Machimbo ya dhahabu bado nayadai

Machimbo ya dhahabu bado nayadai

Nipo mda kwenye uchimbaji na kunalipa,sema uwekezaji wke ni gharama sana mana miundombinu sio kma migodi ya dhahabu
Mkuu kama unakuwa mnunuzi tu je kuna asilimia ngapi ya kupigwa kama hujui
Maana kila biashara ina changamoto zake
Kama mtu anataka kununua ili nae akauze inakuwaje
Say 20m kwa kuanzia labda
 
sijaulizwa hilo swali, na kimsingi siwezi kujibu maana huyo mwenzako alianza kwa kuongea shombo, ila kwa faida yako tu, naweza fanya kila hatua ya utafutaji wa dhahabu from mapping, sampling, ground geophysical survey, drilling supervision iwe ni RC, RAB OR DD, i can also do some resource/reserve estimation, i also have an intermidiate knowledge on mine planning iwe underground or open cut.
wewe jamaa nmeeanza kukuelewa uko vizuri kaka..
 
hapo nyangalata kuna tajiri mmoja alifariki jina saguda....alikuwa na mawe sio ya nchi hii ila alikufa kimaajabu sana
Saguda hawa wanyantuzu wana mambo ya ushirikina sana kwenye machimbo maarufu ndagu
So jamaa naye alikuwa na hayo mambo na ndiyo maana kifo chake ni maajabu
 
Drilling ya exploration ni test holes ni visima vifupi vya majaribio ambavyo sio gharama sana kama drilling iliyopo kwenye production ambayo mnachukua cores na ni ghali sana
umenikumbusha mbali sana nliwah piga hizi mishe za exploration hasa drilling nkitumia machine ya Lm90 nikiwa kama offsider....hahaaa
 
umenikumbusha mbali sana nliwah piga hizi mishe za exploration hasa drilling nkitumia machine ya Lm90 nikiwa kama offsider....hahaaa
Yes mimi pia nimefanya mining industry sio stable leo una kazi,kesho hauna nikakimbilia bank kidogo ni uhakika
 
Nasikia ushirombo Kuna hifadhi watu wanachimba kimchongo.
 
Naomba unitoe ushamba kidogo hapa
Mimi sio mkulima ila huwa nasubiri watu walime nikiwa mjini najaza store zangu halafu wakati wa mahitaji ya chakula nauza kwa faida kubwa
Sasa kwa mfano nikakupa hizo 50m badala ya kwenda kufukiwa na kifusi ukafungua duka lako hapo la kununua dhahabu taratibu haiwezekani

Nauliza tu maana nimeona wasomali wakimbizi Australia wameenda na kuanza kununua Opal stones kwa wenyeji huku wakiwaacha wao wahangaike ila waaminifu sana hao jamaa

Sasa turudi bongo je linawezekana?

Inawezekana mkuu ila mimi nilielekezwa kwenye mwamba ndio kuna hela kubwa hasa yale makinikia ukiyapeleka kuchenjua uhakika wa kukamua kilo tatu za dhahabu upo hapo ndio niliona utam uliko Kumbe kuna moto wake ni balaaa itoshe tu kusema wenzetu wazungu pale Katika mgodi wa bulyanhulu hela wamefukia sio za kitoto

Kwahiyo million 50 inawezekana kuwa middle broker yani kuwa mnunuzi wa kati tu.
mkuu Black Sniper mimi nipo Kahama nimepata site lakini nimekosa hela ya kujenga banda ambalo linaweza kugharimu kama 500,000.Tayar nnamzigo wa biashara nnahitaji mfadhili wa kunijengea banda hilo na nitakuwa narudisha pesa kidogo kidogo iwe na riba.Kama upo karibu waweza kufika nikakuonesha eneo na unaweza kunijengea au nikajenga under your supervision.Niazime mkuu nitoke kwenyw maisha haya...
Naomba unitoe ushamba kidogo hapa
Mimi sio mkulima ila huwa nasubiri watu walime nikiwa mjini najaza store zangu halafu wakati wa mahitaji ya chakula nauza kwa faida kubwa
Sasa kwa mfano nikakupa hizo 50m badala ya kwenda kufukiwa na kifusi ukafungua duka lako hapo la kununua dhahabu taratibu haiwezekani

Nauliza tu maana nimeona wasomali wakimbizi Australia wameenda na kuanza kununua Opal stones kwa wenyeji huku wakiwaacha wao wahangaike ila waaminifu sana hao jamaa

Sasa turudi bongo je linawezekana?
 
mkuu Black Sniper mimi nipo Kahama nimepata site lakini nimekosa hela ya kujenga banda ambalo linaweza kugharimu kama 500,000.Tayar nnamzigo wa biashara nnahitaji mfadhili wa kunijengea banda hilo na nitakuwa narudisha pesa kidogo kidogo iwe na riba.Kama upo karibu waweza kufika nikakuonesha eneo na unaweza kunijengea au nikajenga under your supervision.Niazime mkuu nitoke kwenyw maisha haya...
Mkuu, najua mwanzo huwa mgumu ila unaweza
Mimi niko mbali na tz kwa sasa
Ningekuwa huko ningekuja kukuona ila ndio hivyo tena
 
Kama una uzoefu naomba unijibu. Kwa makadirio, kila watu 100 wanaokwenda kubahatisha kupata utajiri wa dhahabu, ni wangapi wanapata na ni wangapi wanafeli? Kujua mahesabu kama haya ni vizuri sana kabla hujaamua kuingia huko.

Mkuu acha tuu nilikaa kama week huko nikawa sijui pa kuanzia kabisa nliamini hii biashara ili uwin inabidi upete mtu wa kukushika mkono coz matapeli wengi, sikumpata huyo mtu nikaamua kuondoka ila ipo siku nitarudi tuu.
Your welcome
 
Hire a geologist..!

Perhaps the treasure is just 10 feet ahead..!

Capital sio tatzo, ongea na insurance companies na bankers watakusaidia.
 
Back
Top Bottom