Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 14,239
- 22,674
Kama next soapy ya uzalo tuendeleze hapa hapa wana jamvi hakuna haja ya kuanzisha Uzi mwingine
Big up ITV leteni mawee
Big up ITV leteni mawee
Okk kwa sibiya Mimi ntakuwa nilitoa tafsiri tofauti thanks,mkuu ila nimekumbuka ntando kama alihamishwa hospital baada ya kunusurika kuuliwa na mayekiso..ila ukauzu Wa Roman nao. ilikuwa unafurahisha sana...Mkewe alisema watoto sio wake sibiya kweli?
Wote watano? Lakini sidhani alikuwa kama anamuonya sibiya kwamba alimsahau sana na watoto kawasahau kwamba sio wake.
Ntando lazima atakuwa alishambuliwa na watu wa mayekiso nae kauliwa
Ila Sibiya mwamba sana kawakilisha viziriOkk kwa sibiya Mimi ntakuwa nilitoa tafsiri tofauti thanks,mkuu ila nimekumbuka ntando kama alihamishwa hospital baada ya kunusurika kuuliwa na mayekiso..ila ukauzu Wa Roman nao. ilikuwa unafurahisha sana...
Lile jamaa halijawahi kucheka huwa linatabasamu tu .Okk kwa sibiya Mimi ntakuwa nilitoa tafsiri tofauti thanks,mkuu ila nimekumbuka ntando kama alihamishwa hospital baada ya kunusurika kuuliwa na mayekiso..ila ukauzu Wa Roman nao. ilikuwa unafurahisha sana...
Hapana mkuu sidhani yule mdada ni wa zamani nakumbuka ni kama cherel de ville le roux ndo Lincoln akauliza "you again" yaani wanajuana.Ila Sibiya mwamba sana kawakilisha viziri
Lincoln mwisho pale kauwawa na watu wa Mayekiso nadhani
Ilishakwisha kitambo huko SABC3 ,mwaka jana.Huku ITV walikuwa nyuma kwa mwaka mmoja!Imeisha au ITV mitano tena imebidi waandike imeisha?
Duh hatari.Ilishakwisha kitambo huko SABC3 ,mwaka jana.Huku ITV walikuwa nyuma kwa mwaka mmoja!
Mwamba nimemwelewa sana yaanHapana mkuu sidhani yule mdada ni wa zamani nakumbuka ni kama cherel de ville le roux ndo Lincoln akauliza "you again" yaani wanajuana.
Sibiya alitakiwa kuziba character ya matiala lakini kapitiliza malengo kauwa sanaaa
Mtwatsi thulani -sibiya
Hatimaye mmefikishwa kilelenitujipe pongezi kwa wadau wote tuliofika hadi tamati"hongera kwetu "
Nadhani ww ni mdau mwnzng w isidingoIlishakwisha kitambo huko SABC3 ,mwaka jana.Huku ITV walikuwa nyuma kwa mwaka mmoja!
Bila shaka.Mimi na familia ikifika saa 1:30 tunawasha luninga ITV,kuangalia Isidingo.Hata kama hatupo watoto wanaangalia.Wanajua hiyo ratiba.SABC3 nilifuatilia mwaka jana mpaka mwisho.Nilikuwa na alert mpaka ya Youtube kwenye gadget yangu!🤣Nadhani ww ni mdau mwnzng w isidingo
hatujashurutishwa tulifika wenyewe "HITIMISHO"😏Hatimaye mmefikishwa kileleni
Tuanzishe soap yetu bwana mkubwaSiamini kama imeisha