Machimbo ya dhahabu bado nayadai

Machimbo ya dhahabu bado nayadai

Mazao ni mpanda mkuu ninatuma vijana wananunua na kupakia ila kila biashara ina changamoto zake na mimi nina biashara za aina tofauti ili kujaziliza pakivuja sehemu

Kuna wakati nilipeleka behewa la mchele dar nikakutana na mafuriko na mchele wa kutoka nje niliuza kwa hasara sana Kama loss ya 5m ila nilirudisha kwenye miradi mingine baada ya miezi miwili
Ila ni kupambana tu mpaka unapata usafiri wako mwenyewe
Duh! Kununua unaweza kuanza na Milioni ngapi, na miezi ipi mizuri kununua mchele?
 
Mkuu kama miwani ya kuona dhahabu chini unayo mnisaidie tuende pale saiti pangu palipo doda tukaangalizie kwa kutumia miwani ili tuone dhahabu zilipo tuanzie hapo nimechoka kufukuzia mwamba naona hiyo miwani itanisaidia
Usidanganyike, dhahabu ingekuwa inaonekana kirahisi hvo isingekuwa na thamani iliyonayo. kama miwani ni 1.5m tu na unaona dhahabu iliyo chini, kwa nn makampuni makubwa hawanunui hyo miwani badala yake wanaingia gharama ya mamilioni ya dola kufanya exploration, mkuu usidanganyike na hayo matakataka.
 
Duh! Kununua unaweza kuanza na Milioni ngapi, na miezi ipi mizuri kununua mchele?
Kuna nyuzi humu za mazao unaweza kujifunza mengi ukipitia
Kuhusu mtaji unategemea una shilingi ngapi maana kila mmoja anajua alichonacho
Siwezi kukuvunja nguvu na kukuambia lazima uwe na kiasi fulani unaweza kuanza na mtaji ulionao ila jaribu kupitia nyuzi humu zipo nyingi na wataalamu wengi tu wamo kwenye Kilimo
 
Umechimba tu chunya unataka kutajirika? we mbona bado sana hujajua hizi shughuli za kiumeni? Bado unayo safari ndefu hadi utembee sana angalau kwenye list yako yaingie majina mapya ufike sehemu zinazoitwa Ngangalata, Kalole, Nyamishiga, Tambalale angalau ndo utasema kweli umeanza anza kuitafuta dhahabu

Hizi shughuli huwa inafika hatua nyumbani kwenu wanakusahau na wewe mwenyewe akili ya kurudi nyumbani unakua huna mnapeana moyo tu kuwa dhahabu zimefumuka chimbo fulani wote mnakimbilia huko badae mnaskia tena imefuka sehem fulani mwendo inakua ni kuhama na machimbo tu

Ukiwa na bahati utatajirika usipokua na bahati na huna mawasiliano na nyumbani unazikiwa hukohuko huku nyumbani kwenu wakiamini iko siku utarudi wanajua upo kwenye utafutaji kumbe uko chini ya udongo.
 
Watu wanatoa makafara ya wanyama,watu,mf. Mfanyakazi ,rafiki,na malaya wale wachunaji , jingine unaweza kuwa unanyota ya biashara hujafungua kwa kutoa fungu la kumi nakumuomba mola wako akupe ulinzi maana kila mtu anahitaji riziki, pia hujamwita mchungaji au shekhe abariki kazi ya mikono yako,wengine wanazingira na mambo ya giza
Kama sehemu anayochimba hamna dhahabu akifanya hivyo vitu ataipata hiyo dhahabu?
 
Licha ya kuchimba sana dhahabu Chunya na kusekesa Lakini dhahabu imekuwa ni adhabu kwangu kwa kukaa kwangu kote polini nimeambulia kupata nyunga tu za point moja zimezidi sana point saba

Licha ya kupiga sana sululu huku gold detector yenye ukubwa wa 7000 hapa nazungumzia Gp7000 ile ya kisasa kabisa Lakini bado dhahabu ni ngumu kupatikana je dhahabu ni nini jibu= dhahabu ni adhabu.

Licha ya kupona kufukiwa ndani ya long base ukiwa na kitochi tu huko chini na uki risk maisha yako kwa hali ya juu na chini Lakini kupata dhahabu sio rahisi kama wana jf wanavyo jidai wana yajua vizuri machimbo ya dhahabu Lakini kiuhalisia hakuna wajualo

Mpaka mda huu ninao zungumza nilikuwa nipo sehemu zangu nina ofisi kubwa na maisha yanaenda akaja jamaa yangu mmoja wa mda kidogo ndani ya Toyota IST kali nikamuuliza vipi mbona adim na maisha umeyapatia sana akasema yeye yuko chunya machimbo mda wote na story yake ilinivutia na Mimi kuingia kwenye biashara ya dhahabu ooh hapa ndipo nilipo kosea duka mpaka sasa limefilisika

Nimebaki mabega tu na shimo ndio kwanza linaanza wachimbaji wananipigia simu wanataka unga wa kula kambini na Mimi HELA sina.

