Mada maalum: Tuijadili Tanganyika

Mada maalum: Tuijadili Tanganyika

Unaogopa nini?

Kuna aina mbali mbali za muungano

Moja wapo ni huu wa kwetu,waazilishi waliamua kuwa na aina hiyo ya Muungano,kwamba kila upande utakuwa na Raisi wake na bendera yake

Kwahiyo mimi na wewe tumeyakuta hayo,kama haturidhiki basi tutafute namna ya kupaza sauti na kurudisha Tanganyika yenu

Kama wakubwa hawaoni haja ya kufanya hivyo na waona la kheri ni kuendelea kutatua changamoto kama wanavyofanya siku zote,basi tukae kwa kutulia
Soma maudhii yaliyotanguliwa na hilo neno NAOGOPA
 
Ukija upande wa pili wa shilingi, zanzibar imemezwa na Tanzania bara au tumeseme Tanganyika ya mchongo

Zanzibar haiwezi kujiamulia mambo yake yenyewe ikiwemo kuingia mikataba mbali mbali ya kimataifa

Mpaka idhini itoke Tanzania bara/Tanganyika,kwahiyo ukiyaangalia haya mambo bila upendeleo utaona Zanzibar haina sauti

Na niwe mkweli lau Zanzibar isingefunga ndoa na Tanganyika tungekuwa leo tunaenda Zanzibar kufanya shopping kama tunavyoenda Dubai

Miaka ya nyuma wakati tupo wadogo watu walikuwa wanaenda zanzibar kununua bidhaa

Zanzibar ilikuwa na Television miaka mingi nyuma,kwahiyo kiukweli ukiniuliza mimi sisi Watanganyika ndio tunawachelewesha wazanzibar
 
Soma maudhii yaliyotanguliwa na hilo neno NAOGOPA
Nimesoma vizur sana ndio maana nikaja na hitimisho la kukuuliza unaogopa nini,wakati hao walio ingia mkataba huo waliona hiyo ndio aina ya Muungano walio utaka kwa wakati huo
 
Kwa nyakati zao walikuwa sahihi.. Lakini sasa hatuna faida nao tena hasa sisi Watanganyika
 
Muliyatimba kuungana na wanzanzibar ambao hamkuwa ata na unasaba nao sijui kitu gani kilipelekea maamuzi ya ujimaa kama yale now you pay the price ..Nyerere hakuwaza kuna siku rais atakufa madarakani , angekuwa ana elimu ya ghaib angekipeperusha icho kisiwa .
Huenda alikuwa na wazo zuri la kuunganisha afrika,
Lakini hakujua ya ghaib, kuwa waafrika tuna changamoto kubwa sana.
 
Tanzania inapaswa kufuata mfumo wa kichina wa, REN LI XIAO!, Tutafika mbali sana!, wamagharibi wanalengo baya na demokrasia yao, this is function less system to Africa, ni mfumo umeleta shida mno kila kona ya Africa, tuukatae mfumo huu unawafaa wazungu wenyewe!
 
10 FACTS ZAKUHUZUNISHA KUHUSU TANGA...NYIKA(Tnk)😭😭😭.

1.) Tnk niliardhi likuuubwa lisilo nchi likiongozwa na mwanamke kutokea nchi nyingine ndooogo kabisa Zbar.😭😭😭

2.) Tnk Ndiyo lieneo ambalo bajeti ya uchaguzi inakaribiana na bajeti yake ya afya kwa nchi nzima.😭😭😭

3.) Tnk Ndiyo lieneo ambalo katiba yake iliandikwa na watu wachache waliojifungia na kukopi katiba ya mkoloni aliyewatesa wao wenyewe.😭😭😭

4.) Tnk Ndiyo lieneo lililoungana na kanchi kadoogo nayenyewe iliyokubwa kufuta heshma yake yakuwa nchi😭😭😭.

5.) Tnk Lieneo zuuri lilojaliwa madini,ardhi,maziwa,bahari,mito, watu, lakini ikakosa siasa safi na uongozi Bora hivyo kuwa nchi duuni afrika mashariki ikifail kupinga ujinga,umasikini na maradhi kwakiwango kikubwa😭😭😭.

6.) Tnk Lieneo ambalo wananchi wanatekwa,wanauwawa, mfano mwananchi anashushwa kwenye basi anauwawa na kiongozi mkuu kabisa anatoa majibu KIFO NI KIFO TUU😭😭😭.

7.) Tnk Lieneo mtu mmoja raisi anateua viongozi na kufukuza apendavyo kuanzia mahakamani majaji mpaka tume ya uchaguzi anaoshiriki kugombea😭😭😭.

8.) Tnk Lieneo Kila mahali nimabango ya mama,mama na watu wake huimbishwa jina la raisi na Kila kinachofanyika Kwa kodi zao na mikopo wanayoingizwa niyeye anasifiwa kufanya.😭😭😭

9.) Tnk Lieneo raisi anaweza kumfunga mtu yeyote,kumtoa madarakani hata SPIKA na hata avunje Sheria vipi haipaswi kushtakia maisha yake yoote.😭😭😭

10.) Tnk Lieneo elimu hutolewa kwa kiingereza lakini wananchi hawaijui hiyo lugha na kiongozi hupewa udaktari sayoyote akiutaka.😭😭😭.

