Mada maalum kwa wachoraji, sanaa ya picha na rangi

facebook mtafute mtu anaitwa "AVDHESH KUSHWAHA"
Kaka,niamini,sisemei mdomoni tu,Mimi ni mchoraji,tena wa kiwango kikubwa,ninachora sana picha zinaenda nje Mara kibao,lkn kila nnapochora huwa wanataka waone ili wajihakikishe kuwa ni mkono maana kuna edits kibao,
Ili uamini nakuahidi kesho nakuletea picha halisi nimechora iliyoenda nje hivi karibuni,
Jamaa wananiambia hata kwao wachoraji wapo lkn wengi wanaedit,
 
Tafuta materials jamaa acha kulalamika View attachment 1064500

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo naongea na mvamizi wa fani,
Tunachojaribu kuonesha ni KIPAJI HALISI ili kumotivate wengine,hatuoneshi matumizi ya vifaa materials na tekinolojia,
Ukiongelea materials hauongelei kipaji,
Yyte akiwa na materials unazosema anaweza chora,
Soko la sanaa za kuchora la sasa linataka picha halisi ya MKONO tu,
 
Nafanya sana hizo mambo bro,ukitaka halisi za mkono mtupu,ukitaka za kupiga ambazo tunawapiga waporipori
Mkuu iko hivi kwa swala la editing nakupinga.
Lakini una point.

Mfano huyo muitaliano ni kweli anachora na video zake nimeona. Ila shida inakuja anachora kweli lakini picha zake na picha za kuprint mwisho wa siku huoni tofauti.

Yaani nikichukua picha yako kweli inaonekana ni ya kuchora na inakuwa inafurahisha. Tofauti na hiyo hata nikiweka ndani mtu anaweza jua ni ya kuprint.

Kwa hiyo hata wateja wanapenda kuona uhalisia wa picha ya kuchora.
 
Sijasema picha zote ni edits,lkn zilizo nyingi ni edit,kwa asiye mchoraji hawezi jua yy ataishia kukodoa tu,ipo hivi ukitaka kujitangaza unachofanya unapiga picha kazi yako,ama clip kisha una iedit,unaing'arisha na kuikolezea vivuli na ming'ao,unaiondole kunyanzi,inaonekana smooth,unaweza shangaa picha uliyoletewa humu ukikutana nayo kwa macho ukashangaa,
Computer imerahisisha sana mambo,
Kuna picha najaribu hapa kuileta humu ikiwa halisi niliyochora ya mkono,penseli za kawaida,kifuto na canvas,halafu hiyo hiyo nataka niifanyie mautundu niilete nayo humu ili uone tunachofanyaga
 
Mkuu iko hivi kwa swala la editing nakupinga.
Lakini una point.

Mfano huyo muitaliano ni kweli anachora na video zake nimeona. Ila shida inakuja anachora kweli lakini picha zake na picha za kuprint mwisho wa siku huoni tofauti.

Yaani nikichukua picha yako kweli inaonekana ni ya kuchora na inakuwa inafurahisha. Tofauti na hiyo hata nikiweka ndani mtu anaweza jua ni ya kuprint.

Kwa hiyo hata wateja wanapenda kuona uhalisia wa picha ya kuchora.
Wakati naanza kuchora na kuuza nje nilihangaika kidogo,maana nikikuwa na mtazamo wa kuwa picha inatakiwa iwe km ya camera,nikawa nafanya kila ujanja,rafiki angu mmoja wa nje aliniambia,nikitaka picha unazotaka we we kwetu ni nyingi sana na kuna vifaa zaidi ya huku vya kufanya picha iwe navyotaka,lkn nataka picha nzuri ila iwe ile ya mkono tu,ambayo kila aonae ashangae kipaji siyo kazi ya app wala lolote,nilimuelewa mno,
Soko linataka picha halisi lkn Soko la watanzania linataka za rangi ya kuvutia ndo maana wachina wanaongoza kwa kutuuzia mapicha ya kubumba tunayaita ya sanaa na tunayashobokea sana,
 
Huu ndo uchoraji halisi wa mkono tunaoutaka na tunaouongelea,ambao kiuhalisia utasaidia hata watoto zetu kuipenda na kujitahidi wafike huku,
Screenshot_20190507-094310.jpeg
Screenshot_20190507-080015.jpeg
 
Embu lete zako mkuu tuone.
Wakati naanza kuchora na kuuza nje nilihangaika kidogo,maana nikikuwa na mtazamo wa kuwa picha inatakiwa iwe km ya camera,nikawa nafanya kila ujanja,rafiki angu mmoja wa nje aliniambia,nikitaka picha unazotaka we we kwetu ni nyingi sana na kuna vifaa zaidi ya huku vya kufanya picha iwe navyotaka,lkn nataka picha nzuri ila iwe ile ya mkono tu,ambayo kila aonae ashangae kipaji siyo kazi ya app wala lolote,nilimuelewa mno,
Soko linataka picha halisi lkn Soko la watanzania linataka za rangi ya kuvutia ndo maana wachina wanaongoza kwa kutuuzia mapicha ya kubumba tunayaita ya sanaa na tunayashobokea sana,
 
Kaka,niamini,sisemei mdomoni tu,Mimi ni mchoraji,tena wa kiwango kikubwa,ninachora sana picha zinaenda nje Mara kibao,lkn kila nnapochora huwa wanataka waone ili wajihakikishe kuwa ni mkono maana kuna edits kibao,
Ili uamini nakuahidi kesho nakuletea picha halisi nimechora iliyoenda nje hivi karibuni,
Jamaa wananiambia hata kwao wachoraji wapo lkn wengi wanaedit,
Mchoraji hawezi kuongea maneno hayo kama mtu asiye na kipaji cha Uchoraji ......

Ina maana hujawahi kuona Youtube au Facebook artist wakubwa wakichora live picha za Kalamu ya Wino, Penseli au Rangi?

Hujawahi kuona still pictures za artist zikionyesha steps by steps alivyoanza kuchora mpaka kumaliza?

Hiyo picha hapo juu ya Mchekeshaji Black America inaonyesha hata kukamilika bado, unaona upande mmoja wa jicho haujakamilika.....inaonyesha kazi inaendelea.....

Unapozungumza ku edit unazungumzia nini? Kuchora kupitia Computer program ama?

I'm fine art painting artist pia, sio tu nauza kazi zangu nje mpaka sasa but nimekaa nje nikichora na kushikiriki exhibitions tofauti!

Trip moja nilipeleka kazi kuuza nje, ilikua Capetown kuna sehemu inaitwa Sea view, nilimkuta Nigerian artist anawachora watu kwa Penseli vile vile, just for 10 mins kamaliza, watu wamepanga foleni, japo ni artist nilikubari kuwa jamaa uwezo wake ulikua juu.

Mkuu usishangae artist akifanya kitu kile huwezi fanya ukasema sio kazi ya mkono na Penseli, tumetofautiana Vipaji .
 
Anataka sketching sio painting ndomaana haamini

Back
Top Bottom