Mada maalum kwa wanandoa

Mada maalum kwa wanandoa

Outing ni muhimu bana hata kwa wana ndoa mtajifungia ndani 24/7/365? Leo mnaenda movie, club, lunch, dinner, beach na vacation kama pesa inaruhusu.

ila wanaume jamani sijui kwanini hamuonei uchungu hela kwenye masanga...huyo dada ana tabia kama zangu yaani outing nzima naipigia mahesabu matokeo narud nyumbani na mawazo badala ya raha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom