Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,591
- 13,647
- Thread starter
- #361
Aaaah PapiiPapii
Aaaah PapiiPapii
Patrick Nyembera huyu mtangazaji?Pazi Tanesco pale ...Patrick nyembera play maker. Paul a.k.a kubwa...shabani kazumba ..Kazadi ...list Iendelee
Nikumbushe braza....kulikua na Eddy kama wawili nawajua.....Unamjua Eddy Cooks ?
Kule sasa ocean road kwenye huo uwanja karibia na agha khan...ndiko kulikonipatia wife.....nadhani Oilers walikua wanafanya mazoezi weekend...Unanikumbusha ile sakata ya uwanja wa Pazi wakati uko Gymkhana, halafu ndio Sheraton wanautaka kujenga hoteli ambayo sasa ndio Serena, pia ilikuwa Movenpick
Wazee wa Pazi wakafungua kesi ya kupinga, Sheraton akawaambia atawajengea uwanja mpya ndio wa Oilers sasa kule Ocean road, Pazi wakakataa, baadae wanashangaa Kocha wa Abdallah Kange? kumbe alivuta mkwanja kutoka Sheraton akaenda kuanzisha Oilers...
Ndio Mzee Malay kwa kuwa alikuwa mmoja wa Directors wa Tanesco ndio akaukarabati ule uwanja na Pazi wakahamia kule....
Yeah regina ni sista na braza mrangi ndio mabraza mayanki enzi hizo...Kama Regina Mengi unamuita sister bhasi unastahili shkamoo yangu bila pingamizi mkuu maana yule kwangu ni shangazi 😁😁
Pia nikisikiliza story za Dar ya zamani inaonekana mji ulikuwa mdogo na watu wachache sana lakini pia ni enzi ambazo mtu kuwa high school ilikuwa big deal ndio maana watu wenye influence, walikuwa na shule na exposure
Siku hizi O'level na high school ni kama zipo zipo tu kwenye codes za mjini, wengi ni wale wa street smart au universities ndio wanadomineti
Pia nimeamini maneno ya bro mrangi , tafsiri ya mtoto wa mjini wa enzi hizo na sasa ni tofauti kabisa
Nilikua dogo janja...wengi nawakumbuka kwa sura.....walikua baadhi mzee mlay kawapa ajira nadhani.Pazi Tanesco pale ...Patrick nyembera play maker. Paul a.k.a kubwa...shabani kazumba ..Kazadi ...list Iendelee
Walifanyaje kigamboni???Uwanja wa Pazi pale Tanesco Drive in / kwa sasa Us Embassy
Nikumbushe lile tukio la wachezaji wa pazi kule Kigamboni
Nimesikiliza interview ya Sugu EFM Radio akizungumzia hao 'Dar Young Mob' wakati anaingia kwenye mashindano ya Yo Rap Bonanza.Enzi hiyo Sugu ndiyo anaingia mjini kakaribishwa na "Dar Young Mob".
Hiyo early 90,s pale don bosco upanga.....tulikua tunashinda kule nyuma kwenye mabafu kuoga.....katika mabomba ya mvua 🤣🤣🤣 utoto bhanaHii imenirudisha 1994 Don Bosco, Upanga kulikuwa na wana wa Azania walipanda jukwaani kama sijasahau walikuwa wanajiita W.W.A. (Wagumu Weusi Asilia) wana walirap kwa vina, ujuzi na ujumbe wa nguvu Sana wakawatoa kaptura za jeshi relini (Tambaza), kwa tafrani lililotokea concert liliishia hapo....
Oooh kumbeNimesikiliza interview ya Sugu EFM Radio akizungumzia hao 'Dar Young Mob' wakati anaingia kwenye mashindano ya Yo Rap Bonanza.
Alisema alilazimika kuwa sehemu ya kundi ili kushiriki mashindano wakajiandikidha kama 2Proud & Dar Young Mob.
Yeah. Nilikuwepo siku hizo. Hao wote wana, mpaka wale watoto wa Temeke GWM, toka siku hizo ingawa wengine hatujaonana miaka kibao.Nimesikiliza interview ya Sugu EFM Radio akizungumzia hao 'Dar Young Mob' wakati anaingia kwenye mashindano ya Yo Rap Bonanza.
Alisema alilazimika kuwa sehemu ya kundi ili kushiriki mashindano wakajiandikidha kama 2Proud & Dar Young Mob.
Bro nikiipata ile video ya mwanzo ya KU nakutumia ujione...🤣🤣😂😂.....nadhani utakumbuka mbali sana.Yeah. Nilikuwepo siju hizo. Hao wote wana, mpakanwale watoto wa Temeke GWM, toka siku hizo ingawa wengine hatujaonana miaka kibao.
Sugu tulikuwa naye sana alivyokuja New Yor City kwenye projects zake, kabla hajarudi Bongo alivyoitwa na Mbowe kugombea ubunge.
Miaka inaenda na kusema kweli kuna nyakati namiss sana kampani za mabraza zetu.......
Ndio maana nikaleta uzi kuwahusu.....
Sema nazingatia privacy ndio maana nimeweka picha chache za mabraza na masisita wa zamani...
Le mtu,z alikua bonge la braza afu baharia mtafutaji TUSIMSAHAU...
Kuna yule braza bishoo babake na dully sykes....TUSIMSAHAU
Kuna braza Zoro babake na banana...bishoo toka hatujazaliwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!!!!!TUSIMSAHAU
Lisiti ni ndeefu.......na kumbukumbu zinapotea almost 30 something years now.
Sio kuna wachezaji wa Pazi walizama baharini?Walifanyaje kigamboni???
Nashukuru sana. Nilikuwa nazitafuta sana zile video nikumbuke tulikotoka.Bro nikiipata ile video ya mwanzo ya KU nakutumia ujione...🤣🤣😂😂.....nadhani utakumbuka mbali sana.
Duh, nimekumbuka mbali sana! Nipo Drs la pili au la tatu Forodhani, bro alipelekwa RungweNgoma ilipigwa tanchi yote,wakahamia Tukuyu Rungwe huko wengine kipoke kiwira,
Mi wakakuta nishaweka kambi.
Ndio ile ikawa mkitaka mali mtaipata shambani😁.
Nilikua nazama nao kitaa bush kwa bibi huko.
Watakula ndumu mpaka watapike.
Jpili nawatimua warudi kusoma hao kwao shule😂😂😂
J3 naenda jioni kuuza Big G,karanga ,pipi mpirani kumbe jamaa nawapoza tu wana mawenge balaa ya ganja weekend.
Kadem kangu kalikua kanaitwa Ruth Kidowezi.
Aisee hako ndo kalifanya nikaenda kule,
Ila nilikua mjasiriamali sikua mwanafunzi.
Sykes alikua hataki kuitwa dingi...bali braza afu yupo serious...🤣🤣😂Kwa hiyo mkuu Mzee Zorro ni braza kwako, Mzee Sykes ni braza pia kwako. Heshima kwako faza[emoji122]