Machangudoa wa Sinza Mori hamuogopi UKIMWI?

Machangudoa wa Sinza Mori hamuogopi UKIMWI?

Ulweso, unaongea na mteja wa watu hapo. Mwenzako amekuja kutega wateja, anafanya customer service ya kutosha kuwapata.
CC Joyce shija
Eli79 yaani kila siku makahaba wa mori najiuliza wanawajua vipi kama sio wateja wao , kwahiyo huyo ndiye mteja wao hongera zake anachokitafuta atakipata tu Mungu na shetani hakunaga mwenye hiyana unaye mkimbilia anakupatia utakacho[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
balance story - na wateja wa machangudoa nao je?
 
Back
Top Bottom