babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 16,431
- 21,134
Walimpigaga mwalimu mkuu wakafukuzwa na kuhamishwa wote ndo tukakutana huko kijijiniMkuu walienda kufanyeje huko Tukuyu... My home town
Walimpigaga mwalimu mkuu wakafukuzwa na kuhamishwa wote ndo tukakutana huko kijijiniMkuu walienda kufanyeje huko Tukuyu... My home town
Zile bwanga za MC hammer 🤣🤣😁😂"Can't touch this....ooh ooh ooo ooh ".
Watoto wa kishua na basket ni pete na kidole. Early 90's nakumbuka walikuwa wakija maghorofani nilipokuwa naishi (Sasa hivi UDSM flats Mwenge) kuja kudunda. Nilikuwa na_enjoy sana kuangalia . Kama kawaida magari ya madingi full kuja nayo. Daah! Nyakati zimeenda.Kwenye basket ..uwanja wa taifa wa ndani maarufu Indoor ...Vijana vs Pazi
Oilers vs jkt ...RBA ilikua full mzuka watoto wote wa kishua unawakuta huko...pick up , datsun za kubebea majani ya ng'ombe tunatimba nayo uwanjani
Sasa Mkuu miaka hiyo ya 90 huko si kulikuwa machaka ya Simba tu na ngedere. Mtu hata umpe kiwanja Bure hachukui, Sasa stori gani zitatoka huko!?Huu uzi ni watoto wa kishua waliokulia Dar. Umeona mahali wametajwa mabraza wa Chanika, Mbande au Mpiji Magoe?
Nakumbuka hiyo Kaka mkubwa jirani yetu wakuitwa Makuka, walimtupa Ihungo, Bukoba huko. Ilikuwa 1993 kama sikosei form one hiyoNgoma ilipigwa tanchi yote,wakahamia Tukuyu Rungwe huko wengine kipoke kiwira,
Mi wakakuta nishaweka kambi.
Ndio ile ikawa mkitaka mali mtaipata shambani😁.
Nilikua nazama nao kitaa bush kwa bibi huko.
Watakula ndumu mpaka watapike.
Jpili nawatimua warudi kusoma hao kwao shule😂😂😂
J3 naenda jioni kuuza Big G,karanga ,pipi mpirani kumbe jamaa nawapoza tu wana mawenge balaa ya ganja weekend.
Kadem kangu kalikua kanaitwa Ruth Kidowezi.
Aisee hako ndo kalifanya nikaenda kule,
Ila nilikua mjasiriamali sikua mwanafunzi.
Kile kijiwe kilikua na isssue nyingi za black Market......kule mbele kulikua na kijiwe cha madogo wa zero brain....🤣🤣Dola soul
Uzi wako umebamba sana
Pale posta wakati ujenzi wa Mkapa tower linajengwa kulikuwa na Kijiwe wadau walikuwa wanakutana pale, alafu kuna njagu wanazuka
Aaah huyu simfahamuHuyu alikuwa DJ,
walikuwa wanakaa chuo mlimani, nadhani wazazi walikuwa malecturer
Na mwaka huo 1994.....kizazi cha mabrza wengi walianza kwenda ughaibuniDah the old Tambaza ilifikia tamati 1994 baada ya timbwili na Aza Boi. Baada ya hapo mademu wakatamalaki na kuifanya Tambaza kuwa the forodhani kwa nidhamu
Yah Miaka hiyohiyo walifukuzwa.Nakumbuka hiyo Kaka mkubwa jirani yetu wakuitwa Makuka, walimtupa Ihungo, Bukoba huko. Ilikuwa 1993 kama sikosei form one hiyo
Yaah kuna mabraza hawakumaliza shule walitimuliwa huko walipopelekwaYah Miaka hiyohiyo walifukuzwa.
Ebhanaee bila aya ni kamzozo
Kabisa, big up raraa reree.wewe jamaa huwa nakukubari sana una like hadi nukta big up sana KAMANDA kwa kushow love humu Ndani wewe unaongoza...
kwenye kumbukumbu zangu sijawahi kugumiana na comment yako mbaya watu kama wewe ni wachache sana duniani...na ndio jamii ya watu wanao hitajika sana🙏
Huyu jamaa ni kati ya wale ambao ukizinguana nae hata kama kazingua yeye basi kwa tabia yake ya amani kijiji chote kitasimama naeKabisa, big up raraa reree.
So sad baadhi ndio ilikuwa mwisho wa safari yao ya elimu.Yaah kuna mabraza hawakumaliza shule walitimuliwa huko walipopelekwa
Kuna siku sita isahau, nilisikitika sana kuona wana ambao class walikuwa vichwa hasa wakifukuzwa shule.So sad baadhi ndio ilikuwa mwisho wa safari yao ya elimu.
Lakini ilileta amani na utulivu jijini, vipigo kwa makondakta vilipungua ndio ilikuwa mwisho wa vurugu zilizozababishwa groups za vijina town.
Lakini iliua ushindani wa elimu kati boys in Dar. Mwishoni mwa 1990's AzaBoi ikaanza kuporomoka kwa kasi kwenye chati hadi kufikia kuwa shule ya mwisho kitaifa.
Wazazi wenye fedha wakaacha kuwaruhusu vijana wao kusoma Azania.
Lakini kabla the Old Tambz haijavunjwa 1994, vijana wengi waliomaliza na kufaulu AzaBoi na Tambz walifika mlimani na walioshindwa kabisa waliishia Dar Tech, Arusha tech, Mbeya Tech na Mzumbe. Ilikuwa kawaida Wakati wa orientation pale Nkuruma hall kuona reunion ya Tambz and AzaBoys.
lingine ambalo nalikumbuka kutoka hizi shule ni kuwa mkifika form three wakati wa kuchagua mkondo, madarasa ya mkondo wa biashara yalikuwa yanakosa watu. wana walikuwa wanagombea kusoma mikondo ya sayansi wakiwa na malengo ya PCB na PCM.Kuna siku sita isahau, nilisikitika sana kuona wana ambao class walikuwa vichwa hasa wakifukuzwa shule.
Kuna majanki kama watano hivi wa Azaboi walikuwa wanapuliza kule bondeni huku wakipata view ya bonde la jangwani. Si wakapoteza Network, Headmaster akawakamata kiulaini wakaanza kumkoremea.
wakapelekwa polisi na ndio shule ikawa basi
Nikikikutana nao kitaa huwa nasikitika sana