watambi
JF-Expert Member
- Dec 7, 2011
- 335
- 267
Acha Tuu ngoja niwe mpolemachale yamekucheza, angeweza kuja hapa hapa na yeye kuanza kutiririka kivyake vyake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha Tuu ngoja niwe mpolemachale yamekucheza, angeweza kuja hapa hapa na yeye kuanza kutiririka kivyake vyake.
Tuingie tucheze mi na weweRaha ya ngoma....
Mpe nafasi nyingine, halafu muombee basi mwenzio you never knowss imefikia hatua namuona kawaida tu..hb unampa heshima ipi mtu km huyo ss..ndo chqnzo kikaanziq hapl![]()


Sad kwakweli anapitia magumu mnooo
mkuu pole mnooo halafu wanaume wengo wa jf mnapitia magumu sana kwenye ndoa zenu jamani
Lkn pia mane pia si anakunywa pombe?Dah mm nawaonea huruma watoto tu yaani watoto na huyo mume mlevi sijui inakuwaje jamani
Mimi apa mshipa jamani
Hahhahaha mkuu wengi bwana
Anasema haipandi kabisa
Yaani nimekosa cha kuongea jamani
Tuingie tucheze mi na wewe
Aaah we sikubaliHahhaha huwezi jua ujue naweza ghafla tu kukupenda





Kwa nini lakini unakifanyia hivi