Tusitarajie lolote jema toka kwa watu hawa. Kudhani kwamba iko siku watatenda haki ni sawa na kudhani kuwa iko siku Shetani ataongoka. Dawa ya Shetani ni kummaliza. Hawa watu ni wa kuwamaliza kupitia sanduku la kura au njia yoyote inayompendeza Mungu!Hawa watu ndio kusema wametia pamba kwenye ubongo?