Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Nimuachie nani utamu wa kwenye ndoa etiHahhaha kwahiyo hubaki tena singo geli
Nimuachie nani utamu wa kwenye ndoa etiHahhaha kwahiyo hubaki tena singo geli
Ndio hivyo, we jitie tu wife material ukakopwe ndoani ndio utafurahi. Jitu halijiongezibumetulia nayo tu
Jiandae kwa makuu yakustajabisha.






Kwakweli, hadi yanikute ya kunikuta. Nitakaa chini nichekeeee na kulia juu.



Nacheka mmNiandae na bango kabisaaaUkisikia nimeitisha kongamano ujitokeze haraka maana hali itakuwa si hali.
Total Desperate, hauna jinsi, ndoa haikwepeki aisee!
Chumbani tena!!!!Hahaha hahaha
Hebu waende kwenye ndoa zao sasa!
Mie naenda uchumbani huko



Nakufata tukalee woteJamani wanandoa nawaaga!
Leeni ndoa sasa, mie naenda lea uchumba!
Mlale unono, msahau shida zenu!
Yaani
Kukopwa ndoani jamani
Hahaha shurti na wewe uingie ndani upate experience yakoNyie tutisheni tuuu ila mimi ndio naandaa tangazo hivyo, hivyo wachumba mjiandae.
Soon tu mtakula mcheleitakuwa mwaka gani
Be Humble is free of charge![]()
Sijui nikawe mama mchungaji tu!! Yakinikuta naandaa kongamano la wanawake tulie pamoja.




au unakuwa Joyce kiria unayamwaga tu hadharaniHapana jamaniiChumbani tena!!!!
Kwahiyo na mchumba yupo chumbani
Hapa sina mtoto.
Kunauma acha tu, akili haitulii unahisi tu kuna mahali zinaenda. Unakutana na mama injili Heaven Sent anaongea barabarani peke yake kumbe ni mkopo huo
Kukopwa ndoani jamani

Hebu tulia na mumeo hukooNakufata tukalee wote
HahahhahahahhahaYaani
Kumbe waume wanauziwa eeh
Na sadaka ya kumfuta mama mchungaji machozi.Niandae na bango kabisaaa
Niadd na mm basi kwenye video koluHapana jamanii
Ndo tunapiga video kolu
Kunauma acha tu, akili haitulii unahisi tu kuna mahali zinaenda. Unakutana na mama injili Heaven Sent anaongea barabarani peke yake kumbe ni mkopo huo![]()






