Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,488
- 65,838
- Thread starter
-
- #81
Sasa naongea nae nini akinipa umbea naitikia tu weee kumbe labda ishu za kwao kiufupi nina majibunya shortHapo sasa ndio kuna shida mkuuπ π ... Jitahidi huo mstari wa mpaka kwanza uusogeze juu kidogo ili uache nafasi kubwa ya uhuru(kucheza) hapo katikati.
Alafu nikupe mbinu mtu ambaye ashapiga mkeo huwezi kuta et wapo na mastory mengi kiivyo ukiona mastory mengi ujue hakuna kitu hapo au labda ndo yupo kufukuzia ila siyo ashapiga kama mimi siwezi kuona wivu kwakua nishampa principal zangu akitoka nnje ya hapo ni redkwa hiyo na wewe demu wako akiwa anapiga story na mshkaji, hadi fununu zinakufikia kuwa jamaa ana mmanua demu ako utalipokeaje?
Nitaungana nao tucheke woteMfano mdogo wako wakiume ana ukaribu sana na mkeo yaani unakuta jikoni wanapiga story mpaka wanacheka ile mbaya ila mkeo akirudi chumbani mnacheka kiasi tofauti na akiwa na mdogo wako utachukua hatua gani?
Hi my lovely cute i miss youHuyo mpemba ntamkata mitama, namsikia sikia sana lisemwalo lipoππ ,hi babe Mwachi..
Sasa kosa la mkeo likwapi? Awe na gubu kama wewe?Hapana ni mpole siwezi kuongea
Acha kabisa ngumuMimi hakuna mwanaume wowote humu duniani namuamini kumuacha na Mke wangu au mtoto wangu(awe wa kike au kiume),
Ata Awe baba mzazi , (kaka au mdogo wangu wa tumbo moja).
NB: turudi kwa mada.
Kwahiyo huyo dogo bado anasoma na anamazoea na shemej yake.
Ina maana wote wanaweza kuwa wanalingana umri?, au wana interest sawa?.
Kama sio, basi mwanamke ana matatizo.
Kama ndio. Ni agemate, bro, kazi unayo.
Tumia busara sana.
Ntakuambia
Basi mwambie akasome stori ya NGOSWE, PENZI KITOVU CHA UZEMBE.Ana soma
NitakupigaNguzo kwenye moja na mbili
MsomiKm umesoma mwanamke anayejitambua acha wivu,km lipolipo bas vumilia
Wana lingana umri?Acha kabisa ngumu
Sasa sio siri tena ushajuaKumbe wizo wangu financial services ndo zuchu, watu mna siri πππ
Wizo Evelyn ππ mimi ni wa bara labda siyo zenji sasa itakuaje?Kumbe wizo wangu financial services ndo zuchu, watu mna siri πππ
Hatarimtoto wa kiume, unaonekana mida ya misos, au unapotea siku nzima huonekani home, kamata viatu nenda uwanjani kapashe misuli,, ukirudi unanuka jasho kuanzia mwili nguo hadi viatu vinatoa harufu π,, ukishakula huna mda na tamthilia. ushakula matizi ukijiegesha tu usingizi huo na mkoromo wa hatar
Inabidi uwe unashinda nao jikoni tuNitakupiga
Ahahaha nguzo banaSure siku iyo nawasikia ana mwambia peleka chap bwana nguzo uyo anatoka chumbani asikukute
Et natimua mke π€£Fanya uchuguzi, kama dogo anakula mkeo, au mdogo wako ana tabia za kike.
Kama anamkula, utajua cha kuamua. Ila nikiwa mimi mke natimua maana ndio hana akili.
Kama dogo ana tabia za kike hapo sasa utajua cha kufanya.
labdo kuna mahali unazungukwa, lazima ujue chanzo cha hiyo bond
Umefika mbali mkuuInabidi uwe unashinda nao jikoni tu
Sasa uelewi story wanaongea kimafumboNitaungana nao tucheke wote