Hadithi za machimbo ya dhahabu ni tamu kusikiliza nimeweka hela Kumbe nimefukia mazima hata elusion ndio kwanza sijafika hali iko Hivi ama kweli biashara ya dhahabu kashamzoba au kanyampasila au kachumbagira (Rip marehemu mkandala rufufu)

MPAKA SASA NAHITAJI NIWE NA MILLION 50 ILI KUENDELEZA SHIMO LANGU NA NIMETUMIA MILLION 28 KESHI NIKIWA NA HIYO HAMSINI NI MPAKA KWENYE UCHENJUAJI MSAADA PLEASE KWA ANAE JUA SHORT CUT.

View attachment 2818592
nimeishi sana machimboni huko geita, mpaka leo sijawahi kushawishika kujihusisha na madini.....vijana wanaenda huko wakiwa na nguvu kabisa na wanarudi wakiwa ni wazee wasiokuwa na kitu
 
Licha ya kuchimba sana dhahabu Chunya na kusekesa Lakini dhahabu imekuwa ni adhabu kwangu kwa kukaa kwangu kote polini nimeambulia kupata nyunga tu za point moja zimezidi sana point saba

Licha ya kupiga sana sululu huku gold detector yenye ukubwa wa 7000 hapa nazungumzia Gp7000 ile ya kisasa kabisa Lakini bado dhahabu ni ngumu kupatikana je dhahabu ni nini jibu= dhahabu ni adhabu.

Licha ya kupona kufukiwa ndani ya long base ukiwa na kitochi tu huko chini na uki risk maisha yako kwa hali ya juu na chini Lakini kupata dhahabu sio rahisi kama wana jf wanavyo jidai wana yajua vizuri machimbo ya dhahabu Lakini kiuhalisia hakuna wajualo

Mpaka mda huu ninao zungumza nilikuwa nipo sehemu zangu nina ofisi kubwa na maisha yanaenda akaja jamaa yangu mmoja wa mda kidogo ndani ya Toyota IST kali nikamuuliza vipi mbona adim na maisha umeyapatia sana akasema yeye yuko chunya machimbo mda wote na story yake ilinivutia na Mimi kuingia kwenye biashara ya dhahabu ooh hapa ndipo nilipo kosea duka mpaka sasa limefilisika

Nimebaki mabega tu na shimo ndio kwanza linaanza wachimbaji wananipigia simu wanataka unga wa kula kambini na Mimi HELA sina.

Hadithi za machimbo ya dhahabu ni tamu kusikiliza nimeweka hela Kumbe nimefukia mazima hata elusion ndio kwanza sijafika hali iko Hivi ama kweli biashara ya dhahabu kashamzoba au kanyampasila au kachumbagira (Rip marehemu mkandala rufufu)

MPAKA SASA NAHITAJI NIWE NA MILLION 50 ILI KUENDELEZA SHIMO LANGU NA NIMETUMIA MILLION 28 KESHI NIKIWA NA HIYO HAMSINI NI MPAKA KWENYE UCHENJUAJI MSAADA PLEASE KWA ANAE JUA SHORT CUT.

View attachment 2818592
Dahh, so mchezo mwamba,
Ila ndo upambanaji, usichoke masta

Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
 
We sema dhahabu yako unaichimbia wapi tujue, acha maneno matupu
sijaulizwa hilo swali, na kimsingi siwezi kujibu maana huyo mwenzako alianza kwa kuongea shombo, ila kwa faida yako tu, naweza fanya kila hatua ya utafutaji wa dhahabu from mapping, sampling, ground geophysical survey, drilling supervision iwe ni RC, RAB OR DD, i can also do some resource/reserve estimation, i also have an intermidiate knowledge on mine planning iwe underground or open cut.
 
sijaulizwa hilo swali, na kimsingi siwezi kujibu maana huyo mwenzako alianza kwa kuongea shombo, ila kwa faida yako tu, naweza fanya kila hatua ya utafutaji wa dhahabu from mapping, sampling, ground geophysical survey, drilling supervision iwe ni RC, RAB OR DD, i can also do some resource/reserve estimation, i also have an intermidiate knowledge mine planning iwe underground or open cut.
Shida sio kufanya hivyo vitu, shida ni je, hilo eneo dhahabu ipo?
 
Dhahabu ni biashara kama biashara zingine tu, tatizo watu wanadhani ukiingia kwenye dhahabu sasa hivi unakuwa kama achimwene which is wrong.

Pia fanya slow slow usiwe na hasira nayo ,kuna mtu alitegemea kupata gram 500 ellution akaishia kupata gram 31 na nyuma ana madeni kibao

Pia ili usiumie kichwa usiendeshe biashara ya kuchimba dhahabu kwa kutumia pesa za kukopa.

Uchimbaji wa dhahabu ni biashara ya kubet mwanzo mwisho

1.Mawe unaachimba,-pesa inaenda
2.unasaga,- pesa inaenda
3.unaozesha- pesa inaenda
4.ellution( unavuna ulichopanda)- je kitarudisha fedha ulizotumia kwenye process 1,2,3 and 4? Na ukapata faida? Hapo ndo betting ilipo.
kwa kifupi kupata dhahabu ni mchakato, dhahabu sio gemstones.
 
Back
Top Bottom