Maboresho ya JF - 2019

Maboresho ya JF - 2019

Nadhani kwa mtu kukosa tu LIKE tayari inamaanisha kuwa alichochangia hakina manufaa kwa jamii.... Vilevile nimeupenda msimamo huo wa kuwa na kitufe cha dislike kwakuwa ni kama vile forum imekwepa mazoea ya kuwa na kitu kinachofanana na wengine
Na kwakuwa tayari kuna emoji ya thumb down ambayo nimeona maranyingi ikitumika basi naona inatosha

Jr
Kukosekana kwa like kwenye hii comment, pia ina maana aijakubalika na jamii.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mngeweka pia signature ziwe zinaonekana kwenye app ya simu ingependeza zaidi


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom