Yuda Legacy
JF-Expert Member
- Jun 21, 2023
- 775
- 2,771
- Thread starter
- #61
Dhahabu ni Adhabukwa kifupi kupata dhahabu ni mchakato, dhahabu sio germstone.
Dhahabu ni Adhabukwa kifupi kupata dhahabu ni mchakato, dhahabu sio germstone.
Sawa andazi, unaleta maneno meengi sijui sampling, ingekuwa ni rahisi hivyo hakuna mchimbaji angepata hasaraKumbe najibizana na kiazi
Siyo kweli,hebu piga vizuri calculationDhahabu ni Adhabu
Vingwendu havina ishu sana siku hizi unambulia kidogo kidogo gram point humo tuUko na kingwendu utakosaje hela
Hiyo machine yako ni gpx ngapi mkuu
Ova
Mkuu hiyo detector ulichukua kiasi gani?Licha ya kuchimba sana dhahabu Chunya na kusekesa Lakini dhahabu imekuwa ni adhabu kwangu kwa kukaa kwangu kote polini nimeambulia kupata nyunga tu za point moja zimezidi sana point saba
Licha ya kupiga sana sululu huku gold detector yenye ukubwa wa 7000 hapa nazungumzia Gp7000 ile ya kisasa kabisa Lakini bado dhahabu ni ngumu kupatikana je dhahabu ni nini jibu= dhahabu ni adhabu.
Licha ya kupona kufukiwa ndani ya long base ukiwa na kitochi tu huko chini na uki risk maisha yako kwa hali ya juu na chini Lakini kupata dhahabu sio rahisi kama wana jf wanavyo jidai wana yajua vizuri machimbo ya dhahabu Lakini kiuhalisia hakuna wajualo
Mpaka mda huu ninao zungumza nilikuwa nipo sehemu zangu nina ofisi kubwa na maisha yanaenda akaja jamaa yangu mmoja wa mda kidogo ndani ya Toyota IST kali nikamuuliza vipi mbona adim na maisha umeyapatia sana akasema yeye yuko chunya machimbo mda wote na story yake ilinivutia na Mimi kuingia kwenye biashara ya dhahabu ooh hapa ndipo nilipo kosea duka mpaka sasa limefilisika
Nimebaki mabega tu na shimo ndio kwanza linaanza wachimbaji wananipigia simu wanataka unga wa kula kambini na Mimi HELA sina.
Hadithi za machimbo ya dhahabu ni tamu kusikiliza nimeweka hela Kumbe nimefukia mazima hata elusion ndio kwanza sijafika hali iko Hivi ama kweli biashara ya dhahabu kashamzoba au kanyampasila au kachumbagira (Rip marehemu mkandala rufufu)
MPAKA SASA NAHITAJI NIWE NA MILLION 50 ILI KUENDELEZA SHIMO LANGU NA NIMETUMIA MILLION 28 KESHI NIKIWA NA HIYO HAMSINI NI MPAKA KWENYE UCHENJUAJI MSAADA PLEASE KWA ANAE JUA SHORT CUT.
View attachment 2818592
Nimekupata mkuuNext time ukiona sehem Kuna fursa usiwe na haraka ya kujikita kwenye eneo la tukio.. jitahidi kusoma mchezo unavoenda, fanya research ndogo ndogo kuhusu shughuli husika. Angalia changamoto zake na kama una uwezo wa kukabiliana nazo. Hio 28m uliyopoteza kama ungetuliza akili basi ungekuwa mbali sana bila hata kuumiza kichwa na kushika suluhu kuchimba miduara. Kwenye machimbo ya dhahabu Kuna mahitaji mengi ya kibinadam ambayo ungejikita nayo kwanza, unachukua mali town unapeleka chaka kiboss boss huna strees.. huku unatoa service, huku unapata somo on the field.. Kuna machimbo mengine kama pale tabora ndani ndani nimepasau jina.. kule mjomba mpaka hizi chupa za maji zilizotumika ni hela kama una usafir wa uhakika unabeba unapeleka kwenye viwanda wanafanya recycling..
