Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Wakuu gari ikiandika O/D OFF nini shida??
Tafsiri ya O/D ni Over Drive kwenye gear lever kuna button ya kuwasha na kuzima O/D...mara nyingi wengi hawaizimi lakini kama umeizima basi ukienda speed zaidi ya 80 inabidi uiwashe ili kuleta stability barabarani
 
Wakuu gari ikiandika O/D OFF nini shida??
Fafanua ili usaidiwe shida yako imeandika kwa namna ipi inawaka moja kwa moja au inawaka na kuzima??.

Kama imewaka moja kwa moja imatulia tuu basi ww ndio umeiwasha kwa kubonya switch yake iliyopo kwenye gear river.

Lkn kama inawaka na kuzima kuna shida kwenye mfumo wa gearbox hapo inamaana ni ishu ya mfumo wa umeme wa gearbox sio ishu ya machenical na kama ni mechanical basi ishu hiyo inahusiana na report kutolewa na sensor.
 
Naombeni msaada hapa. Nawezaje kutambua umiliki, kufahamu gari inamilikiwa na nani kwa kutumia plate number???
 
Mara nying inakuwa vitu vitatu, battery imechoka, oil unayotumia sio sahihi hivyo kusababisha hilo kutokea, weka oil sahihi ya nissan, na mwisho inawezekana kuna unyevu au maji kwenye line ya mafuta, hivyo flush line na tank liwe safi kabisa kisha weka mafuta mapya, kwa hayo tatizo litakuwa limeisha. Mara nyingi mafundi wanakimbilia starter lakini haiwi tatizo katika ugonjwa huo.
Huu ushauri kiboko..oil gari isiwake!!?
 
Huu ushauri kiboko..oil gari isiwake!!?
NDIYO.Mimi ni mmoja wa wamiliki wa magari ambayo hayatumii oil ili mradi..simply ukiweka engine oil ambayo siyo specified kwa hilo gari usahau....kasome theory za nissan..benz...bmw etc utaelewa vizuri.
 
Bmw benz sawa lkn nissan mhhhh nissan gani mkuu hiyo.
 
NDIYO.Mimi ni mmoja wa wamiliki wa magari ambayo hayatumii oil ili mradi..simply ukiweka engine oil ambayo siyo specified kwa hilo gari usahau....kasome theory za nissan..benz...bmw etc utaelewa vizuri.
Sahihi kabisa
 
Hapana , ndio bei zake ila cha msingi Cheki kama haijatembea kilometa nyingi ikafikia 180000km kama ipo chini ya 80 elfu chukua utaenjoy bro
Nani kakuongopea uimara na ubora wa gari unaangaliwa kwa kilomita zilizotembewa??..

Kama unamiliki gari njoo nalo nikurudishie hizo kilomita zako mpaka kufika 00
 
Habari
Kiongozi hv IST ambayo engine yake imekufa. Kisha ukabadilisha na kuweka ENGINE mpya (used Dubai) yenye uwezo kama ya mwanzo kwa kila kitu. Je ubora wa gari na uimara utakuaje?baada ya mabadiliko hayo.
Msaada kwa hili wadau plz
 
Ubora upyaa mzee wazungumzia??kama wa engine itakuwa bora kufuatana na uliyo iweka
 
Habari
Kiongozi hv IST ambayo engine yake imekufa. Kisha ukabadilisha na kuweka ENGINE mpya (used Dubai) yenye uwezo kama ya mwanzo kwa kila kitu. Je ubora wa gari na uimara utakuaje?baada ya mabadiliko hayo.
Msaada kwa hili wadau plz
Kama engine ni sawa ubora na uimara utategemea fundi atakayeifunga
 
Wa kubwa gariyangu paso piston 4 inawasha taa ya chek engine a kuzima inawaka na kuzima,nimefanya sevs tatizo bado lipo Je nifanyeje wajuvu??
 
Back
Top Bottom