Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 270,812
- 1,105,588
Obakeng anamwambia papa g kuwa yupo tayari kumhudumia kamo,ila mpaka ajifungue,papa g anamwambia hilo ni kosa anatakiwa awe karibu na kamo muda huo wakati ana mimba.obakeng anakubali na kuulizia kama ataendelea kuwa kwwnye biashara za familia,papa g anamuuliza obakeng kama anampenda kamo obakeng anakataa,anaulizwa kuhusu aphiwe anasema anataka ukaribu nae ila sio mahusiano yatakayoishia kwenye ndoa.papa g anakubali na kumtaka obakeng awe makin asimharibie huko,obakeng anashtuka,papa g anajiwah na kusema asijiharibie,obakeng anacheka na kumwambia papa g anamtaka mama kamo
Jody anampelekea zawad ya kumuaga kamo,na kumtaka akijifungua mtoto wa kiume amuite jody,kamo anasema jody halivutii,jody anamshukuru kamo kwa kuwa nae vizuri kipind chote alichokuwepo HD
Nina anamwona obakeng akiweka sawa bastola na kumwonya kujiingiza kwenye biashara za familia.obakeng anasema papa g kamkubalia na kwamba atakuwa anamhudumia kamo.nina anamwambia obakeng kuwa papa g anamtumia tu kumpaka mama kamo,obakeng hamsikilizi, Nina anakereka kuona ushaur wake haufatwi
Skhu akiwa na morogwa pfisin kwa barker,skhu anamwambia morogwa kuwa ameitwa humo na akina barker,morogwa anashtuka na kutaka whisky ili akili ichangamke,skhu anakataa,barker na tyson wanaingia na kumwambia morogwa kuwa wanamtaka aende polisi kuishtaki SG kwa kuumwa TB.morogwa anashtuka na kujuta kujiweka humo kichwa kichwa
Nina akiwa home kwao anaona mfuko sebulen na kuuangalia kilichomo anakuta ni vippdozi pamoja na kadi yenye ujumbe wa obakeng kwenda kwa kamo.
Morogwa akiwa shebeen anakunywa bia,jamaa mmoja anamfata alipowe bia hio,mhudumu anamtoa jamaa,matlala anaingia na kushangaa morogwa anakunywa bia sio whisky za bei mbaya na kuuliza mbona hakuna showoff,morogwa anakereka na kusema anajuta kudanganywa kwa neno urafiki na kusema watu wanajali maslah yao binafsi asingekubal zile pesa,sechaba anaingia na kumuuliza morogwa kuhusu utajir wake,morogwa anadanganya shangaz yake kafariki kamuachia urithi mrefu,sechaba anamwambia alidhan ni gabriel maana hawaeleweki na kumtakia morogwa mazishi mema
Barker anamwaga jody na kumtakia safari njema na masomo mema na kumweleza maana ya kuwa Haines. Jody na brad wanaondoka,barker anaenda kunywa whisky huku akizuia huzun kumtawala
Nina anaenda the rec na kuagiza keki kisha anamwambia aphiwe kuwa obakeng kaanza ukaribu na kamo na kwamba keahamnunulia vipodozi,aphiwe anaumia(nina anafanya hivyo akidhan aphiwe atajirudisha kwa nguvu kwa obakeng kumkomoa kamo)
Obakeng anaenda home kwa sechaba,sechaba anamuuliza kafata nini hapo,obakeng anasema kamfata kamo na kwamba anaomba radhi kwa yaliyotokea,sechaba na lerato hawamwelew na kumtaka aondoke,kamo na mama yake wanatokea,kamo anakasirika kumwona obakeng na kumtaka aondoke,mama mtu anajaribu kumshaur kamo ila wanaishia kuzozana
Morogwa anaenda ofisin kwa barker na kuwataka akina barker wampe ulinzi maana watu anaotakiwa kuwashtaki ni wakubwa kwa jamii,wanakubali kumpa ulinzi ila wanamtaka kupunguza showoff ili mambo yaende sawa. Morogwa anajuta
Sechaba anamkuta obakeng sebulen na kumwuliza anasubiria nini,obakeng anasema nkadi kamwambia asubirie atamleta kamo,sechaba anamwita kamo na kulaumu kutotumia kondom huku akiondoka. Kamo anakaa kwenye kochi akimshangaa obakeng kwa kujileta,obakeng anaomba msamaha na kumwambia kamo anahitaji kujua kila kitu kuhusu ujauzito huo na kumwuliza kamo anavyojisikia kamo hasira zinapungua anafunguka,obakeng anamfanyia message na miguu,kamo anatoa mguu na kulia akisema haamin kama obakeng anamjali hivyo
Nikiwe anaenda ofisin kwa barker na kumtaka barker amuuzie share zake huku akishangaa ukimya wake wakati share zinaporomoka thamani,barker anamwambia huwa hafanyi mipango kwa kelele na papara.nikiwe anaondoka na kusema atamsubiri