witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,839
- 47,747
Mama mzazi kama kasema hivoo daaah!...atakuwa kaona jamaa tia maji aseekwamba kasie amefeli maisha..tuna stereotype ya ajabu sana...bas mm pia mzaz wangu aliniambia hv!:
manengelo sio ww wakwnza kuondoka ndoani..inawezekana kbs ukikaa alone utafanya mambo ya maana..mradi akili yako iwe smart..be smart..acha mawazo ya kuolewa tena...simama ww km ww..acha anasa..utapig hatua kubwa sana..nTak niyaishi hayo



Sent using Jamii Forums mobile app


