Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

Mimi nimewatch ila kuelezea kimtiririko kama numbisa siwezi jody amethrow part pale sheeben
Gabriel kapigwa mkwala mzito na BraG
Tyson anasoma file la Rajeesh nafikiri anapanga jambo
Level 1 imefunguliwa
Tyson kutaka kujipa presha tu hivi hajiamini au anataka habari gani za mkewe?
 
Mimi nimewatch ila kuelezea kimtiririko kama numbisa siwezi jody amethrow part pale sheeben
Gabriel kapigwa mkwala mzito na BraG
Tyson anasoma file la Rajeesh nafikiri anapanga jambo
Level 1 imefunguliwa
Umepasahau pa Mologwa kunywa na kuwaambia watu wanywe atalipa. Na Nina kumpa vijembe Kamo kwamba akumbuke ana Zamdela tumboni
 
Rajesh kumwambia mke wa Tyson kwanini hajamwambia mumewe kuhusu past yao,alipiga simu wakati Tyson na mkewe wako hotelini. Tyson alipotoka bafuni akamuuliza mkewe alisikia simu ikiita mkewe akazuga na kusema mtu(jina nimelisahau) alipiga na kumwambia engineers wameenda Russia. But Tyson alionyesha sura ya kudaught.

Kamo alikuwa anaongea baba yake na kumwambia amsamehe kwa kubeba mimba kwa umri ule,na anamuuliza kwanini hajaja au amemkasirikia it seems baba yake alimwambia kamo sio sababu, akamuuliza je ni mama.. Baba akakata simu. Mama yao akatokea kamo akampa vipande vyake na kumwambia badala arudi akayafix na mumewe yupo pale kumwendekeza papa G.

Kule mgodini kumeeandaliwa breakfast ya miners na Nikiwe akawasalimia na katika hao washimba madini kuna mmoja ameraise lalamiko(sikulisikia vzr) Nikiwe akamuuliza Skhu huyo mtu anamaanisha nini Skhu nae hakuelewa wakaipotezea. Gabriel alionekana hapo hana furaha.

Nimejitahidi kuongezea kwa ambazo wenzangu huko huu wameelezea. Am not a good story teller mniwie radhi nilipobugi
 
You did your best thanks fella!
 
Shukran mkuu,umeelezea vizuri

Jamani kumbe mama ake Lerato anamiss kweli romance na mwisho wa siku ataangukia kweli kwa papa G! Kumbe mumewe jogoo hawiki vizuri!
 
Thursday
Obakeng anamfata sebuleni papa g na kumwambia itakua ngumu akimtoa kwenye biashara ya familia.papa g anasema hata kabla ya obakeng kuingia biashara ilikuwepo na kumtaka awe na msimamo kama mwanaume na kumwambia anaona ni damu ya bhengu sio zamdela,na kwamba aache kujificha kwa mgongo wa nina mara nina anaingia na kumwambia obakeng anamuita muda mrefu,papa g anamwambia obakeng kwanza ni damu ya bhengu pili ni mama boy

Lerato na familia yake wakipata breakfast, lerato analalamika kwann mama ake na kamo hawaongeleshan,mama mtu anasema kamo anamdharau,kamo analalamika mahusiano ya georgie na nkadi(mama lerato)sechaba kuona ugomvi unataka kua mkubwa anatoa sababu ya kuwahi kazin ila lerato anamzuia

Nina anawafata duncan brad na jody na kuwapa bill ya uharibifu,jody anashangaa na kukana kuwa na uharibifu ila nina anawaambia atajumlisha zote jion waende kufata bill kamili

Matlala akiwa kule mgodin anaongea na wenzie na kuwaambia jins morogwa alivyompa ofa ya bia na party ya akina jody mpaka akapanda juu ya meza kucheza muzik shebeen kiasi cha kubebwa mzobe mzobe mpaka nje na mabaunsa wa shebeen,mara gabriel anatokea na kutaka kuongea na matlala,wakiwa peke yao,gab anamsunta matlala kwa kwenda kuongea na papa g kuhusu yanayoendelea huko chini,matlala anamwambia gab kuwa hamwamin ndo maana. Sechaba anawaona kwa mbali

