Yohimbe bark
JF-Expert Member
- Sep 1, 2019
- 2,842
- 7,250
Mimi mwenyewe tapeli kua makini.Iyo siku utakayo rudi lazima nikutapeli.......
Mimi mwenyewe tapeli kua makini.Iyo siku utakayo rudi lazima nikutapeli.......
Kakumba bila shaka hiyo ni chunya nimepiga kazi sana sangambi,igodima mlima njiwa shoga then nikatimikia kahamaHapo bora ulivyo rudi tu mkuu maana kiukweli bila kuongozwa na mwenyeji utapigwa kakumba bora kusepa kuliko kupoteza hela
Sana ndio maana sitaki kuleta story hadi bahari itulie siku nikiwa na m 100 hv nitaleta kwa aman kabsa sa hv hapana kuna watu wana lugha chufu humu wanaweza kukutoa kwenye reli ukapoteza mwelekeoUfanye hivyo mkuu, uni tag pia
Maisha haya kila mmoja anapitia mengi ila ni kumuamini Mungu tu
Utatapeliwa mkuu,Mkuu kama miwani ya kuona dhahabu chini unayo mnisaidie tuende pale saiti pangu palipo doda tukaangalizie kwa kutumia miwani ili tuone dhahabu zilipo tuanzie hapo nimechoka kufukuzia mwamba naona hiyo miwani itanisaidia
Dah!Umechimba tu chunya unataka kutajirika? we mbona bado sana hujajua hizi shughuli za kiumeni? Bado unayo safari ndefu hadi utembee sana angalau kwenye list yako yaingie majina mapya ufike sehemu zinazoitwa Ngangalata, Kalole, Nyamishiga, Tambalale angalau ndo utasema kweli umeanza anza kuitafuta dhahabu
Hizi shughuli huwa inafika hatua nyumbani kwenu wanakusahau na wewe mwenyewe akili ya kurudi nyumbani unakua huna mnapeana moyo tu kuwa dhahabu zimefumuka chimbo fulani wote mnakimbilia huko badae mnaskia tena imefuka sehem fulani mwendo inakua ni kuhama na machimbo tu
Ukiwa na bahati utatajirika usipokua na bahati na huna mawasiliano na nyumbani unazikiwa hukohuko huku nyumbani kwenu wakiamini iko siku utarudi wanajua upo kwenye utafutaji kumbe uko chini ya udongo.

Next time ukiona sehem Kuna fursa usiwe na haraka ya kujikita kwenye eneo la tukio.. jitahidi kusoma mchezo unavoenda, fanya research ndogo ndogo kuhusu shughuli husika. Angalia changamoto zake na kama una uwezo wa kukabiliana nazo. Hio 28m uliyopoteza kama ungetuliza akili basi ungekuwa mbali sana bila hata kuumiza kichwa na kushika suluhu kuchimba miduara. Kwenye machimbo ya dhahabu Kuna mahitaji mengi ya kibinadam ambayo ungejikita nayo kwanza, unachukua mali town unapeleka chaka kiboss boss huna strees.. huku unatoa service, huku unapata somo on the field.. Kuna machimbo mengine kama pale tabora ndani ndani nimepasau jina.. kule mjomba mpaka hizi chupa za maji zilizotumika ni hela kama una usafir wa uhakika unabeba unapeleka kwenye viwanda wanafanya recycling..
Maji ya shida kule, kulala kwa shida kule.. hizo zote fursa mzee Yuda Legacy
yangalata pamepoa sanaUmechimba tu chunya unataka kutajirika? we mbona bado sana hujajua hizi shughuli za kiumeni? Bado unayo safari ndefu hadi utembee sana angalau kwenye list yako yaingie majina mapya ufike sehemu zinazoitwa Ngangalata, Kalole, Nyamishiga, Tambalale angalau ndo utasema kweli umeanza anza kuitafuta dhahabu
Hizi shughuli huwa inafika hatua nyumbani kwenu wanakusahau na wewe mwenyewe akili ya kurudi nyumbani unakua huna mnapeana moyo tu kuwa dhahabu zimefumuka chimbo fulani wote mnakimbilia huko badae mnaskia tena imefuka sehem fulani mwendo inakua ni kuhama na machimbo tu
Ukiwa na bahati utatajirika usipokua na bahati na huna mawasiliano na nyumbani unazikiwa hukohuko huku nyumbani kwenu wakiamini iko siku utarudi wanajua upo kwenye utafutaji kumbe uko chini ya udongo.
Usikate tamaa mkuu ipo siku.hasa sisi watoto wa kiume ndio maana inabidi tupendane sana tunapitia changamoto nzito sana kwenye utafutaji hasa machimbo tena kuchimba na sululu ni ntiti ukigeuka nchale ukilala nchale unao kiuno chote kinatengeruka kama ndio mara ya kwanza inabidi ujikaze kisawa sawa (aliniambia babu mwikasyeghe akimaanisha mjikazage) na inabidi ujikaze kweli ukilegeza unakimbia kambi na kurudi kwenu.
Unapiga sululu mpaka jasho linanuka damu lakini hakuna hata rangi ya dhahabu uliyo iona na jua la chunya linapiga afu wazee mko nyika mbaya sana ni nyie na sululu na koleo na kucheka na nyani tu
Kwa kifupi na wewe unakuwa ngedele tu sema tofauti wewe unakuwa umevaa nguo tu

sasa kama kila unayempimia anapata kwa nn wewe hupimi na kuchimba mwenyewe, yaani unapimia watu maeneo wanapata mabilion wewe unachukua 1m tu, utakuwa mwehu sio bure, acha kutaka kumwibia jamaa wewe,Nipe,1mil, Nina mitambo ya jeohunter ya mturuki na VR10000 ya mmarekani. Kila niliyempimia lazima apate exactly kwenye coordinates zilezile nilizomwonyesha kwamba mtambo umedetect.
Ninachimba na Nina makarasha, ninaleseni za maeneo yenye deposit ya dhahabu na Vito. Usiwe na shaka, Mimi mwenyewe nipo kwenye hii field.sasa kama kila unayempimia anapata kwa nn wewe hupimi na kuchimba mwenyewe, yaani unapimia watu maeneo wanapata mabilion wewe unachukua 1m tu, hutakuwa mwehu sio bure, acha kutaka kumwibia jamaa wewe,
sawa, unaweya kuja maeneo ya wilaya ya iramba kunipimia, eneo lina wachimbaji wadogo tayari ila nataka uhakika 100% nikishusha duara napata mzigo, tutaweka mkataba ofisi ya wachimbaji na hata kwa wakili kuwa nikipata ntakulipa 2m badala ya 1m, nitataka unipe na depth kabisa ya kuanza kupakuwa mzigo, mm natafuta mawe kwa ajili ya marudio tu yatakayosoma kuanzia 2 mpaka 3ppm. upo tayari?Ninachimba na Nina makarasha, ninaleseni za maeneo yenye deposit ya dhahabu na Vito. Usiwe na shaka, Mimi mwenyewe nipo kwenye hii field.
Umasikini shida mkuu, yaani unaweza kuchangia uzi ukasema nina hiki ukaambiwa acha uongo hata baiskeli hunaSana ndio maana sitaki kuleta story hadi bahari itulie siku nikiwa na m 100 hv nitaleta kwa aman kabsa sa hv hapana kuna watu wana lugha chufu humu wanaweza kukutoa kwenye reli ukapoteza mwelekeo