Maji ya shida kule, kulala kwa shida kule.. hizo zote fursa mzee Yuda Legacy

Kama una uzoefu naomba unijibu. Kwa makadirio, kila watu 100 wanaokwenda kubahatisha kupata utajiri wa dhahabu, ni wangapi wanapata na ni wangapi wanafeli? Kujua mahesabu kama haya ni vizuri sana kabla hujaamua kuingia huko.Umechimba tu chunya unataka kutajirika? we mbona bado sana hujajua hizi shughuli za kiumeni? Bado unayo safari ndefu hadi utembee sana angalau kwenye list yako yaingie majina mapya ufike sehemu zinazoitwa Ngangalata, Kalole, Nyamishiga, Tambalale angalau ndo utasema kweli umeanza anza kuitafuta dhahabu
Hizi shughuli huwa inafika hatua nyumbani kwenu wanakusahau na wewe mwenyewe akili ya kurudi nyumbani unakua huna mnapeana moyo tu kuwa dhahabu zimefumuka chimbo fulani wote mnakimbilia huko badae mnaskia tena imefuka sehem fulani mwendo inakua ni kuhama na machimbo tu
Ukiwa na bahati utatajirika usipokua na bahati na huna mawasiliano na nyumbani unazikiwa hukohuko huku nyumbani kwenu wakiamini iko siku utarudi wanajua upo kwenye utafutaji kumbe uko chini ya udongo.
ila kuwa mvumilivu utatoboa.Dhahabu ni Adhabu
Ujue kabla hujafanya kitu chochote ni vzr ukafanya utafiti wa kutosha nini matokeo yake hiyo M50 akiamua kuwa mnunuzi wa dhahabu maarufu kama kota ni nyingi sana wewe unakua unanunua kitu kilichokamili, ila yakupasa kuwa na elimu pia na hiyo biashara sababu ukizubaa unauziwa feki au pungufu so inabidi uwe na lesini mzani pamoja na ofisini then usiwe na tamaa nina mengi ya kuandika ila mimi mvivu wengine wataongezaNaomba unitoe ushamba kidogo hapa
Mimi sio mkulima ila huwa nasubiri watu walime nikiwa mjini najaza store zangu halafu wakati wa mahitaji ya chakula nauza kwa faida kubwa
Sasa kwa mfano nikakupa hizo 50m badala ya kwenda kufukiwa na kifusi ukafungua duka lako hapo la kununua dhahabu taratibu haiwezekani
Nauliza tu maana nimeona wasomali wakimbizi Australia wameenda na kuanza kununua Opal stones kwa wenyeji huku wakiwaacha wao wahangaike ila waaminifu sana hao jamaa
Sasa turudi bongo je linawezekana?
nani kasema ni rahisi? hzo hatua nilizoeleza hapa zinatumia mamilioni ya dolari mkuu na muda pia,Sawa andazi, unaleta maneno meengi sijui sampling, ingekuwa ni rahisi hivyo hakuna mchimbaji angepata hasara
Kwenye 100 mnaweza msitoboe wote bro wakitoboa wengi ni 5-8 wakifika 15 machimbo hayo yatakua maarufu sana na watu hawataondoka kirahisi hapoKama una uzoefu naomba unijibu. Kwa makadirio, kila watu 100 wanaokwenda kubahatisha kupata utajiri wa dhahabu, ni wangapi wanapata na ni wangapi wanafeli? Kujua mahesabu kama haya ni vizuri sana kabla hujaamua kuingia huko.
Kale kashimo ninako kaona ndio unaenda kuzama pale?Licha ya kuchimba sana dhahabu Chunya na kusekesa Lakini dhahabu imekuwa ni adhabu kwangu kwa kukaa kwangu kote polini nimeambulia kupata nyunga tu za point moja zimezidi sana point saba
Licha ya kupiga sana sululu huku gold detector yenye ukubwa wa 7000 hapa nazungumzia Gp7000 ile ya kisasa kabisa Lakini bado dhahabu ni ngumu kupatikana je dhahabu ni nini jibu= dhahabu ni adhabu.
