mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 45,751
- 55,788
yaani kwenye exploration uone mzigo ila ukifanya mining hamna kitu, hyo exploration mlifanya mpaka stage gani?Boss sisi madini tumeyasoma sana darasani,we did Bsc in Geology but no one dare kujiingiza kwenye biashara ya madini maana si mchezo kwenye exploration unaweza ona mzigo upo but kwenye production hampati kitu,dah acha tuajiriwe tu ila kwenye madini usifanye peke yako mfanye wengi kushare risks
Ni kweli mkuu kweli unazijua hizo sehem vyema biashara ya uchimbaji inahitaji moyo japo hamna kitu ila wahuni wanakomaa hivyohivyo ila hakuna kitu kabisaN
yangalata pamepoa sana
Nyamishiga hakuna jipya watu wameunguza mitaji
Kalole hakuna jipya
Busulwangiri hakuna jipya
Acha tu ndo maana exploration majibu yake una present in terms of %probability ya ku meet ore body so board inachagua to drill or not to drillyaani kwenye exploration uone mzigo ila ukifanya mining hamna kitu, hyo exploration mlifanya mpaka stage gani?
Drilling si ni part ya exploration mkuu au?Acha tu ndo maana exploration majibu yake una present in terms of %probability ya ku meet ore body so board inachagua to drill or not to drill
Drilling ya exploration ni test holes ni visima vifupi vya majaribio ambavyo sio gharama sana kama drilling iliyopo kwenye production ambayo mnachukua cores na ni ghali sanaDrilling si ni part ya exploration mkuu au?
Hao jamaa wanaokamatwa na kilo kadhaa za ADHABU wanazitorosha toka Chunya, wanazipata wapi?!!!!Licha ya kuchimba sana dhahabu Chunya na kusekesa Lakini dhahabu imekuwa ni adhabu kwangu kwa kukaa kwangu kote polini nimeambulia kupata nyunga tu za point moja zimezidi sana point saba
Licha ya kupiga sana sululu huku gold detector yenye ukubwa wa 7000 hapa nazungumzia Gp7000 ile ya kisasa kabisa Lakini bado dhahabu ni ngumu kupatikana je dhahabu ni nini jibu= dhahabu ni adhabu.
Licha ya kupona kufukiwa ndani ya long base ukiwa na kitochi tu huko chini na uki risk maisha yako kwa hali ya juu na chini Lakini kupata dhahabu sio rahisi kama wana jf wanavyo jidai wana yajua vizuri machimbo ya dhahabu Lakini kiuhalisia hakuna wajualo
Mpaka mda huu ninao zungumza nilikuwa nipo sehemu zangu nina ofisi kubwa na maisha yanaenda akaja jamaa yangu mmoja wa mda kidogo ndani ya Toyota IST kali nikamuuliza vipi mbona adim na maisha umeyapatia sana akasema yeye yuko chunya machimbo mda wote na story yake ilinivutia na Mimi kuingia kwenye biashara ya dhahabu ooh hapa ndipo nilipo kosea duka mpaka sasa limefilisika
Nimebaki mabega tu na shimo ndio kwanza linaanza wachimbaji wananipigia simu wanataka unga wa kula kambini na Mimi HELA sina.
Hadithi za machimbo ya dhahabu ni tamu kusikiliza nimeweka hela Kumbe nimefukia mazima hata elusion ndio kwanza sijafika hali iko Hivi ama kweli biashara ya dhahabu kashamzoba au kanyampasila au kachumbagira (Rip marehemu mkandala rufufu)
MPAKA SASA NAHITAJI NIWE NA MILLION 50 ILI KUENDELEZA SHIMO LANGU NA NIMETUMIA MILLION 28 KESHI NIKIWA NA HIYO HAMSINI NI MPAKA KWENYE UCHENJUAJI MSAADA PLEASE KWA ANAE JUA SHORT CUT.
View attachment 2818592
unajua unachoongea? unafanya kazi kampuni gani? na hyo bsc in geology umesoma chuo gani?Drilling ya exploration ni test holes ni visima vifupi vya majaribio ambavyo sio gharama sana kama drilling iliyopo kwenye production ambayo mnachukua cores na ni ghali sana
Udsm but Nilishaachana na geoloy,kwahiyo industry nadhani imenipita ila those days we did explorations za oil,gas,water na minerals kama field geologistunajua unachoongea? unafanya kazi kampuni gani? na hyo bsc in geology umesoma chuo gani?
