Vikaragosi vya AI vinaua ubunifu wa sanaa ya uchoraji na havina mafunzo

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,634
697,914
Kwenye sanaa ya michoro na uchoraji AI imefeli vibaya sana. Ama niseme wasanii na wasanifu wake ndio wamefeli kwakuwa picha zao nyingi hazivutii, hazina mafunzo hazina ubunifu na karibia zote zina mwonekano mmoja kukimbia ama kufukuzana, kukenua, kucheka nknk.

Naweka mlolongo wa picha tujionee

FB_IMG_1701174118012.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taratibu watazirekebisha(kuziongezea mautundu), zitakuwa zinatoa kitu konki, vita ya mwanandamu na computer ni ngumu mwanadamu kushinda.

Ni aidha tuachane kabisa na computer jambo ambalo ni gumu.

Nina wasiwasi baadae inaweza tokea vita baina ya marobot na binadamu wa kawaida, robot likiwa na hisia, likijua huyu robot mwenzangu, huyu binadamu, huyu adui huyu rafiki ni hatari zaidi.

Hizo AI zitakuja kutoa picha bomba zaidi, mida utasema.
 
Kwenye sanaa ya michoro na uchoraji AI imefeli vibaya sana.. Ama niseme wasanii na wasanifu wake ndio wamefeli kwakuwa picha zao nyingi hazivutii, hazina mafunzo hazina ubunifu na karibia zote zina mwonekano mmoja
Kukimbia ama kufukuzana
Kukenua
Kucheka nknk
Naweka mlolongo wa picha tujioneeView attachment 2827481

Sent using Jamii Forums mobile apn

Hivo kwann ziwe zinakimbiza mtu / mtoto/ mnyama kakwapua kitu?! Kuna ujumbe wowote tunapewa ama?! Tuweke kando sanaa tuangalie kwa jicho la tatu!!?
 
Hizo ni memes tu, zinaweza kutengeneza chochote kulingana na maelekezo yanayotolewa.

Kuhusu kuharibu tasnia ya sanaa, generative AI imefunzwa kupitia picha mbalimbali zilizotengenezwa na binadamu. Itakua kama chatgpt ya wachoraji, ila haiwezi kuwaondoa kabisa.
 
Kwenye sanaa ya michoro na uchoraji AI imefeli vibaya sana. Ama niseme wasanii na wasanifu wake ndio wamefeli kwakuwa picha zao nyingi hazivutii, hazina mafunzo hazina ubunifu na karibia zote zina mwonekano mmoja kukimbia ama kufukuzana, kukenua, kucheka nknk.

Naweka mlolongo wa picha tujionee

View attachment 2827481

Sent using Jamii Forums mobile app
Dunia ya sasa mafunzo yote yapo, hakuna haja ya mafunzo mapya.
Unataka kujifunza nini wakati kuna search engine kibao ambazo ambazo zenyewe zina index queries zako ukixiomba na zaidi tuna AI ambazo zipo well trained na nyingine sasa ni out of control kwani self learnung na zina pick data na maarifa yote kutoka kwenye Data Ocean?

And now, tuna robots, zinatumuka kwenye operations mbalinbali, ulinzi, na usafiri. Unataka kufundishwa nini mkuu?

Kilichobaki wewe furahi tu wakati huu muda bado unaruhusu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom