Mabosi zangu wananiandama bila sababu

Mabosi zangu wananiandama bila sababu

Unajua kwenye kazi mambo ya figisu ni kawaida.anyway.. Uko idara gani?
 
Hata kwenye lunch zao siendi.

Sina stori nao.

Sina maswala ya udaku, soka wala nini.

Naona kosa lako ni hilo la kuishi kama vile uko peke yako.

Yaani watu wa udaku wakisema unaringa, hakuna watu wa soka wa kuwaambia jamani hua tunakutana naye kwenye soka.
Thread closed.
 
Am living my life man
Sina time na mtu isipokuwa ikiwa ya kikazi ok,ila personal sina time
Sikusoma kuja kufatilia maisha ya mtu ofcn am sorry
Yani wewe kwa muandiko wako dizain hata kazi yenyewe huna i mean you are jobless living in illussion, na hata bwana huna na umejaa stress kibao, eti hukosoma kufuatilia maisha ya mtu ofisini nani kasema kusocialize ni kufuatilia maisha ya watu? even anti socials have their social club jifunze kubalance shobo!
 
Yani wewe kwa muandiko wako dizain hata kazi yenyewe huna i mean you jobless living in illussion, na hata bwana huna na umejaa stress kibao, eti hukosoma kufuatilia maisha ya mtu ofisini nani kasema kusocialize ni kufuatilia maisha ya watu? even anti socials have their social club jifunze kubalance shobo!
Ok si waniacheee basi
Washughulike na hao social
Na productive?simple
 
No inachosha aiseeh
Kama nimeomba ruhusa ya kula sikukuu,nimenyimwa wakati wengine kibao wamepewa
Na muda mwingi hata ofisini hawaonekan
Sitak hata hizo zawadi zao kwani wananinyanyasa kisaikolojia
Acha kazi upate kazi kupata kazi
 
Penye rizki popote hapakosi majungu hata ukiahama utakutana na matatizo ya aina mengne utaona bora pa mwanzo, uliza mtu yyte awe kaajiriwa au kajiajiri havikosekani vitu kama hvyo
 
Back
Top Bottom