Machimbo ya dhahabu bado nayadai

Machimbo ya dhahabu bado nayadai

Ujambazi haupo tena hata kuubiwa kumepungua sana sababu kuna vifaa vingi sana vya kutambua vip feki na kipi ni sahihi nimekua kwenye hiyo secta na nilianza na laki tano tuu nilishikwa mkono na mtu ambae tulijuana huko huko poloni na nilikua vzr sana bahati mbaya sana jamaa alikuja kupata ajali na mbaya zaidi siku hiyo ndo nilikua nimetoka poli dhababu yote ilikua kwake ndo ukawa mwisho wangu kwa hasira sikutaka tena nikaondoka sa hv nipo dsm but dhahabu ukiiheshimu itakuheshimisha pia
Pole sana, ila ndio maisha na ukijikwaa unaamka na kuendelea
Natamani kuifanya na kuingia huko siku moja
Ila sio mchimbaji bali mnunuzi tu
 
Nilikua mchimbaji but kutokana na uaminifu wangu siku moja tukiwa sehemu moja inaitwa mwime nilikua nasimamia duara moja na lilikua na dhahabu ya nyingi so ili kupata mawe ilikua na competition sana jamaa akawa ananiachia hela ili kesho anunue kambi kuanzia hapo aliniamin sana akawa anaacha hata m 8 hata 10 kumbuka hapo hajui hata pakunipata Incase nikiamua kukimbia nayo so duara lilivokata ndo akanivuta ofisini kwake maisha yalikua mazuri sana had alipofariki
 
Kwenye 100 mnaweza msitoboe wote bro wakitoboa wengi ni 5-8 wakifika 15 machimbo hayo yatakua maarufu sana na watu hawataondoka kirahisi hapo

Ila wapo wanaotoboa katika machimbo kwa kufanya shughuli zingine zisizo za kichimbaji kama vile wauza vyakula, maji vinywaji vinatoka sana hasa machimbo yenye population kubwa.
Wapo wanaoenda kwa kuanzisha biashara ndogo na baadae wanafungua maduka makubwa ya jumla
Asante sana. Kumbe ni kazi ngumu.
 
Mkuu kama miwani ya kuona dhahabu chini unayo mnisaidie tuende pale saiti pangu palipo doda tukaangalizie kwa kutumia miwani ili tuone dhahabu zilipo tuanzie hapo nimechoka kufukuzia mwamba naona hiyo miwani itanisaidia
Nipe,1mil, Nina mitambo ya jeohunter ya mturuki na VR10000 ya mmarekani. Kila niliyempimia lazima apate exactly kwenye coordinates zilezile nilizomwonyesha kwamba mtambo umedetect.
 
Nilikua mchimbaji but kutokana na uaminifu wangu siku moja tukiwa sehemu moja inaitwa mwime nilikua nasimamia duara moja na lilikua na dhahabu ya nyingi so ili kupata mawe ilikua na competition sana jamaa akawa ananiachia hela ili kesho anunue kambi kuanzia hapo aliniamin sana akawa anaacha hata m 8 hata 10 kumbuka hapo hajui hata pakunipata Incase nikiamua kukimbia nayo so duara lilivokata ndo akanivuta ofisini kwake maisha yalikua mazuri sana had alipofariki
Hakuna kitu kizuri kama uaminifu maana unaishi kwa amani sana
Pole tena na utafanikiwa zaidi
 
Attachments

  • FB_IMG_1699962349322.jpg
    FB_IMG_1699962349322.jpg
    30.6 KB · Views: 24
Nilienda chunya makongolosi machimboni sikuelewa kitu nikaamua kuondoka zangu tuu ila biashara ya dhahabu naipenda ila sio kuchimba bali kuwa brocker.
Na kama kuwa broker bora ungeanzia ukanda wa chunya mjini uwe kama unaelekea sangambi au igundu hivyo vyote ni vijiji vilivyo karibu na hata mzigo unapata kiurahisi Lakini sema kama ndio mara yako ya kwanza hapo lazima usielewe maana utakosa connection na ukichanganya na wenge la kuona utapigwa kutapeliwa lazima usielewe kitu lazima uondoke fasta ila kama ulikuwa mwenyeji na ukaondoka fasta haukuwa seriously
 