Rajesh anaenda duncan counter huku akimpigia simu kgotha kumwambia bado hawajamaliza issue yao na kumtaka ashuke counter waongee,alipokata simu anamwona nikiwe na kumfata kumpongeza kwa kufunguliwa kwa SG kisha wanaongelea kifo cha msanii wa jaz,wakat nikiwe akiongea rajesh busy na simu maana inaingia sms kwa rajesh toka kwa kgotha akimwonya rajesh,jamaa anamwaga nikiwe na kuondoka
Nina anaenda the rec na kumwambia aphiwe kaenda kumpitia wakapate lunch,aphiwe akimalizia kazi za hapo nina anaulizia maua ya obakeng kisha anadanganya kuwa yeye ndio aliyeyanunua na kumpamba kiuongo na kweli aphiwe basi bidada anafurahia kisha wanaondoka
Saloni kamo haonyeshi tabia nzuri kwa wateja,lerato anamwambia ajitahidi awe vizuri maana wateja hawafaham kinachoendelea maishan mwake,leratoanaangalia list ya wateja na kushangaa mteja anayefatia,mada morogwa anaingia na kutaka huduma,lerato anamkaribisha vizuri na kumwonyesha rangi,kamo anamwambia morogwa kama anafahamu bei ya hio rangi morogwa anachukia na kuonyesha pesa nyingi alizonazo,lerato anamwonya kamo akae kimya na kumwomba msamaha morogwa huku akimtajia huduma za hapo saluni

Nikiwe anaongea na simu na kuulizia masuala ya hisa kama kuna uwezrkano wa hisa kupanda maana amechoka kupokea simu za shareholders na kuhisi barker yupo nyuma ya mkanganyiko huo,skhu anaingia na kumpa file la masuala ya ulinzi,nikiwe anashangaa barker kutokuja kumpa lecture kwa yanayoendelea na kuhisi kuna kitu,skhu anamwambia muda huo alionao kwa barker ni mkubwa mno.

Sechaba anamwuliza lerato kuhusu mama yake na mumewe,lerato anasema hajui kwann mama yake hamalizi kilichomleta huku akimwambia sechaba kuwa nkadi alimwambia kuwa baba kamo hasimamishi na kwamba yeye bado anahitaji,sechaba analeta utan na kumsifia mama lerato kuwa bado anaita na kusema ndo maana wanamshobokeana na papa g. Lerato anasema papa g atauliwa maana mama ake ni moto ila sechaba anasema atatumia madawa ya nguvu za kiume hivyo hakuna wa kuuliwakuuliwa.lerato anamwuliza secha kajuaje yote hayo.sechaba anasema enzi zake alikua anatumia sana hayo madawa

Jody na brad wanaenda shebeen ofisin,nina anawapa bilk kamili,vijana hawaamin na kuona nina anawakomoa. Wanasema wachunguze kwanza kabla ya kulipa.

Sechaba anawasapraiz wachimbaj mgodin na kuwajulia hali pamoja na shift zao,matlala akipewa maneno na gabr analalamika visit hio na kusema hawaaminiki,ila sechaba anasema ni style mpya ya uongozi na kuhoji kwann gabr yupo hapo,gabr anajitetea kuwa nikiwe na style mpya mara anashida na matlala,sechaba anamtaka matlala ofisin huku akimwambia gabr shida zote na matlala amalizie shebeen

Jody anawonyesha barker sehemu nzuri ya masomo ila barker anamwambia asije fungua shebeen mpya,jody analalamika kuwa serious ila barker analeta ya shebeen kisha anasema walikua na party tu ila nina kawabambikizia bill kubwa,barker anawaambia mitihan wao huo

Nina kampeleka aphiwe shopping,saloon kisha duncan kupata lunch nia na madhumun obakeng asamehewe

Sechaba anafanyiwa message na lerato huku akilalamika siku kuwa busy na kwamba anamwangalia kwa karibu gabriel maana haaminiki,kisha anasema gabr anajiweka karibu na nikiwe. Lerato anamhadithia sechaba kuhusu morogwa kuringishia mihela na huduma za gharama alizohitaji,sechaba anashangaa na kusema hata shebeen morogwa alikua na jeuri ya pesa

Aphiwe anarudi jion sijui usiku ule the rec na kumkuta skhu kakasirika kwa aphiwe kutelekeza biashara bila kutoa taarifa,aphiwe anaaanza kujiweka kihuruma kuwa mambo mengi yanampitia hivyo out inamsaidia. Skhu anamwambia yaishe ila siku nyingine awe anaaga
 
Back
Top Bottom