Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

Masikini Lincoln kajimaliza mwenyewe amekataa kumsikiliza Gatanga Sasa anaenda kuwa kipofu mazima kweli Nina ni nyoko aisee.
Huku kwenye ndoa ya Hendrick naona bundi kaingia,Lalage kaota mapembe.
Gabriel Mothusi naona hakati tamaa kwa Lungi huenda akafanikiwa.
 
Lalage anaona aibu kumtambulisha mumewe kwa maboss pata pesa tujue tabia yako!
 
Masikini Lincoln kajimaliza mwenyewe amekataa kumsikiliza Gatanga Sasa anaenda kuwa kipofu mazima kweli Nina ni nyoko aisee.
Huku kwenye ndoa ya Hendrick naona bundi kaingia,Lalage kaota mapembe.
Gabriel Mothusi naona hakati tamaa kwa Lungi huenda akafanikiwa.
Mkuu mwanamke akipata hela na wewe huna hela utaona cha moto. Kumbuka Hendrick ameishi na Lalage muda wote Lalage akiwa house wife. Na Hendrick hakuona tatizo. Sasa imegeuka upande wa pili imekuwa nongwa.
 
Nami namshangaa why
Gaby anaona kapendwa,hlf alikuwa anataka kujifanya kasahau date,maraa sechaba katokea ikabidi ajikumbushe
Au labda anamtaka Secheba ndio anamtumia tu Gabriel,maana hata pale alipoenda ofisini kwa Sechaba hata hakutegemea kumkuta Gabriel ila alivyoona wako wote et kajifanya kamfuata yeye na kukubali date
 
Lalage ndio amekuwa kiburi namna ile hadi kuanza kuwatiwa watu mikwara naye mtu wa connection,madada wa watu sijui Mpumi kapigwa mkwara mzito na Lalage.
 
Dah Leo nitaikosa
Linc anakuambia ni payback time
Simpatii picha Nina akiopofuka na ile mikogo yake
 
Masikini Nina anatia huruma mwanae Obakeng karudi hata kumuona hamuoni,sijui Mzee Lincoln kataka iwe hivyo.
 
Back
Top Bottom