Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 14,185
- 22,587
yes alivalishwa na Pete huyo dem wetuLungi huyu huyu yellow bone
yes alivalishwa na Pete huyo dem wetuLungi huyu huyu yellow bone
toka 1999 nimeanza kuiangalia haya ni maisha tuMna moyo kweli, tamthiliya tangu kama sikosei 1995/6 iko tu na nyie manayo tu?
Daaaaahyes alivalishwa na Pete huyo dem wetu
Hendrick nae atalipa vile vilelalage aliwahi mcheat Hendrick...that's fair.
MkuuHendrick nae atalipa vile vile
kwanza zandre sio mtoto wa Hendrick..
malipo ni hapa hapa..
daah mkuu umefanya la maana Sana kumchimbua uyu dem wetu..Mkuu
Niliingia chimbo kutafuta info za Lungi nikagundua yafuatayo.
1. Ni chotara (baba yake mzungu na mama yake ni mweusi)
2. Yupo single kwa sasa baada ya kutemana na jamaa yake.
3. She is just at her 31st birthday hivyo mabaharia tunaweza kutupa ndoano maana mtoto ni mbichi n sexy kama mnavyomuona.
Hivi hapa Bongoland hatuna species kama ile ?daah mkuu umefanya la maana Sana kumchimbua uyu dem wetu..
MI kumuona tuu inatoshaa.. akitabasamu sasa daah
Hivi hapa Bongoland hatuna species kama ile ?
hapa kwetu yamejazana yale man made in ChinaHivi hapa Bongoland hatuna species kama ile ?
Baada ya muda yanapoteza ubora kama YouTong za mchinahapa kwetu yamejazana yale man made in China
Tangu nimeanza kuangalia tv miaka ya 90 naiona ila hata sielewiKwetu sisi wafuatiliaji wa tamthilia hii maarufu sana, naamini toka Enzi hizo ikianza wengi tumekua tukiingia na kutoka lakini mwisho wa siku bado tunapata ule utamu wake.
Basi tutumieni hili jukwaa kupashana yanayojiri in case mmoja wetu amepitwa siku hiyo.
View attachment 529420
Wendy kaamua amrithi dada yake,ila Nina anaisoma namba kisawasawa na mganga wake kamtosa.Jamani Wendy ndio nini kujipidoa vile na kumvalia Shemeji namna ile au ndio anataka amrithi Dada
Lungi naye na sechaba mmh naona karibia kunakucha
Ila obakeng sijui alijiamini nini kwenda kumtisha linc na niliona ka katekwa
Acha Wendy ajilie mafao na mzee Hendrik mwanzo mgumu! Wendy juzi kajipodoa mpaka Anja anashangaa kulikoniSikuwahi kudhani kama lalage atabadilika namna hii..
Sasa hivi yuko bize, Hana time na family yake.. Mbaya zaidi ana Maneno makali sana siku hizi mbele ya mumewe
Kumbe Alishawahi kumcheat Hendrick huko nyuma...!
Kwa hili Wendy na Hendrick nipo nanyi
Gegedaneni tuu na mfyatue mtoto ikiwezekana..
Zandre nae anamvunja moyo sana dingi ake. Kanaboa haka kajamaa.. chenyewe kanataka kushika viuno vya wake za watu eti ndo trainer sijui..
Nina anakiona cha mtema kuni.. sijui huyo mtema kuni yuko wapi??
Halafu huyu majola vipi?? Mbona anatishia watu ovyoo au ndo policcm??
Naona Kama anamuonea huruma ex wake mama obakeng
Pesa pesa noma
Wanawake tukiona pesa tunachanganyikiwa
Leo lalage baada ya kujua mkwanja aliovuta mumewe kamkamatia vilivyo