Unakuta ni watu kadhaa kila mmoja amekamatwa na gram kadhaa kwenye utangazaji maredioni wanatangaza total iliyokamatwa, wanatangaza general catch akili za kuambiwa changanya na zakoHao jamaa wanaokamatwa na kilo kadhaa za ADHABU wanazitorosha toka Chunya, wanazipata wapi?!!!!
Nimeona ata uku lushoto kata ya Vuga mashimo Kila sehemu watu wanatafuta Dhahabu ila naambiwa wanaambulia vipoint point ila Kuna kipindi walikuwa wanapiga Hadi Kuna baadhi wamenunua Hadi coasters,Licha ya kuchimba sana dhahabu Chunya na kusekesa Lakini dhahabu imekuwa ni adhabu kwangu kwa kukaa kwangu kote polini nimeambulia kupata nyunga tu za point moja zimezidi sana point saba
Licha ya kupiga sana sululu huku gold detector yenye ukubwa wa 7000 hapa nazungumzia Gp7000 ile ya kisasa kabisa Lakini bado dhahabu ni ngumu kupatikana je dhahabu ni nini jibu= dhahabu ni adhabu.
Licha ya kupona kufukiwa ndani ya long base ukiwa na kitochi tu huko chini na uki risk maisha yako kwa hali ya juu na chini Lakini kupata dhahabu sio rahisi kama wana jf wanavyo jidai wana yajua vizuri machimbo ya dhahabu Lakini kiuhalisia hakuna wajualo
Mpaka mda huu ninao zungumza nilikuwa nipo sehemu zangu nina ofisi kubwa na maisha yanaenda akaja jamaa yangu mmoja wa mda kidogo ndani ya Toyota IST kali nikamuuliza vipi mbona adim na maisha umeyapatia sana akasema yeye yuko chunya machimbo mda wote na story yake ilinivutia na Mimi kuingia kwenye biashara ya dhahabu ooh hapa ndipo nilipo kosea duka mpaka sasa limefilisika
Nimebaki mabega tu na shimo ndio kwanza linaanza wachimbaji wananipigia simu wanataka unga wa kula kambini na Mimi HELA sina.
Hadithi za machimbo ya dhahabu ni tamu kusikiliza nimeweka hela Kumbe nimefukia mazima hata elusion ndio kwanza sijafika hali iko Hivi ama kweli biashara ya dhahabu kashamzoba au kanyampasila au kachumbagira (Rip marehemu mkandala rufufu)
MPAKA SASA NAHITAJI NIWE NA MILLION 50 ILI KUENDELEZA SHIMO LANGU NA NIMETUMIA MILLION 28 KESHI NIKIWA NA HIYO HAMSINI NI MPAKA KWENYE UCHENJUAJI MSAADA PLEASE KWA ANAE JUA SHORT CUT.
View attachment 2818592
Kurukaruka na milio sio guarantee ya kupata hela kwenye dhahabu, kuna watu wametulia sehemu moja na wametoboa, labda wewe ni mponjaji.Umechimba tu chunya unataka kutajirika? we mbona bado sana hujajua hizi shughuli za kiumeni? Bado unayo safari ndefu hadi utembee sana angalau kwenye list yako yaingie majina mapya ufike sehemu zinazoitwa Ngangalata, Kalole, Nyamishiga, Tambalale angalau ndo utasema kweli umeanza anza kuitafuta dhahabu
Hizi shughuli huwa inafika hatua nyumbani kwenu wanakusahau na wewe mwenyewe akili ya kurudi nyumbani unakua huna mnapeana moyo tu kuwa dhahabu zimefumuka chimbo fulani wote mnakimbilia huko badae mnaskia tena imefuka sehem fulani mwendo inakua ni kuhama na machimbo tu
Ukiwa na bahati utatajirika usipokua na bahati na huna mawasiliano na nyumbani unazikiwa hukohuko huku nyumbani kwenu wakiamini iko siku utarudi wanajua upo kwenye utafutaji kumbe uko chini ya udongo.
Huko wakati pameanza kutema tulipata mpunga haswa ila palipoanza kudoda tulizika mpunga haswa mambo ya dhahabu ni kamariNi kweli mkuu kweli unazijua hizo sehem vyema biashara ya uchimbaji inahitaji moyo japo hamna kitu ila wahuni wanakomaa hivyohivyo ila hakuna kitu kabisa
mkuu neno Mponjaji umenikumbusha jamaa yangu fulani hivKurukaruka na milio sio guarantee ya kupata hela kwenye dhahabu, kuna watu wametulia sehemu moja na wametoboa, labda wewe ni mponjaji.
Basi Subiri Mungu akusaidie.Mimi ni Muamini Katika Kristo Nimeenda na Mbinu za wazungu za kutotumia uchawi