Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

Obakeng anamwambia papa g kuwa yupo tayari kumhudumia kamo,ila mpaka ajifungue,papa g anamwambia hilo ni kosa anatakiwa awe karibu na kamo muda huo wakati ana mimba.obakeng anakubali na kuulizia kama ataendelea kuwa kwwnye biashara za familia,papa g anamuuliza obakeng kama anampenda kamo obakeng anakataa,anaulizwa kuhusu aphiwe anasema anataka ukaribu nae ila sio mahusiano yatakayoishia kwenye ndoa.papa g anakubali na kumtaka obakeng awe makin asimharibie huko,obakeng anashtuka,papa g anajiwah na kusema asijiharibie,obakeng anacheka na kumwambia papa g anamtaka mama kamo

Jody anampelekea zawad ya kumuaga kamo,na kumtaka akijifungua mtoto wa kiume amuite jody,kamo anasema jody halivutii,jody anamshukuru kamo kwa kuwa nae vizuri kipind chote alichokuwepo HD

Nina anamwona obakeng akiweka sawa bastola na kumwonya kujiingiza kwenye biashara za familia.obakeng anasema papa g kamkubalia na kwamba atakuwa anamhudumia kamo.nina anamwambia obakeng kuwa papa g anamtumia tu kumpaka mama kamo,obakeng hamsikilizi, Nina anakereka kuona ushaur wake haufatwi

Skhu akiwa na morogwa pfisin kwa barker,skhu anamwambia morogwa kuwa ameitwa humo na akina barker,morogwa anashtuka na kutaka whisky ili akili ichangamke,skhu anakataa,barker na tyson wanaingia na kumwambia morogwa kuwa wanamtaka aende polisi kuishtaki SG kwa kuumwa TB.morogwa anashtuka na kujuta kujiweka humo kichwa kichwa

Nina akiwa home kwao anaona mfuko sebulen na kuuangalia kilichomo anakuta ni vippdozi pamoja na kadi yenye ujumbe wa obakeng kwenda kwa kamo.

Morogwa akiwa shebeen anakunywa bia,jamaa mmoja anamfata alipowe bia hio,mhudumu anamtoa jamaa,matlala anaingia na kushangaa morogwa anakunywa bia sio whisky za bei mbaya na kuuliza mbona hakuna showoff,morogwa anakereka na kusema anajuta kudanganywa kwa neno urafiki na kusema watu wanajali maslah yao binafsi asingekubal zile pesa,sechaba anaingia na kumuuliza morogwa kuhusu utajir wake,morogwa anadanganya shangaz yake kafariki kamuachia urithi mrefu,sechaba anamwambia alidhan ni gabriel maana hawaeleweki na kumtakia morogwa mazishi mema

Barker anamwaga jody na kumtakia safari njema na masomo mema na kumweleza maana ya kuwa Haines. Jody na brad wanaondoka,barker anaenda kunywa whisky huku akizuia huzun kumtawala

Nina anaenda the rec na kuagiza keki kisha anamwambia aphiwe kuwa obakeng kaanza ukaribu na kamo na kwamba keahamnunulia vipodozi,aphiwe anaumia(nina anafanya hivyo akidhan aphiwe atajirudisha kwa nguvu kwa obakeng kumkomoa kamo)

Obakeng anaenda home kwa sechaba,sechaba anamuuliza kafata nini hapo,obakeng anasema kamfata kamo na kwamba anaomba radhi kwa yaliyotokea,sechaba na lerato hawamwelew na kumtaka aondoke,kamo na mama yake wanatokea,kamo anakasirika kumwona obakeng na kumtaka aondoke,mama mtu anajaribu kumshaur kamo ila wanaishia kuzozana

Morogwa anaenda ofisin kwa barker na kuwataka akina barker wampe ulinzi maana watu anaotakiwa kuwashtaki ni wakubwa kwa jamii,wanakubali kumpa ulinzi ila wanamtaka kupunguza showoff ili mambo yaende sawa. Morogwa anajuta

Sechaba anamkuta obakeng sebulen na kumwuliza anasubiria nini,obakeng anasema nkadi kamwambia asubirie atamleta kamo,sechaba anamwita kamo na kulaumu kutotumia kondom huku akiondoka. Kamo anakaa kwenye kochi akimshangaa obakeng kwa kujileta,obakeng anaomba msamaha na kumwambia kamo anahitaji kujua kila kitu kuhusu ujauzito huo na kumwuliza kamo anavyojisikia kamo hasira zinapungua anafunguka,obakeng anamfanyia message na miguu,kamo anatoa mguu na kulia akisema haamin kama obakeng anamjali hivyo

Nikiwe anaenda ofisin kwa barker na kumtaka barker amuuzie share zake huku akishangaa ukimya wake wakati share zinaporomoka thamani,barker anamwambia huwa hafanyi mipango kwa kelele na papara.nikiwe anaondoka na kusema atamsubiri
 
