Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

Mkewe alisema watoto sio wake sibiya kweli?
Wote watano? Lakini sidhani alikuwa kama anamuonya sibiya kwamba alimsahau sana na watoto kawasahau kwamba sio wake.
Ntando lazima atakuwa alishambuliwa na watu wa mayekiso nae kauliwa
Okk kwa sibiya Mimi ntakuwa nilitoa tafsiri tofauti thanks,mkuu ila nimekumbuka ntando kama alihamishwa hospital baada ya kunusurika kuuliwa na mayekiso..ila ukauzu Wa Roman nao. ilikuwa unafurahisha sana...
 
Baadae ya miaka nenda miaka rudi hatimaye ile tamthilia ambayo nikiwa mdogo nilikuwa nalazimika kuicheki na kuifuatilia (hakukuwa na television nyingine) IMEISHA, sasa swali hivi tz tunaubavu wa kutengeneza tamthilia kama hizi? Imekwisha ikiwa na zaidi ya episodes 5414 katika misimu 22. Hongereni ma rejendali wa huko SA kwa akina khumbu
5eadb7450f2f4ffeab446d8d780ad296.jpg
 
Okk kwa sibiya Mimi ntakuwa nilitoa tafsiri tofauti thanks,mkuu ila nimekumbuka ntando kama alihamishwa hospital baada ya kunusurika kuuliwa na mayekiso..ila ukauzu Wa Roman nao. ilikuwa unafurahisha sana...
Ila Sibiya mwamba sana kawakilisha viziri

Lincoln mwisho pale kauwawa na watu wa Mayekiso nadhani
 
Lile jamaa halijawahi kucheka huwa linatabasamu tu .
Pale Lincoln alipomtwanga mayekiso risasi damu zikawarukia usoni Roman ndo kama linafurahi yaani ..
Sema mayekiso jinga sana yaani limepewa chance ya kuishi bado likarudi tenaa
 
Ila Sibiya mwamba sana kawakilisha viziri

Lincoln mwisho pale kauwawa na watu wa Mayekiso nadhani
Hapana mkuu sidhani yule mdada ni wa zamani nakumbuka ni kama cherel de ville le roux ndo Lincoln akauliza "you again" yaani wanajuana.

Sibiya alitakiwa kuziba character ya matiala lakini kapitiliza malengo kauwa sanaaa
Mtwatsi thulani -sibiya
 
Mwamba nimemwelewa sana yaan
 
Nadhani ww ni mdau mwnzng w isidingo
Bila shaka.Mimi na familia ikifika saa 1:30 tunawasha luninga ITV,kuangalia Isidingo.Hata kama hatupo watoto wanaangalia.Wanajua hiyo ratiba.SABC3 nilifuatilia mwaka jana mpaka mwisho.Nilikuwa na alert mpaka ya Youtube kwenye gadget yangu!🤣
 
33 Reactions
Reply
Back
Top Bottom