Mabraza wa enzi hizo Dar kumbukumbu zangu

Halafu mimi watoto wa Muhimbili nilikuwa nao poa sana kwa sababu mwenyewe nimetoka Muhimbili nikawa na ndoto za kwenda Tambaza, nikatimiza ndoto zangu vile vile nilivyotaka.

Kwa jivyo nilikuwa nawaambia mnaweza kutoka Muhimbili mkaja Tambaza kama mimi.
BRO UR RIGHT WOTE NDOTO ZETU ILIKUA AZA BOI AU TAMBAZA THEN TUWE MADAKTARI BAADAE...WENGI WAMEFANIKIWA KUA MADAKTARI ILA WACHACHE TULIPITIA NJIA NGUMU UGHAIBUNI LAKINI HATUKUITUPA ELIMU KAMA MABRAZA MLIVYOTUSHAURI.,.....DUUH SIKUTEGEMEA KAMA BIG BRO UTACHANGIA UZI HUU...IT'S BEEN ALOMST 30 YEARS PLUS NOW..
 
Halafu mimi watoto wa Muhimbili nilikuwa nao poa sana kwa sababu mwenyewe nimetoka Muhimbili nikawa na ndoto za kwenda Tambaza, nikatimiza ndoto zangu vile vile nilivyotaka.

Kwa jivyo nilikuwa nawaambia mnaweza kutoka Muhimbili mkaja Tambaza kama mimi.
BRO UR RIGHT WOTE NDOTO ZETU ILIKUA AZA BOI AU TAMBAZA THEN TUWE MADAKTARI BAADAE...WENGI WAMEFANIKIWA KUA MADAKTARI ILA WACHACHE TULIPITIA NJIA NGUMU UGHAIBUNI LAKINI HATUKUITUPA ELIMU KAMA MABRAZA MLIVYOTUSHAURI.,.....DUUH SIKUTEGEMEA KAMA BIG BRO UTACHANGIA UZI HUU...IT'S BEEN ALOMST 30 YEARS NOW
 
Au ndio wewe yule braza kama hatujaenda shule ulikua unatufukuza maskani ya mabaharia pale forodhani....kwenye lile jengo walikua wanaonyesha sinema...😂🤣🤣
Empress Cinema hapo Foro nilikuwepo sana mda mwingi nilikua Billz na Salamander hapo then nasogea ufukweni ndio tunatimuana😅😅😅.
History will never repeat
 
Bro mlikua watu poa sana kwa madogo.....mnatufundisha maisha na elimu pia.....nyinyi mnavuta vitu ila sisi mwiko kuvuta tukiwa maskani...
Mabraza mlikua mnafanya kopi za MC HAMMER mpaka mavazi.....Afu braza KIM na zile nguo zake bwanga za vitenge 😂🤣🤣🤣🤣 YO RAP BONAZA ZA ENZI HIZO
Enzi hiyo Sugu ndiyo anaingia mjini kakaribishwa na "Dar Young Mob".

Nakumbuka kuna siku nimekaa maskani Tambaza na Yusuf "Y-Thang" wa Kwanza Unit , alikuwa na kitabu cha Ben Carson kinaitwa "Gifted Hands".

Nikamuuliza, huyu Ben Carson ni nani? Akaniambia huyu ni daktari mmoja, surgeon bingwa Mmarekani mweusi, amekulia ghetto kapanda juu mpaka kawa daktati bingwa hospitali maarufu ya Johns Hopkins ya Baltimore Maryland.

Y-Thang hapo yuko A- Level anasoma PCB Tambaza, lakini anasoma mpaka nje ya box, ananiambia anataka kuwa daktari wa magonjwa ya wanawake.

Yani tangu zamani masela wanakaa maskani wanaongea vitu vya kulenga career goals, kusoma, na vitu kama hivyo.

1432344720.jpg
 
Sie tuliosoma Tambaza na wasichana miaka ya elfu mbili na kitu huu uzi ni muhimu kuufuatilia kujua Tambaza ya zamani.

Anyway ilikuwa ni ndoto ya kila kijana wa kiume kusoma Tambaza au Azania. I ended up studying Kibasila and Tambaza
 
Tambaza tulipokuwa wadogo kutoka Muhimbili tulikuwa tunakwenda kumsikiliza Justin Kalikawe alikuwa na gita lake anafanya mazoezi kuimba nyimbo zake za reggae. Alikuwa anasoma hapo, halafu nyumbani kwao ukivuka tu barabara ya Umoja wa Mataifa.

Sasa tukienda kulikuwa na mbabe anaitwa Shetani, hapendi madogo waje maskani. Justin akawa anatutetea anasema hata Yesu alisema waacheni watoto waje kwangu, hawa rafiki zangu bwana msiwatishe.

