Mada maalum kwa wachoraji, sanaa ya picha na rangi

Gentleman96

JF-Expert Member
Mar 12, 2019
912
1,666
Habari za wakati huu kwenu wote!

UCHORAJI ni sanaa ya kuweka alama kwa kutumia vifaa mbalimbali vya kuchorea, kama vile kalamu ya wino au ya risasi , burashi ,
penseli za rangi ya wax, crayoni, makaa, choko, pastels, aina mbalimbali za erasers, markers, styluses, metali mbalimbali (kama silverpoint) na siku hizi hata elektroniki au kitu kingine cha kuandikia au kupaka rangi katika karatasi ,
kitambaa , ubao , metali , mwamba, kadi, plastiki, ngozi, canvas, na bodi au penginepo.
Mimi kama mchoraji wa kiwango cha kawaida tu, nimeamua kuleta uzi huu kwa watu wote ndani ya jf na nje.
kwa kua na heshimu kazi za wachoraji WAKUBWA, wakawaida na hata wadogo ndani na nje ya Tanzania.

Kama wewe ni mchoraji au umeona sehemu mchoro unaweza kuleta hapa na sisi tukaona vipaji vya watu na kufurahi pamoja.

Kuna baadhi ya michoro si rahisi mtu aamini kama imechorwa na mkono wa mtu lakini ndivo ilivyo.
Baadhi ya majina ya wachoraji ni hawa

1-Da Vinci
2-picasso
3-Kipanya
4-Tingatinga
5-Olumide
6-mimi ( )
Na picha au michoro ni hii hapo chini,

Yenye rangi ni ya mnigeria anaitwa OLUMIDE

Ongezeni michoro mingine Tafadhali
943968_202309733459063_7330807390727619367_n_0.jpeg
Df60AXdXcAYNvUk.jpeg
12821627_10205376652640686_4088404083223110419_n.jpeg
wizkid%20drawing%20by%20nigeria%20best%20portrait%20artist%20ayodeji%20ayeola%203.jpeg
2274035.jpeg
kevin-hart-pencil-drawing-ht-jef-190228_hpEmbed_4x5_992.jpeg
IMG_20190327_145121.jpeg
6896258_2483749516621909304869623733687640018025770o1_jpeg3340f1b5836a64449478dd22d1e08601.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mahali pameharibu mada yako. Vinginevyo hongera kwa uchoraji. Halafu huyo jamaa mwenye miwani no mambo ya Photoshop uneamua kutuchanganyia au Ni mkono na pencil?
Wapi pameharibu mada?

Huyo wa miwani ni mkono kabisa.
Jamaa ni mnigeria aliechora hiyo picha, na sasa ana trend hadi marekani kwa Kelvin hart

Sent using Jamii Forums mobile app
 
37 Reactions
Reply
Back
Top Bottom