Watu kama hawa, bila kujali imani zao, tuungane, tuyachukue haya mateso tunayopitia, tuunganishe nguvu, tumlilie Mungu ili atupe njia sahihi za kudili na ukandamizwaji huuViongozi wachuuzi na wapenda pesa, hawana cha kupoteza na kitu kinaitwa Tanganyika au muungano
Wanauhakika wa kuhama nchi pindi inapobidi, kwa hiyo huwezi kuwaeleza wakaelewa kama wanaharibu mahali
Wao kwao, Tanganyika au muungano si kipaombele chao, bali ni wapi zilipo pesa wapige?
Tunatokaje hapo?
Ni wanyonge waliochoka kabisa kulipishwa kodi na hawaoni zinafanya nini zaidi ya kuwaletea maumivu tena
Kunyang'anywa hata kile kidogo walichonacho
Nachukulia mfano,
Machinga huwa ni mtu anayetumia jasho na damu kupata ridhiki lake, lakini amewekewa mgambo wa kumsaka, na akimpata anamnyang'anya mali zake anabaki masikini na asijue atapata vipi tena, na wakati huo huo anawatoto, maana yake, yeye na kizazi chake chote, hakiwezi kuondokana na umasikini
Watu kama hawa, bila kujali imani zao, tuungane, tuyachukue haya mateso tunayopitia, tuunganishe nguvu, tumlilie Mungu ili atupe njia sahihi za kudili na ukandamizwaji huu
Na ama Tumwambie Mungu aanze kuwanyofoa mmoja baada ya mwingine ambao wamekuwa wanyonyoji wa nchi hii
Ukiona watanganyika hawatakiwi kumiliki ardhi Zanzibar lakini wao wanamiliki Tanganyika, uongozi vivyo hivyo. Nyerere alitukosea watanganyika,hatupaswi kuendelea na kosa hili tukatae kabisaKwa mapana yake
Tulipotoka
Tulipo na tuendako
Tupopatia tulipokosea na tulipoumizwa
Tulipopotea, tulipokengeuka, tuliporubuniwa na tulipojisahau
Tuwajadili pia wazalendo waliojaribu kuipigiania Tanganyika. Timu ile ya G55 original, Rev. Mtikila na Akina Mwabukusi kwa sasa
Tuyajadili kwa undani yale yanayosemwa kwa sasa.. Utawala wa mamluki .. Watu wasio na huruma na Tanganyika yetu.. Na tuhuma zisizosemwa kwa sauti
Tujadili kwa mapana namna wachache kati yetu walivyokubali kuiua Tanganyika kwa kukosa uzalendo na kupokea mafungu ya shekeli za laana
Hii ni mada ya Tanganyika kwa watanganyika.. Kama wewe ni mamluki kaa pembeni tafadhali
Una lolote la kuiambia Tanganyika? Karibu
Ref: Plato: Myth of the caveView attachment 3366497
TanganyikaKwa mapana yake

Kwa Sasa Tanganyika inatawaliwa na mkoloni CHURA KIZIWIKwa mapana yake

Tupiganie sana Katiba Mpya ambayo itaipa Tanganyika nafasi yake na Uhuru wake.Kwa mapana yake
Tulipotoka
Tulipo na tuendako
Tupopatia tulipokosea na tulipoumizwa
Tulipopotea, tulipokengeuka, tuliporubuniwa na tulipojisahau
Tuwajadili pia wazalendo waliojaribu kuipigiania Tanganyika. Timu ile ya G55 original, Rev. Mtikila na Akina Mwabukusi kwa sasa
Tuyajadili kwa undani yale yanayosemwa kwa sasa.. Utawala wa mamluki .. Watu wasio na huruma na Tanganyika yetu.. Na tuhuma zisizosemwa kwa sauti
Tujadili kwa mapana namna wachache kati yetu walivyokubali kuiua Tanganyika kwa kukosa uzalendo na kupokea mafungu ya shekeli za laana
Hii ni mada ya Tanganyika kwa watanganyika.. Kama wewe ni mamluki kaa pembeni tafadhali
Una lolote la kuiambia Tanganyika? Karibu
Ref: Plato: Myth of the caveView attachment 3366497
Tupiganie sana Katiba Mpya ambayo itaipa Tanganyika nafasi yake na Uhuru wake.
Viongozi wachuuzi na wapenda pesa, hawana cha kupoteza na kitu kinaitwa Tanganyika au muungano
Wanauhakika wa kuhama nchi pindi inapobidi, kwa hiyo huwezi kuwaeleza wakaelewa kama wanaharibu mahali
Wao kwao, Tanganyika au muungano si kipaombele chao, bali ni wapi zilipo pesa wapige?
Tunatokaje hapo?
Ni wanyonge waliochoka kabisa kulipishwa kodi na hawaoni zinafanya nini zaidi ya kuwaletea maumivu tena
Kunyang'anywa hata kile kidogo walichonacho
Nachukulia mfano,
Machinga huwa ni mtu anayetumia jasho na damu kupata ridhiki lake, lakini amewekewa mgambo wa kumsaka, na akimpata anamnyang'anya mali zake anabaki masikini na asijue atapata vipi tena, na wakati huo huo anawatoto, maana yake, yeye na kizazi chake chote, hakiwezi kuondokana na umasikini
Watu kama hawa, bila kujali imani zao, tuungane, tuyachukue haya mateso tunayopitia, tuunganishe nguvu, tumlilie Mungu ili atupe njia sahihi za kudili na ukandamizwaji huu
Na ama Tumwambie Mungu aanze kuwanyofoa mmoja baada ya mwingine ambao wamekuwa wanyonyoji wa nchi hii
Huyu mama anapenda vitu vyote vizuri vizuri viitwe kwa jina lake
Fair enough!Kwahiyo naamini kwa wakati ule,maamuzi waliyofanya akina comrade Nyerere na comrade Karume yalikuwa maamuzi sahihi kutokana na mahitaji ya wakati ule
-Njia ya kutatua matatizo ni mbovu. Kwamba kuna 'kero' za Wazanzibar, wasikilizwe na kutekelezewaSasa kizazi baada ya uhuru tunaona hawa wazee walifanya makosa,lakini hatupaswi kuwalaumu bali tunapaswa kutafuta njia ya kutatua mapungufu ambayo yamejitokeza
Pande zipo ngapi?Moja wapo ni huu wa kwetu,waazilishi waliamua kuwa na aina hiyo ya Muungano,kwamba kila upande utakuwa na Raisi wake na bendera yake
Hivi unataka sauti zipi tena! kwamba huoni au hujasikia!Kwahiyo mimi na wewe tumeyakuta hayo,kama haturidhiki basi tutafute namna ya kupaza sauti na kurudisha Tanganyika yenu
Changamoto zipi zimetatuliwa?Kama wakubwa hawaoni haja ya kufanya hivyo na waona la kheri ni kuendelea kutatua changamoto kama wanavyofanya siku zote,basi tukae kwa kutulia
Kwa mapana yake
Tulipotoka
Tulipo na tuendako
Tupopatia tulipokosea na tulipoumizwa
Tulipopotea, tulipokengeuka, tuliporubuniwa na tulipojisahau
Tuwajadili pia wazalendo waliojaribu kuipigiania Tanganyika. Timu ile ya G55 original, Rev. Mtikila na Akina Mwabukusi kwa sasa
Tuyajadili kwa undani yale yanayosemwa kwa sasa.. Utawala wa mamluki .. Watu wasio na huruma na Tanganyika yetu.. Na tuhuma zisizosemwa kwa sauti
Tujadili kwa mapana namna wachache kati yetu walivyokubali kuiua Tanganyika kwa kukosa uzalendo na kupokea mafungu ya shekeli za laana
Hii ni mada ya Tanganyika kwa watanganyika.. Kama wewe ni mamluki kaa pembeni tafadhali
Una lolote la kuiambia Tanganyika? Karibu
Ref: Plato: Myth of the caveView attachment 3366497
Sahihisho! Vinaitwa Vikosi vya idara maalumuNAOGOPA SANA
Jeshi la wananchi Tanzania na jeshi la kujenga uchumi Zanzibar