Macho ya Wanaume

Nawajua tabia yenu mkuu huwa wenye mizigo ndio mnawapa kipaumbele. Ila miaka ya sasa wenye mizigo walivyojaa kuanzia asubuhi mpaka jioni kama kazi yako itakuwa kusoma matangazo ujue ukifika nyumbani shingo inauma.

Saivi wala mimi sipati shida nimeanza kutembea na kioo changu cha kufanyia tathmini na kama akiwa mbele yangu kasimu lazima kahusike kwa matumizi ya badae
Ashukuriwe aliyeumba na aliyeleta Smartphone
 
Daaaah! eti mpk kwenye kikao


Mm nikiwaga na yf najifanya kama nainama kutafuta kitu hivi, namalizia huko huko

Sent using Jamii Forums mobile app
Ujue mnanichekesha aisee. Kila mbinu mnazo ilimradi mtimize adhma yenu.

Hamfai hata kidogo kwa kweli. Ngoja siku akushtukie huo mnuno wake hutarudia tena mkuu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…