Hii unaweza toa mwenyewe; angalia kwenye settings za app sehemu iliyoandikwa “Signature”Asante! Chief
Ila kwenye hayo maboresho ninge omba kwa tunaotumia app kale kaneno kama (using JamiiForums app) muitoe kama inawezekana
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanalenga kuifanya JF iwe bora zaidi 😉
Hapo nashukuru maana wengine bila JF ni sawa na kuwa kwenye msiba. Siwezi ishi bila hii kitu. By the way badala ya ignore unaonaje mkaweka block? Mkiblock watu hapa itapendeza. Wengine vikongwe tunatukanwa na vijukuu bila sababu.Hatuzimi 😊
Pamoja sana mkuu, kila la heri katika uendeshaji wa hii taasisi ...Wakuu,
Naomba kuwafahamisha kuwa siku si nyingi tutafanya maboresho kidogo kwenye mwonekano na matumizi ya JF.
Lengo ni kuzingatia mahitaji ya wadau (ambayo yamekuwa yakiombwa), kuendana na mabadiliko ya kiteknolojia na kuimarisha zaidi uimara wa platform.
Aidha, maboresho hayo yataenda hadi kwenye kuimarisha miundombinu (infrastructure) ili kuongeza uimara wa kukabiliana na hali yoyote.
Mabadiliko mengine ya aina hii yanaweza kufanyika 2021 au 2022.
Asante kwa ushirikiano mnaoendelea kutupa.
Wazo zuriMkuu usisahau kitufe ya kutopendezwa (dislike button).
Kwenye hayo maboresho.
Option ya ku-ignore mtu ipo kitambo. Bonyeza ID ya mtu utaionaHapo nashukuru maana wengine bila JF ni sawa na kuwa kwenye msiba. Siwezi ishi bila hii kitu. By the way badala ya ignore unaonaje mkaweka block? Mkiblock watu hapa itapendeza. Wengine vikongwe tunatukanwa na vijukuu bila sababu.
Mkuu ombi letu la muda mrefu la kuwa na jukwaa maalum la ushirikina na mambo ya giza mlikumbuke tafadhali
Jr[emoji769]
Naiona ila kuna watu niliwaignore nikashtukia wananitumia PM. ila wengine sijawaona kamwe.
melo usikubali hawa watu ni wazandiki. cc: mdogo wangu Mshana jr.🤗🤗🤗salaaaaaaaaale!!! job true true
Mhhhh, kwenye privacy settings labda umewaruhusu. Tutaimarisha zaidiNaiona ila kuna watu niliwaignore nikashtukia wananitumia PM. ila wengine sijawaona kamwe.
Idumu JF na nyie waanzilishi wake na mzidi kuwa ngangari.
Hata mimi nilishangaa mtu nilishamu ignore nashtukia mess!! Well tulipofikia panafurahisha. Idumu JF kimbilio la wanyonge wanaohitaji habari bila kuchukunuliwa. Our day will come.Mhhhh, kwenye privacy settings labda umewaruhusu. Tutaimarisha zaidi
Hii unaweza toa mwenyewe; angalia kwenye settings za app sehemu iliyoandikwa “Signature”
View attachment 1051183
Mkuu naomba mufanye namna ambayo mtu anaweza hifadhi ili aweze soma akiwa offline.Wakuu,