wasalaam wana JF,
Kuna gari la jiji linapita mitaani kuwatangazia machinga kuwa ifikapo jumatatu 27/5/2013 machinga hawaruhusiwi kuonekana sehemu zisizoruhusiwa na wenye maduka hawataruhusiwa kupanga vitu nje ya maduka yao.
najiuliza na machinga waliojenga vibanda makoroboi wataguswa??
nawasilisha
lekebisha kichwa cha habari.