ENEO LENYE WATU UNCONCIOUS NA WAOGA NILOWAHI KULIJUAMAISHANI😭😭😭😭😭😭
 
Zimebaki story

Tanganyika ilikuwa nchi ya zamani katika Afrika Mashariki iliyokuwepo kuanzia mwaka 1961 hadi 1964, kabla ya kuunganishwa na Zanzibar na kuunda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hapo awali lilikuwa koloni la Ujerumani na baadaye mamlaka ya Uingereza na kisha eneo la uaminifu la Umoja wa Mataifa.
Mambo muhimu kuhusu Tanganyika:
Kabla ya uhuru:
Tanganyika ilikuwa sehemu ya Afrika Mashariki ya Kijerumani, kisha ikawa mamlaka ya Waingereza chini ya Umoja wa Mataifa, na baadaye eneo la uaminifu la Umoja wa Mataifa.
Uhuru:
Tanganyika ilipata uhuru Desemba 9, 1961, kwa mujibu wa Britannica.
Muungano:
Aprili 26, 1964, Tanganyika iliungana na Zanzibar kuunda Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, ambayo baadaye iliitwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Umuhimu wa Kihistoria:
Jina Tanganyika pia linatumika kwa ziwa kubwa la Afrika, Ziwa Tanganyika, ambalo linapakana na nchi kadhaa.
 
Kwa mapana yake
Tulipotoka
Tulipo na tuendako
Tupopatia tulipokosea na tulipoumizwa
Tulipopotea, tulipokengeuka, tuliporubuniwa na tulipojisahau
Tuwajadili pia wazalendo waliojaribu kuipigiania Tanganyika. Timu ile ya G55 original, Rev. Mtikila na Akina Mwabukusi kwa sasa

Tuyajadili kwa undani yale yanayosemwa kwa sasa.. Utawala wa mamluki .. Watu wasio na huruma na Tanganyika yetu.. Na tuhuma zisizosemwa kwa sauti
Tujadili kwa mapana namna wachache kati yetu walivyokubali kuiua Tanganyika kwa kukosa uzalendo na kupokea mafungu ya shekeli za laana
Hii ni mada ya Tanganyika kwa watanganyika.. Kama wewe ni mamluki kaa pembeni tafadhali

Una lolote la kuiambia Tanganyika? Karibu

Ref: Plato: Myth of the caveView attachment 3366497
Nyerere alifanya kosa kubwa sana kutuunganisha na hao kupe. Ni wakati sahihi sasa wa kuondokana na huu muungano wa kidwanzi wa changu changu, chako changu.
 
Kwa mapana yake
Tulipotoka
Tulipo na tuendako
Tupopatia tulipokosea na tulipoumizwa
Tulipopotea, tulipokengeuka, tuliporubuniwa na tulipojisahau
Tuwajadili pia wazalendo waliojaribu kuipigiania Tanganyika. Timu ile ya G55 original, Rev. Mtikila na Akina Mwabukusi kwa sasa

Tuyajadili kwa undani yale yanayosemwa kwa sasa.. Utawala wa mamluki .. Watu wasio na huruma na Tanganyika yetu.. Na tuhuma zisizosemwa kwa sauti
Tujadili kwa mapana namna wachache kati yetu walivyokubali kuiua Tanganyika kwa kukosa uzalendo na kupokea mafungu ya shekeli za laana
Hii ni mada ya Tanganyika kwa watanganyika.. Kama wewe ni mamluki kaa pembeni tafadhali

Una lolote la kuiambia Tanganyika? Karibu

Ref: Plato: Myth of the caveView attachment 3366497
Kajadili na mamako aliyeshindwa kukulea ipasavyo
 
Ukija upande wa pili wa shilingi, zanzibar imemezwa na Tanzania bara au tumeseme Tanganyika ya mchongo

Zanzibar haiwezi kujiamulia mambo yake yenyewe ikiwemo kuingia mikataba mbali mbali ya kimataifa

Mpaka idhini itoke Tanzania bara/Tanganyika,kwahiyo ukiyaangalia haya mambo bila upendeleo utaona Zanzibar haina sauti

Na niwe mkweli lau Zanzibar isingefunga ndoa na Tanganyika tungekuwa leo tunaenda Zanzibar kufanya shopping kama tunavyoenda Dubai

Miaka ya nyuma wakati tupo wadogo watu walikuwa wanaenda zanzibar kununua
received_682428034689588.jpeg
bidhaa

Zanzibar ilikuwa na Television miaka mingi nyuma,kwahiyo kiukweli ukiniuliza mimi sisi Watanganyika ndio tunawachelewesha wazanzibar
 
Binafsi naona hakuna tunapoenda tupo tunazidi kurudi nyuma, leo hii znz ni nchi kamili lakini Tanganyika yetu haipo. tulikosea kwenye katiba lakin nafasi ya kubadili katiba kutibu mambo haya imepokwa na walafi wa madaraka. wanaojali kesho yao kuliko sis raia. Binafsi ninaimiss Tanganyika iliyo huru kama ilivyoainishwa kweny katiba pendekezwa ya warioba. Nini tufanye sisi kama wananchi tuhodhi hii michakato tuwe sehemu ya michakato na isiwe ya wanasiasa pekee. Mchawi mkuu hapa ni katiba mbovu tuliyonayo na watu wameshalipigia hili kelele sana sana.
 
Back
Top Bottom