Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,750
- 182,848
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi katika kitu ambacho ningependa kukiona kimerudi ni ile inayoonyesha "Malcom Lumumba visited your profile" Yaani mtu uje kutembelea Profile yangu halafu mhusika nisijue kweli ??
Ni sawa na mtu kuingia nyumbani kwangu bila ruhusa halafu ukaondoka hivihivi tu. Haiwezekani kabisaaa
My kaka ktk hilo ushindwe[emoji85][emoji85]