Licha ya kupona kufukiwa ndani ya long base ukiwa na kitochi tu huko chini na uki risk maisha yako kwa hali ya juu na chini Lakini kupata dhahabu sio rahisi kama wana jf wanavyo jidai wana yajua vizuri machimbo ya dhahabu Lakini kiuhalisia hakuna wajualo
Mpaka mda huu ninao zungumza nilikuwa nipo sehemu zangu nina ofisi kubwa na maisha yanaenda akaja jamaa yangu mmoja wa mda kidogo ndani ya Toyota IST kali nikamuuliza vipi mbona adim na maisha umeyapatia sana akasema yeye yuko chunya machimbo mda wote na story yake ilinivutia na Mimi kuingia kwenye biashara ya dhahabu ooh hapa ndipo nilipo kosea duka mpaka sasa limefilisika
Nimebaki mabega tu na shimo ndio kwanza linaanza wachimbaji wananipigia simu wanataka unga wa kula kambini na Mimi HELA sina.
Hadithi za machimbo ya dhahabu ni tamu kusikiliza nimeweka hela Kumbe nimefukia mazima hata elusion ndio kwanza sijafika hali iko Hivi ama kweli biashara ya dhahabu kashamzoba au kanyampasila au kachumbagira (Rip marehemu mkandala rufufu)
MPAKA SASA NAHITAJI NIWE NA MILLION 50 ILI KUENDELEZA SHIMO LANGU NA NIMETUMIA MILLION 28 KESHI NIKIWA NA HIYO HAMSINI NI MPAKA KWENYE UCHENJUAJI MSAADA PLEASE KWA ANAE JUA SHORT CUT.
View attachment 2818592
Hayo ndio ya kuzingatia sana,Ujue kabla hujafanya kitu chochote ni vzr ukafanya utafiti wa kutosha nini matokeo yake hiyo M50 akiamua kuwa mnunuzi wa dhahabu maarufu kama kota ni nyingi sana wewe unakua unanunua kitu kilichokamili, ila yakupasa kuwa na elimu pia na hiyo biashara sababu ukizubaa unauziwa feki au pungufu so inabidi uwe na lesini mzani pamoja na ofisini then usiwe na tamaa nina mengi ya kuandika ila mimi mvivu wengine wataongeza
Naweza pata hyo miwani?Basi bora kuwa mnunuzi wa kati na unapanda taratibu kwa uaminifu
Ila kwa gold detectors nimeziona za German ni nzuri ingawa inategemea na bei ipi unataka zipo mpaka 30m ya bongo lakini uhakika
Nimeona pia mpaka miwani ya kuona dhahabu chini ya ardhi au maji na bei ni 1.5m
Kweli ni biashara nzuri ila high risk
Ujambazi haupo tena hata kuubiwa kumepungua sana sababu kuna vifaa vingi sana vya kutambua vip feki na kipi ni sahihi nimekua kwenye hiyo secta na nilianza na laki tano tuu nilishikwa mkono na mtu ambae tulijuana huko huko poloni na nilikua vzr sana bahati mbaya sana jamaa alikuja kupata ajali na mbaya zaidi siku hiyo ndo nilikua nimetoka poli dhababu yote ilikua kwake ndo ukawa mwisho wangu kwa hasira sikutaka tena nikaondoka sa hv nipo dsm but dhahabu ukiiheshimu itakuheshimisha piaHayo ndio ya kuzingatia sana,
Siwezi kukurupuka kwani nimefanya baishara nyingi tu huwa nina machale sana yaani huwa naona tapeli kabla hajaniibia
Nafuatilia sana na kufanya utafiti hata kutafuta references za huyo mtu kama anajulikana au la
Hii baishara ni ngumu ninavyoisikia na ina matukio mengi sana hata mauwaji kushinda biashara zingine
Nitajitahidi kuyasoma mengi zaidi Asante sana
Ni kweli hajapima kama kunauwezo wakuipataKama sehemu anayochimba hamna dhahabu akifanya hivyo vitu ataipata hiyo dhahabu?