Barker na kundi lake wakiwa duncan baa wanampa morogwa fomu ya kujaza malalamiko ya kufungua kesi dhidi ya SG. Morogwa ana wasiwasi wa kibarua chake SG baada ya hio kesi.skhu anamhakikishia atakua salama

Linc anajaribu kumshauri nikiwe jinsi ya kuendeaha biashara ila bidada mbishi hakubali ushauri

Nkadi anamwambia lerato kuwa anarudi kwake,maana mgogoro wake na kamo unamkosesha amani na kwamba ataenda kukabiliana na matatizo aliyoyaacha huko home bila kushirikiaha mtu hasa wachungaji ambao ndo wa kwanza kutoa siri za watu

Obakeng anamwambia papa g kuhusu kamo na emotion zake,papa g anamshauri azoee na akae nae karibu mpaka ajifungue,nina anacheka kwa kebehi kusikia papa g anatoa ushaur huo. Nina anamtaka obakeng ampiganie aphiwe la sivyo atamkosa

Morogwa akiwa duncan akihesabu pesa zake na kuweka kwenye pochi,gabr anatokea na kushangaa kumkuta morogwa hapo,morogwa anajitapa kuhusu rafiki zake wapya na kwamba hatamtajia gabriel asije kuwaiba,sechaba anatokea na kushangaa kuwakuta hapo,morogwa anaondoka ila gabr anabaki kutishiana na sechaba

Nina anaenda home kwa sechaba na kumkuta kamo,nina na kamo wanatoleana maneno,nina anamtaka kamo akae mbali na obakeng,lerato anaingilia na kumwambia nina amweke mbali kijana wake,nina anaondoka huku akiwatupia vijembe vya kuwa wanajipendekeza kwa wanaume wa zamdelas family

Morogwa anampatia matlala msosi alioununua duncan,matlala anamwonya morogwa asijiuze kwa ajili ya pesa na kwamba hakunaga vya bure duniani. Morohwa anabadili topic na kumwongelea gabr kwa kumuuliza matlala kama anafahamu dili za gabr na kwamba atawaweka kwenye hatar

Morogwa na matlala wanamwuliza gabriel kuhusu dili zake na kwamba awe makini maana papa g hatari,gabr anasema yeye hafugwi na mtu na hamwogopi mtu ila morogwa anamwambia bora papa g maana anafugwa na nikiwe pia. Wanabishana hapo mpaka kutaja walivyonana duncan huku gabr akishangaa uwezo wa pesa alizonazo morogwa,matlala haelew wanachoongelea na kuuliza wanachomficha,wote gabr na morogwa wanasema hawafichi kitu

Barker anawazo la kuididmiza zaidi sibeko kwa kutumia wakaguzi wa mgodin na kwamba watatoa rushwa,ila tyson hakubaliana na uamuzi huo

Aphiwe analitupa ua kwenye dustin,zukisa anamshauri amtafute obakeng na kutoa yote ya moyoni ilo awe huru. Either amtose obakeng au arudiane nae

Kamo analia kwa maneno ya nina,mama ake anatokea na kumnembeleza huku akimwambia wapo pamoja na kwamba hata kwenda kuchek ultrasound wataenda pamoja ila kamo anakataa na kutaka kwenda peke yake

Barker anamwonyesha tyson mkaguzi mwenyewe hapo duncan,na kumweleza historia ya jamaa na kumtaka tyson anamvuye kwa karibu maana wapo club moja ya golf
 
Papa g anampogia simu nkadi(mama lerato)kwa kisingizio cha kuongelea ishu ya watoto wao,nkadi anasema hapo kwenye simu inatosha na kwamba maongez yamesimamishwa mpaka kamo ajifungue ila papa g anataka waonane waongelee vizuri

Angie na tyson wanatoka chumban kwa angie,tyson anaaga kuondoka,angie anauliza atajjbu nn kwa mkewe ila tyson anasema hawaulizan maswali hayo na kumtaka angie atumie mbinu yoyote kuhakikisha linc anaconfess mauaji ya kat,angie anakasirika kuona tyson anamchukulia kama changudoa,tyson anajirud na kusema njia nyingine ya kitaalamu

Sechaba anamtaka nikiwe afanye maarifa ya kutatua matatizo ya kifedha bila kupunguza wafanyakazi,linc anaingia ofisin kwa nikiwe,sechaba anaondoka,linc anauliza kulikon,nikiwe anamuuliza linc kilichompeleka hapo na kumtaka asiwe anakuja hapo maana anamchanganya,linc anajaribu kutoa ushaur ila nikiwe hakubali,linc anaona nikiwe hayupo sawa na kuuliza,nikiwe anamwambia anahisi barker anapanga jambo kubwa kwa siri,linc anamtaka nikiwe kuwa makin kuyakabili matatizo

