Machawa wote kwenye jeshi na mitandaoni mnapigania nini ? haki ya kutekwa haki ya kuuliwa au haki ya buku saba ?

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,560
Reaction score
7,914
Machawa wote kwenye jeshi na mitandaoni mnapigania nini ? haki ya kutekwa haki ya kuuliwa au haki ya buku saba ?

Maana mnaenda kinyume na wale wanaopinga vitendo hivyo vya kuuliwa na kutekwa je mnapiginia haki za kutekwa? au mna magonjwa ya akili ? katika utafiti wangu mimi sielewi hawa watu wanacho pigania wapo kama machizi.
 
Nashauri vyombo vya ulinzi na usala kuendelea kujizatiti vyma dhidi ya mipango ya kigaidi, na kuhakikisha magaidi wote wanakua nuetralized mapema sana kabala ya kuleta madhara kwa wananachi na uharibifu wa miundombinu nchini.

Mamluki wote wanafaa kusambaratishwa bila kucheleweshwa hata sekunde moja ili hatimae taifa letu liendelee kua na amani ya kudumu :NoGodNo:
 
Back
Top Bottom