Mabro na swali

Hizi usipuuzie,
1. Mtoto wa kiume kushinda jikon na shemej
2. Wanacheka sana.

Red flags hizi.

Mwanamke anayejielewa hawez cheka cheka hovyo hata na baba mkwe sembuse mdogo wako!

Nimeuliza swali, wife na dogo wana miaka mingapi? Ni agemate?
 
ivi umeelewa swali?
 
Sasa naongea nae nini akinipa umbea naitikia tu weee kumbe labda ishu za kwao kiufupi nina majibunya short
Mkuu ukiona ukikaa na mtu story nizakudunduliza ujue kuna maeneo mengi sana hamuendani, lakini mtu ambae mnaendana kwenye maeneo kadha wa kadha ukikaa nae hata muda unavyotembea hauuoni, ni weka tuweke yaniπŸ˜…πŸ˜….

Lakini pia inawezekana wewe ni aina ya wale majamaa wanaotanguliza ubaba mbele na kuwaona wake zao just wanawake tu so hawana chochote cha maana cha kuwaambia.

Kwasababu haiwezekani useme huna chochote cha kuongea nae while akikaa na mdogo wako wanapata cha kuongea na vicheko juu.

Unahisi ni story za aina gani ambazo mdogo wako anaweza kupiga na mkeo ila wewe hauwezi? 😊
 
Hizi usipuuzie,
1. Mtoto wa kiume kushinda jikon na shemej
2. Wanacheka sana.

Red flags hizi.

Mwanamke anayejielewa hawez cheka cheka hovyo hata na baba mkwe sembuse mdogo wako!

Nimeuliza swali, wife na dogo wana miaka mingapi? Ni agemate?
Dogo miaka 20 wife 26
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…