Unanikumbusha ile sakata ya uwanja wa Pazi wakati uko Gymkhana, halafu ndio Sheraton wanautaka kujenga hoteli ambayo sasa ndio Serena, pia ilikuwa Movenpick
Wazee wa Pazi wakafungua kesi ya kupinga, Sheraton akawaambia atawajengea uwanja mpya ndio wa Oilers sasa kule Ocean road, Pazi wakakataa, baadae wanashangaa Kocha wa Abdallah Kange? kumbe alivuta mkwanja kutoka Sheraton akaenda kuanzisha Oilers...
Ndio Mzee Malay kwa kuwa alikuwa mmoja wa Directors wa Tanesco ndio akaukarabati ule uwanja na Pazi wakahamia kule....