Kuchimba ni ntiti ukilala nchale ukigeuka nchale jumlisha najua la utosi huku sululu ukiipandisha juu kwenda ardhini utadata kiuno chote hauna kama ndio mara ya kwanza utakuwa unakunywa maji kila dakika ila ngoma bado imekununia

Mungu awape maisha marefu wachimbaji japo na wenyewe licha ya misoto yote unakuta mtu kapata dhahabu kubwa tu ila zote zinaishia kwenye pombe na wanawake anarudi tena polini kusota kweli dhahabu ni Adhabu sijui zina shida gani.
 
Mkuu acha tuu nilikaa kama week huko nikawa sijui pa kuanzia kabisa nliamini hii biashara ili uwin inabidi upete mtu wa kukushika mkono coz matapeli wengi, sikumpata huyo mtu nikaamua kuondoka ila ipo siku nitarudi tuu.
Hapo bora ulivyo rudi tu mkuu maana kiukweli bila kuongozwa na mwenyeji utapigwa kakumba bora kusepa kuliko kupoteza hela
 
Na kama kuwa broker bora ungeanzia ukanda wa chunya mjini uwe kama unaelekea sangambi au igundu hivyo vyote ni vijiji vilivyo karibu na hata mzigo unapata kiurahisi Lakini sema kama ndio mara yako ya kwanza hapo lazima usielewe maana utakosa connection na ukichanganya na wenge la kuona utapigwa kutapeliwa lazima usielewe kitu lazima uondoke fasta ila kama ulikuwa mwenyeji na ukaondoka fasta haukuwa seriously
Mkuu mimi sio mwenyeji wa huko safari yangu ilikua ya tunduma sema kuna mchongo nilikua nafatilia but haikwenda kama nilivyoplan ndio nikapata wazo la kwenda chunya kuangalia hizo issue za dhahabu.
 
Hakuna kitu kizuri kama uaminifu maana unaishi kwa amani sana
Pole tena na utafanikiwa zaidi
Moja ya silaha yangu kuu ni hiyo kuna siku nitaleta short story kuhusu mapito yangu sa hv nina aman sana haikuwa rahisi kuna wakati tulilazimika mimi na wife kula ugali kachumbali watoto wale wali maana ugali hawakua wameuzoea, nipo najitafuta siku nimeona mambo yametulia nitaleta story humu ili watu wapate kujifunza kidogo
 
Kuchimba ni ntiti ukilala nchale ukigeuka nchale jumlisha najua la utosi huku sululu ukiipandisha juu kwenda ardhini utadata kiuno chote hauna kama ndio mara ya kwanza utakuwa unakunywa maji kila dakika ila ngoma bado imekununia

Mungu awape maisha marefu wachimbaji japo na mwenyewe licha ya misoto yote unakuta mtu kapata dhahabu kubwa tu ila zote zinaishia kwenye pombe na wanawake anarudi tena polini kusota kweli dhahabu ni Adhabu sijui zina shida gani.

Kweli kabisa mkuu wachimbaji wa dhahabu hawana tofauti na wavuvi yani wakipata ni bata tuu nilijionea pale makongolosi yani karibia kila frame ni glocery na zote zinajaza yani nikula pombe mwanzo mwisho.
 
Moja ya silaha yangu kuu ni hiyo kuna siku nitaleta short story kuhusu mapito yangu sa hv nina aman sana haikuwa rahisi kuna wakati tulilazimika mimi na wife kula ugali kachumbali watoto wale wali maana ugali hawakua wameuzoea, nipo najitafuta siku nimeona mambo yametulia nitaleta story humu ili watu wapate kujifunza kidogo
Ufanye hivyo mkuu, uni tag pia
Maisha haya kila mmoja anapitia mengi ila ni kumuamini Mungu tu
 
Back
Top Bottom