Basi akawa anatuhimiza tujifunze kupiga instruments ya muziki au hata kwenda kujifunza kusoma notes Korean Cultural Center.

Later on, I went to share a stage with Justin Kalikawe na Jah Kimbute, Justin akafurahia sana performance yangu. Nikamkumbusha enzi za Shetani kutufukuza maskani.

Kabla ya Justin alipita hapo Tambaza Marijani Rajab Jabali la Muziki, lakini siku hizo ilikuwa kabla ya enzi zetu.
 
Empress Cinema hapo Foro nilikuwepo sana mda mwingi nilikua Billz na Salamander hapo then nasogea ufukweni ndio tunatimuana😅😅😅.
History will never repeat
😂🤣🤣🤣 tulikua madogo janja hatuna ukwasi wa kuingia sinema ila mabaharia walikua wanauza vitu walivyotoka navyo mamtoni wakiishiwa hela...za bata
😂🤣🤣🤣 Salamander nimemkumbuka yule brother bishoo wa kiarabu alikua anacheza kama roboti 🤣🤣😂🤣🤣 Shalamaah
 
Enzi hiyo Sugu ndiyo anaingia mjini kakaribishwa na "Dar Young Mob".

Nakumbuka kuna siku nimekaa maskani Tambaza na Yusuf "Y-Thang" wa Kwanza Unit , alikuwa na kitabu cha Ben Carson kinaitwa "Gifted Hands".

Nikamuuliza, huyu Ben Carson ni nani? Akaniambia huyu ni daktari mmoja, surgeon bingwa Mmarekani mweusi, amekulia ghetto kapanda juu mpaka kawa daktati bingwa hospitali maarufu ya Johns Hopkins ya Baltimore Maryland.

Y-Thang hapo yuko A- Level anasoma PCB Tambaza, lakini anasoma mpaka nje ya box, ananiambia anataka kuwa daktari wa magonjwa ya wanawake.

Yani tangu zamani masela wanakaa maskani wanaongea vitu vya kulenga career goals, kusoma, na vitu kama hivyo.

View attachment 2856069
Big bro kipindi kile mlikua mnasomea sifa na mlituinspire sana...ila baadae mlianza kuzinguana na wale mabro wa Azania.
Y- Thang tulikua tunamuona kweye zile beach za Zanaki au Kibasila au Jangwani sekondari.....na yule bro wa upanga alikua anajiita D rob......
Kwanza unit walikua wengi wengi na wale mabraza wa temeke!!!
Daaah umenikumbusha mabraza wenye roho nzuri kinoma....hasa D rob....na ndio mara ya kwanza naona bishoo kavaa hereni 🤣🤣🤣🤣
NB: GIFTED HANDS NILIKISOMA BAADAE SANA KUMBE BRO Y THANG KAKISOMA EARLY 90,S...
 
Enzi hiyo Sugu ndiyo anaingia mjini kakaribishwa na "Dar Young Mob".

Nakumbuka kuna siku nimekaa maskani Tambaza na Yusuf "Y-Thang" wa Kwanza Unit , alikuwa na kitabu cha Ben Carson kinaitwa "Gifted Hands".

Nikamuuliza, huyu Ben Carson ni nani? Akaniambia huyu ni daktari mmoja, surgeon bingwa Mmarekani mweusi, amekulia ghetto kapanda juu mpaka kawa daktati bingwa hospitali maarufu ya Johns Hopkins ya Baltimore Maryland.

Y-Thang hapo yuko A- Level anasoma PCB Tambaza, lakini anasoma mpaka nje ya box, ananiambia anataka kuwa daktari wa magonjwa ya wanawake.

Yani tangu zamani masela wanakaa maskani wanaongea vitu vya kulenga career goals, kusoma, na vitu kama hivyo.

View attachment 2856069
Impressed.
 
Sie tuliosoma Tambaza na wasichana miaka ya elfu mbili na kitu huu uzi ni muhimu kuufuatilia kujua Tambaza ya zamani.

Anyway ilikuwa ni ndoto ya kila kijana wa kiume kusoma Tambaza au Azania. I ended up studying Kibasila and Tambaza
Niliishia kusoma Azania afu.....tukakimblia ughaibuni...big up kwa KIBAKULI NA WALE MASELA WENGINE WOOTE AMBAO WALIKUJA KUA MADAKTARI MUHIMBILI NA SEKEOU TOURE NA BUGANDO....NA MOUNT MERU...
Mabraza wa Tambaza na Azania walituinspire tusome..
 
Back
Top Bottom