Machangudoa wa Sinza Mori hamuogopi UKIMWI?

Machangudoa wa Sinza Mori hamuogopi UKIMWI?

Hawa si ndio kama wale
Utakuta dume zima linalalamika "nimeibiwa mke"

Eti kaibiwa.!!!

Utadhani huyo mke ni kiatu cha mtumba.wakati ni binadamu mwenye akili zake timamu.
inauma sana kuibiwa mke
 
Hali hii itaendelea mpaka lini? Mnajirahisisha mpaka huku maeneo ya SOCCER CITY mpaka meeda tena mnapigia debe eti kavu Tshs. 2,000/= tutapona kweli?, ni maisha yamebana ama? yaani mnauza UKIMWI kwa bei chini ya kilo moja ya UNGA wa ugali? Badilikeni.
1. Kwani kuna changudoa anayeogopa ukimwi?

2. Hao machangudoa wanawateja wao wengi tu wanaowafuata pale. Je hao wateja wao hawaogopi ukimwi? Umewabebesha zigo wao tu kwa nini?
 
Mkuu ni kweli. Na unaweza kukuta mkeo nae anachepuka tena kavu kavu kisha nawe anakupa kavu kavu. Eewe Mwenyezi MUNGU tulinde viumbe wako tusiojitambua.
mkioana kila mtu anatembea na uhai wa mwenzake.Hapa ni kulindana tu msileteane ukimwi nyumbani
 
387749.jpg
ya wapi hii?
 
Waoogope kitu wanachoshinda nacho?hao ni wagonjwa total ,wewe Mteja ndie wakutakiwa kuogopa kuwasogelea
watu hawana njia zingine za kupata hela na wanajitegemea kula na mahitaji mengine.Kama wanaona wanaweza kupata fedha kwa njia hiyo kwa nini waone risk kwa maisha yao? Ugumu wa maisha na ukosefu wa ajira hufanya mtu achanganyikiwe na kujiingiza kwenye hatari kama hizi za ukimwi
 
Back
Top Bottom