Barker na tyson wakiwa duncan,wanamuona jamaa wanaetaka kumtumia kuidondosha SG,barker anamwambia tyson ni muda wake huo aende kumweka jamaa sawa ila tyson anakataa na kuondoka. Jamaa amekaa mezan anakunywa coffee,barker anamfata akiwa na vifaa vya golf na kuanzisha maongezi wanaongelea golf,biashara kidogo ila jamaa haonyeshi ushirikiano sana

Nina anajaribu kumtia wivu aphiwe ili arudiane na obakeng ila aphiwe anasema hawezi rudiana na obakeng

Lerato anakereka kwa simu anazopokea za kuajiri msichana wa saluni maana hawana viwango kama vya aphiwe,zukisa anamwambia lerato kuwa yupo tayar kuwa na mwanaume,lerato anamuuliza zukisa kama tayr anaye ,zukisa anakataa ila anaonyesha anae,lerato katika kutaka ukweli zukisa anaondoka na kusema hayamhusu

Tyson anamwambia mkewe jinsi alivyomkimbia barker aliyetaka kumwingiza matatizon,kgotha anamwambia tyson inabidi yeye na barker waache mchezo wanaoucheza utaleta matatizo,ila tyson anasema move hio ngumu labda ijayo,kgotha anasema atamletea move ijayo

Kamo akiwa na obakeng home kwa sechaba,wanaangalia picha ya ultrasound, obakeng anashangaa hio picha,kamo anasema anaenda kulala,mara umeme unakatika lerato anawasha mishumaa,obakeng anampa picha ya ultrasound lerato anaiangalia na kumchamba kwa kuikataa mimba mwanzon,obakeng anajitetea na kusema amebadilika saiv,kamo anatokea na kuomba mshumaa,obakeng anaaga na kuondoka,kamo anauliza kwann hali haipo sawa,relato anamwambia obakeng katambua majukumu yake,kamo anasema obakeng anampenda aphiwe

Angie anampeleka linc mahakaman kisingizio ajizoeshe mazingira ya humo ndani,linc anapaangalia na kupata hofu na kumwambia angie yeye hajaua bali kat alidondoka,linc anaondoka,angie anamtymia sms tyson kwa alichokisema linc

Papa g anampeleka mama relato duncan,nkadi anauliza kama ni date hio,papa g anakataa na kusema ni maongez kwa ajili ya watoto wao,umeme unakatika na kurudi. Nkadi anasema anataka matunzo ya kamo na mjukuu yawe bora,papa g anakubali,nkadi anaaga aondoke

Penthouse kaja uncle wa linc na jamaa kama mganga wamewasha mshumaa wanafukiza na kunuia vitu kuhusu ulinzi wa nyumba na kuupumzisha salama mzimu wa kat,linc na nikiwe wanashangaa

Calvin anaangalia video za frank kwa laptop ili kupata inspiration kwa ajili ya kazi zake

Uncle wake linc na mkewe pamoja na linc na nikiwe wapo mezan wanasubiria dinner,umeme haupo,zukisa anasema itachukua muda jenereta kuwaka,zukisa anamtengea msosi ikiwemo mke wa uncle,ila mmama anakataa na kutaka samaki,nikiwe anamwambia zukisa akamwambie chief aandae samaki. Linc anasema wangeambiwa mapema ujio huo wangewaandalia kila kitu,ila uncle anasema hawakushirikishwa na kwamba imekuwaje kat kafariki kisha linc asingiziwe mauaji,uncle anamuuliza linc kama ameua kweli,linc anapata kigugumizi
 
Linc anakana kumuu katlego,kisha anamtupia lawama katlego kuwa alibadilika sana na kuwa na kampani mbaya.linc anamwambia uncle wake kuwa ana mwanasheria mzuri wa kumtetea

Nkadi akiwa na lerato mezani anasema haamini kama atakua bibi huku wakiangalia picha ya ultrasound, lerato anamwambia kamo ale dinner ila kamo anasema ameshakula apple,nkadi anamwambia apple halitoshi hasa akiwa mjamzito,kamo anasema yupo kwenye diet hataki kunenepa,lerato anamshauri aache diet haifai bali ale na kufanya mazoezi,kamo anamwambia lerato huo ushaur anautoa tu mbona yeye habebi mimba kisa anaogopa kuharibu shapu yake,lerato anakosa raha

Tyson anaenda kwa barker na kumuuliza alifikia wapi kwa yule mkaguzi barker anasema jamaa mgumu kisha anamtupia lawama tyson kwa kukimbia chance yake,tyson anamkabidhi barker bahasha inayomhusu mkaguzi ambapo jamaa kafoji vyeti vya chuo kikuu oxford,barker anashangaa,tyson anamwambia hio ni kazi ya kgotha

