Machangudoa wa Sinza Mori hamuogopi UKIMWI?

Machangudoa wa Sinza Mori hamuogopi UKIMWI?

wale warembo wamejito muhanga. ila we unayenunua ndiyo huogopi ukimwi????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????
jibaba kwa ukware wake linaingia na kuuchukua na kwenda kumgawia mkewe nyumbani
 
Hivi wateja wao ni akina nani? Wangekuwa hawapati wateja wangefanya kitu kingine. Wameweka bei chee kuendana na hali ya sasa hela hamna
wateja wapo wengi tu.Wengine hawana wake nyumbani pale ni pa kujipatia huduma hiyo kirahisi
 
Yaani wewe pesa na simu ndio umeona vitu vya thamani sana kuliko afya yako?!

Kuna faida gani kuponyesha vitu vyako visiibwe huku umeshindwa kuilinda afya yako kwa kuambukizwa gonjwa ambalo halina tiba mpaka leo? Tafakari chukua hatua.
hela baba
 
Usalama wao ni mdogo,sasa mtu kuuza mwili ndio kazi yake na hachagui wa kulala naye kikubwa tu uwe na hela

Tena wanakwambia kabisa kavu kavu ina bei yake na ukivaa kondomu ina bei bei yake sasa na wewe unaingia kwa huyo mwanamke kama sio kununua magonjwa kipuuzi ni nini?
kuna watu wamepinda na maisha, mtu hana mke na kwenda Ku approach mademu wengine ni issue kubwa ,sasa akikutana na hawa wa being rahisi na wanapatikana kirahisirahisi si ndiyo fursa nzuri kwake? Habari ya kuwaza ukimwi huwa haifikiriki hapa
 
kusex barabarani ni ujinga pia kusex na malaya ni ujinga kabisa mm sijawai nunua iyo kitu tupo kwetu mbagala hakuna ayo mambo
huna mke? mkeo hana tofauti na hao.omba Mungu mkeo asikuasi uwe unamtumia wewe tu maishani.
 
Back
Top Bottom