzia gar aina ya
Opel astra
cc 1.6
year 2001
naomben ushaur matatizo yake n nini ....mm nimeipendea kwa sabab ya consumption yake ya mafuta na speed (200) + balance View attachment 832393

Hiyo gari ina matatizo makubwa ningekushauri usipoteze pesa zako.Inaweza kuwa na matatizo ya ain zifuatazo ambyo yote yanahitaji kazi kubwa kurekebisha.
(1) inawezeka valves za cylinder zake zimekwisha kufa,
(2) Inawezekan piston rings zimekwisha kufa,
(3) Inawezekana cylinder head imepasuka kwa hiyo ina nyufa
(4) Inawezekan engine block imepasuka kwa hiyo ina nyufa.

matatizo yote hayo yanahitaji gharama kubwa kurekebisha. hayo mawili ya kwanza yanahitaji engine overhaul tu, lakini hayo mawili ya pili yanahitaji ama kweka cylinder head mpya au kubadilisha engine yote. Ni vigumu sana kupata engine block tupu, utalazimika kupata engine nzima nzima.
 
asante mkuu
 
Habari Wakuu! msaada tafadhari,nna gari yenye engen ya 7a_fe kwa sasa ina shida ya kupunguza oil yaani mpaka ifike service nyingine itapunguza lita moja, Kabla ya huu mwaka kuanza ilikuwa inaenda vzr toka service moja mpaka nyingine na nilikuwa natumia oil ya bp, mwanzoni mwa mwaka huu ndio nimeanza kuona shida hiyo ya upunguji kidogo gari nafanya service kwa wakati kila km 30000.
Nimeangalia leakage hakuna kabisa zaidi ya viunyevunyevu kidogo gari haitoi moshi na ina nguvu kubwa tu na hata asbh niwashapo engen baada ya dkk 5 itatoa mvuke na si moshi.
Nilipata ushauri kuwa huenda oil nitumiayo c nzuri (ina evaporate)nitumie total querz 9000 nimeitumia lkn naona iko vilevile na nimejaribu kuchunguza oil inaanza kuonesha kupungua kuanzia km 1600 baada ya kubadilisha na gari haina mabadiliko yoyote msaada kwa wataalam nahisi kuchanganyikiwa.
 
Nenda kwa Wataalamu wabadili raba ya nyuma na mbele pia wacheck kwenye Oil Sampo huwa ina leak kwa kulowa tu huwezi ona ikidondoka chini kwahiyo wafungue sampo watakapoirudishia wajaribu kuzipaka na silicon kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sample iko vizuri mkuu labda nijaribu kuangalia hiyo hiyo rubber/sill je haiwezi kuwa valvu sill au hakuna uhusiano.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom