James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 9,199
- 15,555
FOR THOSE WHO BELIEVE.
BE PART OF IT.
IT WON'T BE TELEVISED
## BRING TANGANYIKA BACK AGAIN
BE PART OF IT.
IT WON'T BE TELEVISED
## BRING TANGANYIKA BACK AGAIN
God forbid😩😩😩Deni la Taifa limepaa kutoka Trillioni 62 Mwaka 2021 hadi Trillioni 107 Mwaka 2025.
Yaani ndani ya miaka 4 tayari ongezeko la deni limefikia Trillioni 45 sawa na wastani wa Trillioni 11.25 Kila Mwaka
Ngoja tumpe mitano mingine hadi 2030 deni litafika Trillioni 180 🙌
Mbaya zaidi hakuna miradi inayoweza kuoneshwa kwamba imetekelezwa Kwa hizo Trillioni 45 zilizofanya deni la Taifa lipae kiasi hichoGod forbid😩😩😩
Halafu wanaosaini hii mikopo ni watanganyika pureMbaya zaidi hakuna miradi inayoweza kuoneshwa kwamba imetekelezwa Kwa hizo Trillioni 45 zilizofanya deni la Taifa lipae kiasi hicho
Kwa maana kama Bwawa la Nyerere hadi JPM anafariki tayari Mkandarasi alishalipwa zaidi ya Trilioni 3.7
Hiyo Sgr ilishalipwa zaidi ya Trilioni 1.4
Sijui hizo Trilioni 45 zimeingizwa kwenye Mradi gani Mkubwa zaidi ya miradi yao binafsi ya matumbo 🙌
Hawana aibu hawa takataka. Unajua viongozi miaka ya zamani wakiumbiliwa wanakuwa na aibu,walikuwa wanawajibika kwa uzembe wowote,hawa wasasa wamejawa na viburi na utomvu wa nidhamu.Halitaisha Leo na mambo yasipobadilika watakopa tena na tena😡😡😡
Naunga mkonoTatizo linaanzia kwenye TAMBIKO KUU, hapa panatakiwa mahesabu makali sana, wazee warudi round table waone, ili sasa Mtanganyika aweze kuzinduka kutoka huko alikozikwa, aamke, ajitambue, ajue thamani ya alivyonavyo na kumiliki, ni hakika atavilinda kwa wivu mkubwa na tutasonga mbele kwa kasi inayoridhisha. Watu wa ule mkoa uliopo baharini watazamwe kwa jicho makini kabla mambo hayajaharibika zaidi.
Mzee alikuwa anasimamia ukweli bila kupindisha.RIP Mchungaji Christopher Mtikila
Ilikuwa kipindi cha Warioba.Tulikuwa na vuguvugu la serikali tatu..silisikii tena
Tuna G55 ya mchongo iliyojaa mamluki na makuwadi wa kuidalalia Tanganyika😩😡Hawana aibu hawa takataka. Unajua viongozi miaka ya zamani wakiumbiliwa wanakuwa na aibu,walikuwa wanawajibika kwa uzembe wowote,hawa wasasa wamejawa na viburi na utomvu wa nidhamu.
#Wawajibishwe
Huu mwenge unatakiwa kupumzika hili hawa ng'ombe hawataki kukubaliana nalo.Lile kafara la kukimbiza moto na yale matambiko ya Bagamoyo, Lindi na ziwa Tanganyika
Miradi ipo, ununuzi wa magari ya bei, kulipa posho zisizo na mbele wala nyuma,kugawa pesa kwa wasanii ili waseme "Mamaa mama mama mama", na kadhalika.Mbaya zaidi hakuna miradi inayoweza kuoneshwa kwamba imetekelezwa Kwa hizo Trillioni 45 zilizofanya deni la Taifa lipae kiasi hicho
Kwa maana kama Bwawa la Nyerere hadi JPM anafariki tayari Mkandarasi alishalipwa zaidi ya Trilioni 3.7
Hiyo Sgr ilishalipwa zaidi ya Trilioni 1.4
Sijui hizo Trilioni 45 zimeingizwa kwenye Mradi gani Mkubwa zaidi ya miradi yao binafsi ya matumbo 🙌
Inauma sana.Watanganyika wanakataa siku Yao ya uhuru hawataki kutaja Jina Tanganyka kabisa
Hahaha 😂, mkuu ngoja tujadili mambo ya Tz kwanza.Nasikia huko Kuna viumbe mtirirko kutoka marsabet, migori, kilifi na voi pamoja na secretarybird ni mmoja wa mtirirko huo
Viongozi hawana Uchungu na Nchi yao zaidi ya kushindana kuiba na kufisadi tuMiradi ipo, ununuzi wa magari ya bei, kulipa posho zisizo na mbele wala nyuma,kugawa pesa kwa wasanii ili waseme "Mamaa mama mama mama", na kadhalika.