Mbwa dume
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 6,289
- 10,964
Ambao tunajiandaa kuingia kwenye ndoa tunaruhusiwa kukomenti humu humu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Trilioni 1.5
Mimi nakushauri uwe unatoka naye out usitoke peke yako, kila ukitaka kutoka out mwambie ajiandae muttoke naye akiona anakereka atakuwa anakuruhusu utoke peke yako japo mara mojamoja
Vijisenti tu hivyo, tatizo mpare
Ndoto za kuamsha vipele zinafifia taratibuVijisenti tu hivyo, tatizo mpare
najua moyoni alikua anawatukana tht nyie mnamtaka mke wangundo zake..anajitutumuaga ohh hyu mke wangu
...nilimtolea mahari..blah blah kibao




Nitakupa
Page ya tatuHuu uzi kila nilipokuwa nikiuona nilikuwa nakwepa kuufungua leo nimeamua kuufungua kumbe uko bomba sana na ndiyo niko page ya tatu tu!

...utaumaliza kesho best
Kuaga kote bado haujalalaHahaha yaaani kawa mdogooo
Ebu shangaa tena mara nyinginyingi
Khaaa babuNilimaanisha bombardier.... sio kila kitu lazima ukijue...
Unachizika huku unajiona unaanza kuongea peke yakoUmenikumbusha Joy...mdada yule nilimuonea imani jamani daah!
Maumivu ya ndoa yakizidi unaweza kuwa chizi
Sent using Jamii Forums mobile app