Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

Hendrick nae atalipa vile vile
kwanza zandre sio mtoto wa Hendrick..

malipo ni hapa hapa..
Mkuu

Niliingia chimbo kutafuta info za Lungi nikagundua yafuatayo.
1. Ni chotara (baba yake mzungu na mama yake ni mweusi)
2. Yupo single kwa sasa baada ya kutemana na jamaa yake.
3. She is just at her 31st birthday hivyo mabaharia tunaweza kutupa ndoano maana mtoto ni mbichi n sexy kama mnavyomuona.
 
daah mkuu umefanya la maana Sana kumchimbua uyu dem wetu..
MI kumuona tuu inatoshaa.. akitabasamu sasa daah 😍😍😍
 
Jamani Wendy ndio nini kujipidoa vile na kumvalia Shemeji namna ile au ndio anataka amrithi Dada

Lungi naye na sechaba mmh naona karibia kunakucha
Ila obakeng sijui alijiamini nini kwenda kumtisha linc na niliona ka katekwa
 
Kwetu sisi wafuatiliaji wa tamthilia hii maarufu sana, naamini toka Enzi hizo ikianza wengi tumekua tukiingia na kutoka lakini mwisho wa siku bado tunapata ule utamu wake.

Basi tutumieni hili jukwaa kupashana yanayojiri in case mmoja wetu amepitwa siku hiyo.

View attachment 529420
Tangu nimeanza kuangalia tv miaka ya 90 naiona ila hata sielewi
 
Jamani Wendy ndio nini kujipidoa vile na kumvalia Shemeji namna ile au ndio anataka amrithi Dada

Lungi naye na sechaba mmh naona karibia kunakucha
Ila obakeng sijui alijiamini nini kwenda kumtisha linc na niliona ka katekwa
Wendy kaamua amrithi dada yake,ila Nina anaisoma namba kisawasawa na mganga wake kamtosa.
 
Sikuwahi kudhani kama lalage atabadilika namna hii.. 😠😠😠
Sasa hivi yuko bize, Hana time na family yake.. Mbaya zaidi ana Maneno makali sana siku hizi mbele ya mumewe 😠😠😠

Kumbe Alishawahi kumcheat Hendrick huko nyuma...!

Kwa hili Wendy na Hendrick nipo nanyi
Gegedaneni tuu na mfyatue mtoto ikiwezekana.. 😠😠

Zandre nae anamvunja moyo sana dingi ake. Kanaboa haka kajamaa.. chenyewe kanataka kushika viuno vya wake za watu eti ndo trainer sijui..

Nina anakiona cha mtema kuni.. sijui huyo mtema kuni yuko wapi??

Halafu huyu majola vipi?? Mbona anatishia watu ovyoo au ndo policcm??
Naona Kama anamuonea huruma ex wake mama obakeng😂😂😂
 
Sikuwahi kudhani kama lalage atabadilika namna hii..
Sasa hivi yuko bize, Hana time na family yake.. Mbaya zaidi ana Maneno makali sana siku hizi mbele ya mumewe

Kumbe Alishawahi kumcheat Hendrick huko nyuma...!

Kwa hili Wendy na Hendrick nipo nanyi
Gegedaneni tuu na mfyatue mtoto ikiwezekana..

Zandre nae anamvunja moyo sana dingi ake. Kanaboa haka kajamaa.. chenyewe kanataka kushika viuno vya wake za watu eti ndo trainer sijui..

Nina anakiona cha mtema kuni.. sijui huyo mtema kuni yuko wapi??

Halafu huyu majola vipi?? Mbona anatishia watu ovyoo au ndo policcm??
Naona Kama anamuonea huruma ex wake mama obakeng
Acha Wendy ajilie mafao na mzee Hendrik mwanzo mgumu! Wendy juzi kajipodoa mpaka Anja anashangaa kulikoni
 
33 Reactions
Reply
Back
Top Bottom