Ni kupoteza muda wako tu, Tanganyika mumeizika wenyewe mumebaki kuwapa lawama wasiohusika.. hapa ni sawa na kupaka rangi upepo kijana, vunja muungano brick back your ghost country acha ulalamishi.Kwa mapana yake
Tulipotoka
Tulipo na tuendako
Tupopatia tulipokosea na tulipoumizwa
Tulipopotea, tulipokengeuka, tuliporubuniwa na tulipojisahau
Tuwajadili pia wazalendo waliojaribu kuipigiania Tanganyika. Timu ile ya G55 original, Rev. Mtikila na Akina Mwabukusi kwa sasa
Tuyajadili kwa undani yale yanayosemwa kwa sasa.. Utawala wa mamluki .. Watu wasio na huruma na Tanganyika yetu.. Na tuhuma zisizosemwa kwa sauti
Tujadili kwa mapana namna wachache kati yetu walivyokubali kuiua Tanganyika kwa kukosa uzalendo na kupokea mafungu ya shekeli za laana
Hii ni mada ya Tanganyika kwa watanganyika.. Kama wewe ni mamluki kaa pembeni tafadhali
Una lolote la kuiambia Tanganyika? Karibu
Ref: Plato: Myth of the caveView attachment 3366497
Hawajali kwakuwa wananufaika Kwa Wizi na Ufisadi waoHalafu wanaosaini hii mikopo ni watanganyika pure
Tofautisha mjadala na malalamiko..Ni kupoteza muda wako tu, Tanganyika mumeizika wenyewe mumebaki kuwapa lawama wasiohusika.. hapa ni sawa na kupaka rangi upepo kijana, vunja muungano brick back your ghost country acha ulalamishi.
Chako chetu lakini changu changuMpaka sasa kusema ukweli hamna ambae anaweza kutupa faida tatu za muungano kwetu Tanganyika dhidi ya wenzetu wazanzibar
Tunatamani kumlaumu nyerere lakini hatujui kitu gani kilimsukuma kuiunganisha nchi na hao wenzetu.
Kuna kitu kimoja ambacho nakifahamu siku zote maamuzi ambayo umeyafanya nyuma ukija kuyatathimini utaona kuna kitu hakikuenda sawa au ulifanya makosa kwa maamuzi hayoMpaka sasa kusema ukweli hamna ambae anaweza kutupa faida tatu za muungano kwetu Tanganyika dhidi ya wenzetu wazanzibar
Tunatamani kumlaumu nyerere lakini hatujui kitu gani kilimsukuma kuiunganisha nchi na hao wenzetu.
Kwani kuna Mtanganyika anae wapenda Wazanzibari ?Mkuu hakuna mzanzibar anayetupenda hata mmoja hilo sahau
Mjadala wa maiti ni useless alokufa amekufa kaka .Tofautisha mjadala na malalamiko..
Unaogopa nini?NAOGOPA SANA
Tuna
Taifa la Tanzania halafu tuna Taifa la Zanzibar
Tuna nchi ya Tanzania halafu tuna nchi ya Zanzibar
Kwahiyo tunapata
Mipaka ya Tanzania na mipaka ya Zanzibar
Bunge la Tanzania na baraza la wawakilishi Zanzibar
Serikali ya Tanzania na serikali ya mapinduzi Zanzibar
Jeshi la wananchi Tanzania na jeshi la kujenga uchumi Zanzibar
Bendera ya Tanzania na Bendera ya Zanzibar
Wimbo wa taifa wa Tanzania na wimbo wa taifa wa Zanzibar
nknk
Tanganyika iko wapi?
Tumebakiwa na vichache visivyo na sauti
Tanganyika law society
Tanganyika arms
Tanganyika library
Naogopa sana...‼❗❕
Muliyatimba kuungana na wanzanzibar ambao hamkuwa ata na unasaba nao sijui kitu gani kilipelekea maamuzi ya ujimaa kama yale now you pay the price ..Nyerere hakuwaza kuna siku rais atakufa madarakani , angekuwa ana elimu ya ghaib angekipeperusha icho kisiwa .Tulipotoka tunapajua, tulipokuwa tunataka kwenda tunajua, ila hapa tulipo kuna WAHUNI wametufikisha makusudi ili watupoteze tusifike kule tunapotaka kwenda ili yao yawaendee, wanufaike zaidi.