Linc na familia yake wakipata breakfast,uncle anauliza hatma ya mtoto wa katlego na kwamba wanamtaka waishi nae,linc anasema bora akae huko alipo maana mambo hayapo sawa,uncle anamtaka linc amkutanishe na familia ya katlego waongee zaidi ila linc anajitetea kuwa tyson hataelewa maana yeye ndio wa kwanza kumsingizia mauaji,wakati linc anaongea hivyo nikiwe anaaga na kuondoka

Obakeng akiwa kwa sechaba kumkabidhi kamo baadhi ya mahitaji,mara mama kamo anatokea akijiandaa kurudi kwake,sechaba anamletea begi lake huku akimkataza obakeng asikae kwenye kiti. Papa g anaingia hapo kwa kisingizio cha kuongelea zaidi masuala ya mtoto(mimba)nkadi anasema anarudi kwake,papa g anabembeleza abaki waongee kwa undani

Nikiwe anamwambua skhu kuwa kila akipitia mafaili inaonyesha njia pekee ya utatuzi ni kupunguza wafanyakazi,wakati skhu na nikiwe wakiongea anaingia aunt yake linc na kumwuliza nikiwe sababu ya kutomheshimu baba yake,na kutaka kujua nini kinaendelea hapo,kabla nikiwe hajajibu simu inaita,nikiwe anamwambia aunt kuwa apokee simu kwanza atajibu,aunt anachukia na kuona nikiwe hana adabu na kumpa lecture la umuhimu wa familia

Morogwa kala hotelin na kuondoka bika kulipa,skhu anamfata morogwa geto kwake na kumtaka apunguze kasi aliyonayo,morogwa anamwambia skhu ampe pesa zaidi la sivyo ataenda ifuta ile kesi

Papa g anaamua kufunguka, anamwambia nkadi kuwa anampenda sana na kwamba kilichomleta hapo ni kumuona.

Wakiwa the rec Aphiwe anamuuliza zukisa kama amezidisha kiwango cha kumchunia obakeng,zukisa anamwambia kuwa alipoenda kwa lerato alimkuta obakeng hapo,aphiwe anaumia na kuhisi obakeng na kamo wanaendeleza mapenzi yao,mara kamo anatokea,zukisa anaaga na kuondoka,kamo anamfata aphiwe mpaka counter huku akimwambia katoka zoezi la kukimbia maana hataki kuharibika kisa mimba,aphiwe anamwambia anafanya hivyo ili amvute zaidi obakeng,kamo anakataa ila aphiwe haelewi

Mkaguzi sedima akiwa anapata kinywaji kaunta duncan,barker anatokea na kumpa ofa ya whisky ofisin kwake ila sedima anasema anawafahamu watu kama barker hivyo hawezi kuingia mtegoni,barker anamtajia kuhusu oxford,jamaa anashtuka na kumuuliza barker anataka nini,barker anamwambia aende ofisin kwake

Zukisa akiwa penthouse kajipodoa kapodoka anajiangalia kwenye kioo akitengeneza vizuri lipstic yake huku akiita jina la linc kimtego mtego,mara linc anatokea,zukisa anajishaua na kusema alisahau simu yake hapo na kwamba ana mtoko na rafiki yake,linc anamwambia aende maana usiku familia itapata chakula duncan,linc anaondoka,zukisa anachukia jaribio lake la kumtega linc limefeli

Obakeng akiangalia picha ya ultrasound,papa g anatokea,obakeng anamuuliza kwann anatumia kisingizio cha mtoto kwa faida yake binafsi,papa g anajitetea,obakeng anamwonyesha picha ya ultrasound, nina anatokea na kumwambia obakeng anamsahau aphiwe kisa kamo na mimba yake,obakeng anasema kachoka kumbembeleza aphiwe,papa g anamwambia obakeng amchague kamo ila nina anasema bora aphiwe,obakeng anabadili topic na kuongelea biashara,papa g anamuunga mkono na kusema atafika mbali akifanya bidii

Calvin anamwambia skhu ana wazo la kweka mbali obakeng kwa aphiwe,kuwa anawaza akubali ofa ya obakeng ika atakua spy ili aje amuumbue kisha obakeng atafungwa miaka mingi jela,skhu hakubaliani na wazo hilo la kuhatarisha uhai

Linc anarudi penthouse na kumkuta tyson akiongea na uncle,linc anapanic na kumuuloza tyson kamwambia nn uncle,tyson anasema kamwambia ukweli,uncle anawataka wawe watulivu na kwamba yeye anachotaka ni kujua jinsi ya kumpata mtoto ili wampeleke kwao akafanyiwe tambiko na kutambiloshwa kwa mizimu ya familia. Tyson anagoma na kusema hawezi ileta familia yake hapo idhalilishwe
 
Back
Top Bottom